mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
- Thread starter
- #21
Siri ya mafanikio kumbe ni kukwepa kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ukiwaendekeza walahi wanakuhenyesha hasa kama unataka Tax clearance ndio watakunyanyasa hata kama walikuwa hawana mpango wanakufuataNdio maana nafunga biashara nianze kukimbizana nao na mie angalau nitajirike sasa
Siri ya mafanikio kumbe ni kukwepa kodi
Wacha matajiri walipe sie masikini tutalipaga mbele huko,. Laki9 na mvua hizi hapana😃🤒Ni mwendo wa kuwakwepa tu saivi
Hio laki9 si nafungua biashara nyingine kubwa tu vichochoroni hukuWacha matajiri walipe sie masikini tutalipaga mbele huko,. Laki9 na mvua hizi hapana😃🤒
Ndio hapo sasaHio laki9 si nafungua biashara nyingine kubwa tu vichochoroni huku
Mambo ya mixx by Yas!Mimi Kila siku biashara ni mpya na nabadili majina ya wamiliki [emoji23][emoji23]. Ila za mwizi 40
Umeongea bonge la point, TRA Tanzania njoeni hapaKuna Kodi nyingi sana serikali kupitia TRA inapoteza kwa kulazimisha watu wachache wabebe mzigo wa waTZ wote.
Mfano Wamachinga hasa kkoo kwenye hizzi meza,madalali,mawinga,wauza dawa asili/tiba lishe,mafundi,wauza vyakula/vibanda vya chips/mama ntilie/migahawa/wauza juice/vinywaji n.k
Hawa watu wanaingiza pesa vibaya mnooo,ajabu tunabanwa watu na vimitaji vyetu vidogo vya kuunga unga,Lazima wafanyie kazi ili makali ya Kodi yapungue kwa walioamua kwa hiari kulipa Kodi ili wasije juta.
Kodi iqe lazima kwa wote bila ubaguzi,Hata madalali wajisajili na wapewe mashine ya EFD kama wengine na vimitaji vya million5 Tena ya mikopo tukalazimishwa tubblebe mashine za EFD.
Huyo ni afisa anakusumbua tu kumeet target, we achana na maneno, kuwa serious na jambo lako, andika barua rasmi, lipa principle omba remission ya interest na penalties. Watu wanafutiwa mamilioni ya penati kwa kulipa principle TRA ikukazie kwanini?Nimewaambia pokeeni hii haki yenu mi nafunga biashara, wamesema hawaifungi mpaka nilipe deni lote
Endelea hivuo hivyo, hawa ndio wanataka hiviMimi Kila siku biashara ni mpya na nabadili majina ya wamiliki [emoji23][emoji23]. Ila za mwizi 40
Sawa nitajaribu, nikishindwa nitakutagHuyo ni afisa anakusumbua tu kumeet target, we achana na maneno, kuwa serious na jambo lako, andika barua rasmi, lipa principle omba remission ya interest na penalties. Watu wanafutiwa mamilioni ya penati kwa kulipa principle TRA ikukazie kwanini?
Nimechaka kama ni kitu kizuri eti wataniua..Mi nimeishi kuwakwepa mwaka wa 7 huu wakinikamata wataniua walahi tena😂
TRA Tanzania waisome hii📌Kuna Kodi nyingi sana serikali kupitia TRA inapoteza kwa kulazimisha watu wachache wabebe mzigo wa waTZ wote.
Mfano Wamachinga hasa kkoo kwenye hizzi meza,madalali,mawinga,wauza dawa asili/tiba lishe,mafundi,wauza vyakula/vibanda vya chips/mama ntilie/migahawa/wauza juice/vinywaji n.k
Hawa watu wanaingiza pesa vibaya mnooo,ajabu tunabanwa watu na vimitaji vyetu vidogo vya kuunga unga,Lazima wafanyie kazi ili makali ya Kodi yapungue kwa walioamua kwa hiari kulipa Kodi ili wasije juta.
Kodi iqe lazima kwa wote bila ubaguzi,Hata madalali wajisajili na wapewe mashine ya EFD kama wengine na vimitaji vya million5 Tena ya mikopo tukalazimishwa tubblebe mashine za EFD.
Natumai hutoshindwa mkuu. Cha msingi usikubali maneno matupu, bishana kwa barua. Afisa kakukatalia ombi ulilolileta kwa barua akupe in writtings ground za yeye kulikataa.Sawa nitajaribu, nikishindwa nitakutag
Ongeza sauti hapo kwenye mizinga,.TRA jau sana, mi ndiomana shemeji yenu nampiga mizinga sometimes mpk anakuwa km chizi yote kulipa mambo yao ya kifala wanayotufanyia wafanyabiashara..!!
Mkuu unakitu flani,. Naomba tueleweshe tena tafadhaliHuyo ni afisa anakusumbua tu kumeet target, we achana na maneno, kuwa serious na jambo lako, andika barua rasmi, lipa principle omba remission ya interest na penalties. Watu wanafutiwa mamilioni ya penati kwa kulipa principle TRA ikukazie kwanini?