Tetesi: Huku wachina kule mvua, njaa na maradhi vinatuua watanzania

Tena ubeberu wao ni mbaya zaidi ya mzungu. Mzungu anaogopa haki za binadamu hawa hawajali kitu hicho.
Bibi acha uongo basi, kuanzia lini wachina wakawa ni mabeberu?
Kama kweli ni mabeberu sasa kwa nini hawana mikia?
Hao mabeberu weupe mnawasingizia tu ila kiuhalisia hakuna mabeberu mabaya kama mabeberu meusi, yaani yana roho za chuki, choyo, hasadi, roho mbaya, wivu, visasi, dhuluma na kila aina ya uchafu ndani ya mioyo yao.

Maendeleo hayana chama
 
Umenishinda tabia mjukuu.
 
Hata mimi niliisikia hii kwamba wazuia ili wamalizie SGR pamoja na izo zenye round about hapo mkabala na jengo la watts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachina wanahusika pia na cyclones huko US, Indonesia, India, Mozambique, Malawi, Zimbabwe n.k.
Hii inaonyesha kuwa hawa jamaa ni tishio duniani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! stupid
 
Waliwekeza kwenye nishati kwanza. Umasikini unachangia ukataji miti tupate kuni na mkaa.
Gesi ingekuwa nishati kuu tungeokoa sana miti.
Gas imekuwa mali ya China ghafla, yale tuliyoaminishwa hapo mwanzo kuwa tutapata gas hadi kusambazwa majumbani ni hadithi za alfu lela ulela.

Nchi ina watu wenye uwezo duni wa kufikiri hii balaa.
 
Huko turkana si ndiyo kuna mafupa na kuna miradi inaendelea huko ya ujenzi
 
Nakazia hii comment iwekwe stick.
 
nlikuwa Morogoro llast week, kule juu Milimani MTC nikawa naskia vitu km risasi! Nikawauliza wenyeji nini hiki? Walinijibu huyo ni Mchina anatawanya mawingu ya Mvua!
Huo ndo uchawi wao, wao wana aina nyingi za kuwanga juu ya ardhi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…