Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Rich nae si angedanga kwa mishangazi basi ndo adange kwa wanaume wenzieHili pia nimewahi kulisikia dear, wengine wanadai Wolper anapenda maisha makubwa ndio Rich ikawa inabidi nae adange masikini!
Ila sijapata uhakika nalo, ngoja nitalifuatilia.
Nani sasa Mkuu? HeeeeMkanda,mkende,mkindi,mkondo ....utakufa vibaya weweee.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Warumi apumzike ktkt amaniBaada ya kipindi kirefu, nimeweka thread hii ya ubuyu katika jukwaa hili kama sehemu ya kumuenzi rafiki & binamu yangu warumi
Endelea kupumzika kwa amani binamu, niko hapa kuendeleza kile ulichokuwa unakipenda zaidi hapa JF.
Hadi tutakapoonana tena, RIP!
Wanaume wengi wanaoa kwa tension ya mtoto kama alimpachika mimba basi anaoa ile haraka haraka.Huwezi jua Mkuu, mpaka anaamua kuoa lazima alishaona maji anaweza kuyakoga!
Ndo uende shem ukajiweke si vitu vyako hivo ๐๐Ni kwanini celebrities wamama wanapenda boy toys?
Hapa tunarudi kwenye wazazi na malezi, wazazi wa hovyo waliwaacha watoto wao wakatumbukia kwenye shimo la umaarufu sasa hivi wanagombana na vijana wadogo wawaoe watoto wao waliokwisha kukubuhu!Hawa mabinti walichokosea walifocus na sanaa kipindi ambacho walikuwa wako on fire. Tofauti ya Wema, Uwoya na Jokate, Faraja Kota ni shule. Baada ya kufanya vizuri kwenye miss Tanzania Wangefocus kwenye shule wangefika mbali sana. Maana huu mfumo wa haki sawa unapendelea wanawake wazuri wenye vyeti. Maana hata ukifuatilia huko nyuma Akina Chifupa na Vicky Kamata walikuwa wa moto sana.
Furahi rafiki yangu siku hz tunakufa bado wadogo!Huwa unanichekesha sana, uko real.
Sikushangaa uliposema unatokea Arusha!
Wolper kisamaki๐Ndo uende shem ukajiweke si vitu vyako hivo ๐๐
Na shogaake Wema manunu ๐๐๐anatoka kwa kajamaa kadogo, anarudi tena kwa kajamaa kengine kadogo,
Hawezi pata matokeo tofauti kwa kurudia formula ile ile,
enweiz, to each their own..!๐
Umethibitisha?! Maneno hayo ya mtandaoni bhana ๐๐๐Wolper kisamaki๐
Hivyo vivulana sio wanaume Mkuu. Yani mtu uoe mwanamke wa hovyo kisa amekuzalia?Wanaume wengi wanaoa kwa tension ya mtoto kama alimpachika mimba basi anaoa ile haraka haraka.
Billnas na mwenzie๐๐ baada ya mimba ndoa ikaharakishwa na huyo Wolper nae.Hivyo vivulana sio wanaume Mkuu. Yani mtu uoe mwanamke wa hovyo kisa amekuzalia?
Sisi tu wanawake hatuolewi hovyo na wanaume tuliowazalia bwana.
[emoji15][emoji15][emoji15] niffer kwani warumi alikufa? Lini?Baada ya kipindi kirefu, nimeweka thread hii ya ubuyu katika jukwaa hili kama sehemu ya kumuenzi rafiki & binamu yangu warumi
Endelea kupumzika kwa amani binamu, niko hapa kuendeleza kile ulichokuwa unakipenda zaidi hapa JF.
Hadi tutakapoonana tena, RIP!