Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
Hata huku kwetu hakuna umeme.
Mashine hazifanyi kazi so wale mafundi carpentry wategemeao umeme kuendesha mashine zao hawana kazi leo.
Ni aibu aibu aibu aibu kwa nchi kukosa umeme
Tena aibu zaidi ni umri wa nchi hii tangu 61 hadi sasa wananchi wako gizani! Si bora tungemuacha mkoloni aendelee kutawala tu.