Huku ni kukomoana, sijawahi kuona wala kusikia kama hili duniani, TRA mjiangalie

Kws hiyo jumla wamekata sh ngapi?
 
Kaka ulishawahi kufanya biashara hata genge la Nyanya? Mbona ni mweupe hivi?
 
Cha kufanya unakijua. Kodi ndio inatumika kuteka watu
 
Humo serikalini kumejaa watu wa ajabu ajabu
 
Kodi ambayo inalipika italipwa ila wanachokifanya wanatengeneza amzingira ya kula rushwa hapo ndip tutakimbizana
 
Mambo ya Kutanua Tax Base
 
Kaka ulishawahi kufanya biashara hata genge la Nyanya? Mbona ni mweupe hivi?
Ndugu kodi ni sheria sio takwa la mtu.

Na hata kama kuna kiwango, kuna fines ukichelewa.

Yote hayo yatakuwa kwenye sheria.

TRA ni administrator tu wa sheria za kodi, zinazopitashwa hawana mamlaka juu ya hapo.

Mtu ambae anasema kaonewa na TRA kwa maana nyingine hajui how taxation works.

TRA awawezi kukuonea kwenye maswala ya kodi; kama unaelewa maswala ya kodi.

Huo ndio uhalisia, mengine; ni uelewa mdogo tu siwezi laumu (I can see, why; sema story ni ndefu).

Asilimia 99 ya wachangiaji wa mada za kodi, awaelewi mambo ya kodi (including business’s) ndio ukweli.

Utasikia wewe una biashara, what has that got to do na uelewa wa kodi.

Ni kwamba hujui tu computation zake na sheria zake.
 
Tena mimi siongei sana na-screenshot namtumia yeye mwenyewe amalize wasinichoshe basi atajisemesha mpk basi 😹😹😹
Na kuniacha hawezi inabidi awe mpole
Huyo ni mmeo, boyfriend au baby daddy, mbona unaongea kama vile Unampiga vizinga kwa kumkomoa Lamomy
 
hakunaga adhabu ya kuchelewa kulipa ,ni interest
 
Na hawakuhurumii wala kujiuliza kwann unafunga biashara,

Cha ajabu Tra officer wakistaafu, nao wanatafuta kukwepa Kodi!

Mfumo huu mbovu ubadilishwe.

Katiba mpya ni sasa
 
We ni mfanyabiashara? Chelewesha wiki moja kulipa utapata jibu la uhakika, hapa sina njia nyingine ya kukusaidia kuelewa zaidi ya nilivyoandika
Wewe ni sole propriator ,so nimekujibu hivyo kuna kodi ingine sio kusema penalty 150,000 ya kutolipa . Labd hukufany makadirio 2 months ikaja hio 150,000 before 2024 june au wewe unakadiriwa dirishani

Tra toa raarifa , file kwa wakati , kuchelewesha kodi kunaongeleka kwa sasa wanaingilika kukubaliana
 
Kwanza,Elewa maana ya machinga aliyejitolea kulioa kodi
Nimelipa hii vizuri ningekuwa nimechangia serikalini 400,000/= mimi kama machinga ni fahari kwangu,
So far nimeshachangia 300,000/= tena kwa hiyari na furaha, ila sheria inabidi ziangaliwe,
Sio msahafu in magu's voice
 
Wewe ni sole propriator ,so nimekujibu hivyo kuna kodi ingine sio kusema penalty 150,000, wewe unakadiriwa dirishani

Tra toa raarifa , file kwa wakati , kuchelewesha kodi kunaongeleka kwa sasa wanaingilika kukubaliana
Ndivyo nilivyoandikiwa kwamba
Principal 100,000/=,riba 1500/= na adhabu kwa mujibu wa sheria ni 150,000/=

Tena nimeekewa kabisa kwa mujibu wa sheria kwa msisitizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…