Uchaguzi 2020 Huku ni kupuuza vilio na malalamiko ya watanzania. Nini anataka huyu mgombea urais wa CCM?

CCM imechokwa Hadi vijijini, shangazi zangu huko Mtwara hawataki hata kuisikia, hawajalipwa fedha za korosho zao na msimu mpya unaanza. Ndege zinawasaidia nini.
sasa waambie shangazi zako wasiichague kuliko kusumbuka kuelezea humu haisaidii lolote
 
Kwahiyo na wewe umejipa kazi ya kutetea uongo kwasababu Bwanaako yuko ikulu? Unatukana watu mpaka unajitukana mwenyewe bila kujua.
 
Kwahiyo na wewe umejipa kazi ya kutetea uongo kwasababu Bwanaako yuko ikulu? Unatukana watu mpaka unajitukana mwenyewe bila kujua.
popote utakapojaribu kuaminisha watu magu si kitu si lolote lazima ukutane na pingamizi.
 
Huyu bwana na mwenzake kondakta kwa hakika wanaongoza kwa kuchukiwa.

Kusikia kwao mithili ya kenge.

Tutafikishana huko pia, inshallah. Zama hizi mbona siyo zile tena.
 
ACHANA NA HAYO MAWAZO YA MGANDO NANI KAKWAMBIA WANANCHI NI NYINYI TU MUNAOSHINDA MITANDAONI AU UNAZANI HIYO PESA SERIKALI ITAKUWEKEA mfukoni mwako
Tatizo pia anaua na kuteka watu pqmoja na kuwapiga risasi
 
Tulia utakufa na stress! Hapa Kazi tu!
 
Huyu bwana na mwenzake kondakta kwa hakika wanaongoza kwa kuchukiwa.

Kusikia kwao mithili ya kenge.

Tutafikishana huko pia, inshallah. Zama hizi mbona siyo zile tena.
Utakufa wewe kwanza!
 
hakuna mstaafu aliebaki na malalamiko hajalipwa, leten uongo mwingine
Mmh mimi mama angu anazungushwa sana unakaribia mwaka kila siku wanatafuta sababu ya kupeleka penshen mbele...nilimuuliza maa kwani shida nini akasema wanachelewesha wanajua unakaribia kufa, na sio yeye tuu peke ake.
 
Mmh mimi mama angu anazungushwa sana unakaribia mwaka kila siku wanatafuta sababu ya kupeleka penshen mbele...nilimuuliza maa kwani shida nini akasema wanachelewesha wanajua unakaribia kufa, na sio yeye tuu peke ake.
Ni Sasa ni zamu ya Uhuru na haki
 
Maisha mafupi sanaa!
 
Walimu wa Sanaa Wametelekezwa. Je kuna mpango wowote msimu huu.
Mzee ameshasema hana muda wala mipango yoyote mipya na walimu, sio walimu wa sanaa pekee, walimu wote. Lakini hapo hapo anasema ana mipango na wasanii wanaoipigia kampeni CCM, pia ana mipango ya kununua mandege mengine matano, huku zile ndege nyingine zimekiwa zimepaki tu uwanja wa ndege na makada wanaruhusiwa kwenda kupiga nazo selfie.

Sasa ndugu jipange kwa miaka mingine mitano migumu ikiwa huyu mzee ataendelea kuwa tena madarakani, hutaki huo ujinga, basi jipange kumnyima kura yako mwaka huu.
 
Hapo tayari buku Saba wameziweka kibindoni,unafikiri wanaelewa ndugu zao na wazazi wao wanateseka mashambani
 
Baaasi Hashimu anatufaa kua Raisi wetu au sio
 
anasubiri apite, halafu amvute Paul Makonda, waanze kula vichwa
 

Chadema expert member. Sexless
Nafikiri chadema mnajitekenya na kujiliwaza.

Well biashara zimekwama so serikali ifanye nini?
Kuna serikali ambayo inagawa hela? Ndio maana hata mgombea wenu kapoteza direction anazungumzia kufuta 20,000 ya machinga kama agenda.

Mwaka huu kwa kweli mmenyooshwa, si ubunge every where mmekalia kulalamika Trump awasikie na yeye anamsala wake huko. Real waiting Oct 28th. Serikali huandaa environment watu wafanye biashara full stop hamna cha kuachia hela wala nini serikali inatakiwa ikusanye. Viva Magu yaani watalalamika hadi siku ya kuhesabu kura.
 
Huyu amechoka kweli piga chini weka hata mzee wa wali kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…