Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Hata huku kwetu hakuna umeme.

Mashine hazifanyi kazi so wale mafundi carpentry wategemeao umeme kuendesha mashine zao hawana kazi leo.

Ni aibu aibu aibu aibu kwa nchi kukosa umeme

Tena aibu zaidi ni umri wa nchi hii tangu 61 hadi sasa wananchi wako gizani! Si bora tungemuacha mkoloni aendelee kutawala tu.
 
Na ndicho wanachokifanya

Hii nchi ina vituko sana yaani wauze umeme zambia wakati hapa ndani bado hali ni mbaya. Alieturoga kafa
Ukiwa na Viongozi wa namna hiyo jua hakuna watu hapo mkuu eti tuuze Umeme wakati hapa tu hakuna hapo Panama wanafikiri kutengeneza Bwawa la ziada la kutunza maji ili kwenye ile Canal yao wanayopitisha meli yakipungua maji yaweze kuwasaidia sisi huku tukiwa na Vyanzo vya maji mengi kila mwaka tunatangaza maji machache Mtera tunataka Mwalimu Nyerere aje tena kujenga Bwawa la ziada la kutunza maji na kutumia makaa ya mawe kwa ajili ya kuzalisha Umeme..
 
Ukiwa na Viongozi wa namna hiyo jua hakuna watu hapo mkuu eti tuuze Umeme wakati hapa tu hakuna hapo Panama wanafikiri kutengeneza Bwawa la Zidane la kutunza maji ili kwenye ile Canal yao wanayopitisha meli yakipungua maji yaweze kuwasaidia sisi huku Maji mengi kila mwaka tunatangaza maji machache Mtera tunataka Mwalimu Nyerere aje tena kujenga Bwawa la ziada la kutunza maji na kutumia makaa ya mawe kwa ajili ya kuzalisha Umeme..
Ni aibu kwa uongozi wetu wanapaswa kubadilika
 
Kwa maeneo niliyopo umeme haukuwahi kukatika licha ya hali ya ukosekanaji wa umeme kwa muda unaondelea kwenye baadhi ya maeneo nchini.

Leo naamka umeme hakuna nikajua ni luku imeisha kumbe tayari washachukua umeme wao.
Hali ni tete kwa wanaotegemea umeme kwenye kuendesha biashara zao, sijui hii changamoto itadumu mpaka lini?

TANESCO TANESCO TANESCO
😂😂hyo ni knondoni,kawe,msasani,masaki,mikocheni,magomeni kati ya hzo sehemu
 
Back
Top Bottom