Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

Wolper tatizo nae kajiachia kanenepeana kama boga ndio maana anaonekana mzee kuliko dada zake akina Millen, Nancy, K-Lyn n.

Ila yeye kwakuwa ana ndoa, inategemewa zaidi atulie aache haya anayofanya hata kama mumewe kakengeuka ndio mumewe tena.
Shida kizazi cha wanawake wa kuanzia 1980 huwa wanaamini wanaweza kushindana na mwanaume.

Mwanaume anaweza toka nje sababu mwili wake hausisimki vema anapokuwa faragha na mkewe kutokana na mabadiliko ya kimwili kama kuongezeka uzito, matiti kuanguka, tumbo kuwa pana, ngozi kupungua mng'ao na kadhalika.

Sasa mtu kama Wolper akivaa night dress chumbani anakuwa hana mvuto sawa na binti wa miaka kati ya 16 hadi 25 ambaye hana mtoto na anamwili uliokaza.

Mwanaume hawezi jizuia tamaa za mwili sababu ameumbiwa hivyo ila mwanamke tamaa yake si ya kimwili ni ya mali na anaweza jizuia kwa kukubali maisha yake na mumewe. Sasa mtu tayari ameshakupa maisha ya ndoa unaanza kuleta ligi za nn?

Mwenzake akitoka nje huko anaweza kutana na binti mdogo wakajenga maisha, yeye soko lake saa hii ni wanaume wa kuanzia miaka 45 kwenda juu, wapi sasa utampata mwanaume wa miaka 45+ ambaye hana familia, hana watoto, yupo financially well na anaweza kutulia kimahusiano?

Wanawake acheni ndoto za alinacha.
 
Labda ustaa una mzuzua au kuwaiga kina will na jada pinket.
Kwa hapo alipo angetulia tuu
 
Hakuna mtu hapo. We mwanaume anavaa masuruali ya kuchanika chanika unaita mwanaume serious?

Wanawake wa kisasa sijui wanashida gani na kupick wanaume wa future.
Nafikiri kila mtu na taste yake. Binafsi wa hivyo simtaki kabisaaaaa

Mwanaume anatakiwa kuvaa smart, msafi na anukie vizuri basi. Hiyo mikorokoro hapana kwakweli...
 
Ni lile ghorofa kalimalizia?
Ngojeni nitarudi kuwapa za ndaaani 😂
Sema itakuwa sio yake bhana naona kijana anasema zile pesa zake cha china ,na usawa huu mke na mume kujenga pamoja kuna hatari hapo mbeleni.
 
Jack nae ni mtafutaji, na amekuwa anapost sana hiyo nyumba wakati wa ujenzi.

Ila kwa kuwa wale ni wanandoa kila mmoja ana haki, na hivi ndoa iko kwenye mawe basi hatari!
 
Jack hana pesa ya kujenga ile nyumba pekeake ,jamaa kadandia post eti alikuwa anatuma pesa huko china

Jamaa anadai jack kasimamia kwa mda wa miaka miwili....Jack ajenge nyumba halafu amchukue mume akae nae sio rahisi ...
 
Back
Top Bottom