MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Nitolee upumbavu hapa. Kwahiyo jitu likiwa jambazi tuheshimu kisa ni maisha aliyochagua? Pumbavu sana.It’s either your business or non of your business.
heshimu maisha ya watu waliyochagua. Hata Kama hayakupendezi. Utaishi kwa Amani.
Naah bruh you are better than thisMasharti ya waganga...watu wanasaka nyota
Naah bruh you are better than this
Mmh ndo akatafute dogo dogo tena aisee anapenda kubeba majukumuLakini nae ni mwanamke pia, anahitaji ’liwazo’
Rich karibu anamaliza mwaka China!
Kama kakuelewa imekula kwake? Acha nisiongee![emoji28]Sasa kama alikuwa kanielewa ndio imekula kwake, enzi hizo lakini sio hivi sasa.
Mmmh labdaSio kila dogodogo analelewa, wengine ni mapenzi tu.
Shida kizazi cha wanawake wa kuanzia 1980 huwa wanaamini wanaweza kushindana na mwanaume.Wolper tatizo nae kajiachia kanenepeana kama boga ndio maana anaonekana mzee kuliko dada zake akina Millen, Nancy, K-Lyn n.
Ila yeye kwakuwa ana ndoa, inategemewa zaidi atulie aache haya anayofanya hata kama mumewe kakengeuka ndio mumewe tena.
Hakuna mtu hapo. We mwanaume anavaa masuruali ya kuchanika chanika unaita mwanaume serious?Tena bora hata kwa Rich, huyu mpya atamliza kilio cha mtu mzima mdomo wazi!
Tuko hapa
Labda ustaa una mzuzua au kuwaiga kina will na jada pinket.Shida kizazi cha wanawake wa kuanzia 1980 huwa wanaamini wanaweza kushindana na mwanaume.
Mwanaume anaweza toka nje sababu mwili wake hausisimki vema anapokuwa faragha na mkewe kutokana na mabadiliko ya kimwili kama kuongezeka uzito, matiti kuanguka, tumbo kuwa pana, ngozi kupungua mng'ao na kadhalika.
Sasa mtu kama Wolper akivaa night dress chumbani anakuwa hana mvuto sawa na binti wa miaka kati ya 16 hadi 25 ambaye hana mtoto na anamwili uliokaza.
Mwanaume hawezi jizuia tamaa za mwili sababu ameumbiwa hivyo ila mwanamke tamaa yake si ya kimwili ni ya mali na anaweza jizuia kwa kukubali maisha yake na mumewe. Sasa mtu tayari ameshakupa maisha ya ndoa unaanza kuleta ligi za nn?
Mwenzake akitoka nje huko anaweza kutana na binti mdogo wakajenga maisha, yeye soko lake saa hii ni wanaume wa kuanzia miaka 45 kwenda juu, wapi sasa utampata mwanaume wa miaka 45+ ambaye hana familia, hana watoto, yupo financially well na anaweza kutulia kimahusiano?
Wanawake acheni ndoto za alinacha.
Nafikiri kila mtu na taste yake. Binafsi wa hivyo simtaki kabisaaaaaHakuna mtu hapo. We mwanaume anavaa masuruali ya kuchanika chanika unaita mwanaume serious?
Wanawake wa kisasa sijui wanashida gani na kupick wanaume wa future.
Sema wanachanganya kila mmoja anasema yake ,mke yake mara mume yake😂
Sema itakuwa sio yake bhana naona kijana anasema zile pesa zake cha china ,na usawa huu mke na mume kujenga pamoja kuna hatari hapo mbeleni.Ni lile ghorofa kalimalizia?
Ngojeni nitarudi kuwapa za ndaaani 😂
Jack nae ni mtafutaji, na amekuwa anapost sana hiyo nyumba wakati wa ujenzi.Sema itakuwa sio yake bhana naona kijana anasema zile pesa zake cha china ,na usawa huu mke na mume kujenga pamoja kuna hatari hapo mbeleni.
Hatare sanaanatoka kwa kajamaa kadogo, anarudi tena kwa kajamaa kengine kadogo,
Hawezi pata matokeo tofauti kwa kurudia formula ile ile,
enweiz, to each their own..!🙌
Jack hana pesa ya kujenga ile nyumba pekeake ,jamaa kadandia post eti alikuwa anatuma pesa huko chinaJack nae ni mtafutaji, na amekuwa anapost sana hiyo nyumba wakati wa ujenzi.
Ila kwa kuwa wale ni wanandoa kila mmoja ana haki, na hivi ndoa iko kwenye mawe basi hatari!