Shida kizazi cha wanawake wa kuanzia 1980 huwa wanaamini wanaweza kushindana na mwanaume.
Mwanaume anaweza toka nje sababu mwili wake hausisimki vema anapokuwa faragha na mkewe kutokana na mabadiliko ya kimwili kama kuongezeka uzito, matiti kuanguka, tumbo kuwa pana, ngozi kupungua mng'ao na kadhalika.
Sasa mtu kama Wolper akivaa night dress chumbani anakuwa hana mvuto sawa na binti wa miaka kati ya 16 hadi 25 ambaye hana mtoto na anamwili uliokaza.
Mwanaume hawezi jizuia tamaa za mwili sababu ameumbiwa hivyo ila mwanamke tamaa yake si ya kimwili ni ya mali na anaweza jizuia kwa kukubali maisha yake na mumewe. Sasa mtu tayari ameshakupa maisha ya ndoa unaanza kuleta ligi za nn?
Mwenzake akitoka nje huko anaweza kutana na binti mdogo wakajenga maisha, yeye soko lake saa hii ni wanaume wa kuanzia miaka 45 kwenda juu, wapi sasa utampata mwanaume wa miaka 45+ ambaye hana familia, hana watoto, yupo financially well na anaweza kutulia kimahusiano?
Wanawake acheni ndoto za alinacha.