Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
Watakuelewa wachache ambao tayari mnafanana mtazamo. Threads na comments zako kuhusu maandamano hazina substance ndio maaana unashambuliwa. Hazizingatii ukweli. Ukweli ni kwamba maandamano yanaweza kufanyika peacefully kwa usimamizi wa police kwa gharama ndogo sana kuliko hii inayotumika kuyazuia. Halafu madai mengi ya waandamanaji ni ya kweli.Tangu lini umeona watu wakafurahia dawa chungu! Watu wengi lazima mtachukia haya Team Amani tunayofanya kwakuwa tupo tofauti na nyie kwa mitazamo na maono ya mustakabali wa nchi hii
Lau tungezungumzia kuchoma vituo vya mwendo kasi au kuharibu mali au kuandamana kusikokuwa na dira wala mwelekeo mngelike na kusapoti kwa wingi
Hatupo hapa kupata sapoti yenu bali tupo hapa kupindua Meza, hatupo hap kupendwa bali tupo hapa kusema ukweli na kukemea ujinga,ndio maana wengine dawa imekuwa chungu na kuniweka ignored list which is fine wasije kupata presha
Tutaelewana tu mdogo mdogo
Sidhani kama kutumia neno "Kuisema Serikali vibaya" ni sahihi maana ni kama kusema unaipakazia serikali mambo ambayo hayapo au unaitukana....... na hata kama nimekosea nilichosema kwanini sheria isifate mkondo wake nikapelekwa kwenye vyombo vinavyohusika na kesi kama hizo za kuchafua serikali na viongozi wake,. Kuliko kubebwa na kwenda kutupwa kwenye mapori? Huo si ubinadamu,. Dunia ni njia tu,. mali, vyeo, vyama na vyote vinavyotupa nguvu na jeuri tutaviacha siku moja,........... Rais Mstaafu Marehem mzee Ali Hassan Mwinyi kuna speech yake anasema "Maisha ni hadithi tu,.. jitahidi kuwa hadithi nzuri kwa watakaosimuliwa....."Umegusia point ya msingi sana,kwamba wanaosema ukwelli dhidi ya serikali wanatekwa na kuadhibiwa
Je,kwa hali hii nawe utaendelea kuisema vibaya serikali utekwe ? Au ubaki kimya uwe salama
Wewe huyakemei, unayashangilia na kuyachochea kwa vile unadhani yapo upande unaokuhusu wewe!Lakini kinachotokea sasa kinawaumiza watu wengi sana,kwa mazingira kama haya inabidi tujitokeze baadhi tuyakemee haya
Unaweza kuniambia how nayashangilia hayoWewe huyakemei, unayashangilia na kuyachochea kwa vile unadhani yapo upande unaokuhusu wewe!
Nimeyaona katika maandishi yako kadhaa ukumbini humu JF. Nimejiridhisha bila ya shaka yoyote kabla sijaandika hivyo.Unaweza kuniambia how nayashangilia hayo
Mr. Kalamu,Nimeyaona katika maandishi yako kadhaa ukumbini humu JF. Nimejiridhisha bila ya shaka yoyote kabla sijaandika hivyo.
Maswala haya ni tofauti sana na yale ya "kuchinja mifugo mamia kadhaa" kama ulivyoelezea vizuri sana wakati ule ulipo andika juu ya maana ya swala hilo.
Hivi inakuwaje watu huwa mnapenda sana kutumia maneno ambayo hata hayaendani kabisa na mengine yote mnayojitangazia kuyaamini?Wengine uzalendo kwanza ni kulinda uhai na kufuata njia salama za ukombozi
Ngoja nikusaidie jambo moja,tufanye mimi ni mdini kama unavyoamini,maana unazunguka zunguka lknHivi inakuwaje watu huwa mnapenda sana kutumia maneno ambayo hata hayaendani kabisa na mengine yote mnayojitangazia kuyaamini?
Hii tabia hasa inatokana na nini?
Soma huo mstari wako ulioandika hapo; halafu tafakari yooote uliyochangia sehemu mbalimbali ndani ya jukwaa hili uone kama yanaendana!
Amini au usiamini, hainipi furaha yoyote ya kumsingizia mTanzania yeyote jambo zito kama hili la kugawanya watu katika makundi, hasa haya ya kidini bila ya kujiridhisha juu ya ninachokiandika.
Nimesoma maandishi yako, na kukuelewa unachotetea ni kitu gani kabla sijaamua kukupa ukweli huo..
Pamoja na yote hayo, haijalishi. Kaa na unayoyaamini mwenyewe. Tanzania inao wazalendo wa kutosha kutolitumbukiza taifa hili kwenye janga hili analotupelekesha nalo Samia Suluhu Hassan.
Mimi "nazungukazunguka..."; si hivyo nimekwisha kueleza wazi kabisa, kwani unataka nieleze vipi!Ngoja nikusaidie jambo moja,tufanye mimi ni mdini kama unavyoamini,maana unazunguka zunguka lkn
Najua una maanisha nini
Asante