Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Sis una kampuni kabisa nipe mchongo π.....Mwenzio nlichelewa kutuma return,. Napo sikuchelewa ila ilikua ni ishu ya mtandao.. SDL 450,000/= penalty. PAYE 450,000/= penalty. Jumla 900,000/=..
Na siwezi kurenew leseni hadi nilipe,. Humu tu
Tena mimi siongei sana na-screenshot namtumia yeye mwenyewe amalize wasinichoshe basi atajisemesha mpk basi πΉπΉπΉOngeza sauti hapo kwenye mizinga,.
Huku nyuma hatujasikiaππ
Sema mamlaka yetu ya mapato kuna namna inabidi wakae tena chini
Shida ndio kwanza kinaanza hata bado hakijakua,.Sis una kampuni kabisa nipe mchongo π.....
Kuna mwenzio haku file 2022 & 2023 ni hatare
Notice of discussion kama zote......
Atafanyaje sasaπ,.Tena mimi siongei sana na-screenshot namtumia yeye mwenyewe amalize wasinichoshe basi atajisemesha mpk basi πΉπΉπΉ
Na kuniacha hawezi inabidi awe mpole
Yaani hapo unaweza omba kupunguziwa adhabu ama kufutiwa adhabu ya hizo penalties zao Ila lipa kiasi kile unachohitajika kulipa huku ukiambatanisha barua...... kwenda TRA. Tafuta tax experts akusaidie hasa hizi kampuni za AUDIT and Tax wako vzr upande huo.......Mkuu unakitu flani,. Naomba tueleweshe tena tafadhali
Yaani hapo unaweza omba kupunguziwa adhabu ama kufutiwa adhabu ya hizo penalties zao Ila lipa kiasi kile unachohitajika kulipa huku ukiambatanisha barua...... kwenda TRA. Tafuta tax experts akusaidie hasa hizi kampuni za AUDIT and Tax wako vzr upande huo.......
Jitihada kama ni kampuni maake nimeona SDL NA PAYEShida ndio kwanza kinaanza hata bado hakijakua,.
Nilichogundua hii nchi ukitaka kufanya mambo yako systematically unaweza hata kufirisika na kuua kamtaji kako kote,.
Yote hayo nafanya mkuu na niko makini sana sana sana,.Jitihada kama ni kampuni maake nimeona SDL NA PAYE
file mapema kabla ya tarehe saba kila mwezi kama kampuni bado Haina wafanyakazi kazi kumi hulipii SDL Ila una file zero return lakini ni lazima u-- file!
Kingine fanya makadirio mapema na lipa mapema maake ikikaribia 31stjanuary au June au September mfumo wao unakuwa nzito!
Lipia withholding tax ya Kodi, watu wa taka, ulinzi, wafanyakazi, kata maake unatoa katika unacholipa so hamna hela yako kutoka mfukoni.....
Then Kuna kufile Tena hizo withholding ukiisha lipia.......
Utaenda nao vizuri
Usisahau EFD receipts na zreport ziwe sahihi na sales as you record in Tally ama quick books!
Hana la kufanya, anajuta kujichanganya kwa mkinga πΉπΉAtafanyaje sasaπ,.
Mie nilishajisemeaga kodi nitalipa, service levy nitalipia lakini hizi penalty kwakweli mie waendelee tu kunipiga silipi,.
Wakinibana sana nitabadili jinaπ
Mkuu, Afisa TRA kazi yake ni kukusanya au kutengeneza fedha kupitia kodi, hili ndo lengo kuu na anapimwa nalo.Mkuu unakitu flani,. Naomba tueleweshe tena tafadhali
Ilikuwaje ukalipa kwa biashara ambayo haipoWewe unasema hivyo mm nililipa 1 million kwa biashara ambayo haijawah ku operate hata siku moja..
Niliumia sana sitasahau isee.
Hahaπππ,.Hana la kufanya, anajuta kujichanganya kwa mkinga πΉπΉ
Mimi kuna mmoja tulizinguana kuhusu mashine ya risiti, wakanipiga faini million tatu na laki tano.!! Akajua ntamwambia tuyajenge nikamwambia pouwa hamna shida mheshimiwa, akaniwekea na namba zake nimtafute.!! Nikasema sawa.!!
Nikamtafuta boss wake nikampa taarifa, nikakuta jamaa karudi ananichekea πΉπΉ
Namuuliza vipi? Haah sister naona unaringia rangi π€£πΉπΉ
Nikamwambia sasa kulikuwa na umuhimu gani baba kumsaundisha chotara azae naye??π
Hii nchi kuna muda haitaki uwe serious πββοΈπββοΈπββοΈ
Huyo hakufanya biashara ila hakuandika barua kuwa hafanyi biashara na alipewa makadirio.Ilikuwaje ukalipa kwa biashara ambayo haipo
WakO vizuri ila na wenyewe wana beiiiiYaani hapo unaweza omba kupunguziwa adhabu ama kufutiwa adhabu ya hizo penalties zao Ila lipa kiasi kile unachohitajika kulipa huku ukiambatanisha barua...... kwenda TRA. Tafuta tax experts akusaidie hasa hizi kampuni za AUDIT and Tax wako vzr upande huo.......
Ni kweli mkuu RRONDO ila afisa alipaswa kumpa elimu sahihi na njia ya kutoka hapo. Naamini hili lingetokea asingekuja mitandaoni.Huyo hakufanya biashara ila hakuandika barua kuwa hafanyi biashara na alipewa makadirio.
Kama iliyopita ilikuwa kabla ya mfumo anza upya usirenew. Ila kama mfumo ulikuwa ushaanza kipindi unakata ndo basi tena hauna namna, inabidi ulipe tu ili urenew.Mwenzio nlichelewa kutuma return,. Napo sikuchelewa ila ilikua ni ishu ya mtandao.. SDL 450,000/= penalty. PAYE 450,000/= penalty. Jumla 900,000/=..
Na siwezi kurenew leseni hadi nilipe,. Humu tu