Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,kama ww umekaa Zanzibar miaka 7Mkuu nimeishi Zanzibar miaka 7 kwahiyo ninachokiongea Nina uhakika nacho.
Nimewala Sana wazanzibari; ukiwajulia vizuri ni maharage ya Mbeya Tena take mabichi
Mkuu,humu ndani watu wanapigaana uwongo tuu kwa asilimia kubwa.Hawa jamaa wanachekesha... Hii lugha wao waliitoaga wapi? Eti mkuu... Li-paulo!!!
Mkuu tatizo lipo maana mtoa mada ameandika baadhi ya vitu ambavyo si vya kwel,"Sasa hapa tatizo liko wapi?"
Ooh tatizo ni wewe kwa kudhani ni tatizo
Mtoa mada hajasema ni tatizo ila inashangaza na kuchekesha tu
Yeah wengi wasema hivyo ila hapo mie nimemnukuu yule dereva wa bodaboda aliyenipakia ndiyo alisema "harage"Naomba nikurekebishe sio harage wanasema haragwe.
Kabisa yani. Imagine pale mjini tu kuna vitu hauelewi halafu unaambiwa bora wa mjini kule shamba ndiyo kabisa hauelewi kitu.Usiombe uende huko vinijini, wakiongea unaweza usiam ilie kitu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahYaani mtu akikuita mmakunduchi, ana maanisha wewe ni mjinga was mwisho. Ya wamakunduchi wale jamaa ni zero brain kabisa
Kabisa yani. Kule wanaweza wakakufanya ujione haujui kiswahili.Ukienda Pemba ndio utachoka
Au hapo Unguja nenda tumbatu au makunduchi. Unaweza usielewe wanaongea lugha gani
hii chai hii😂😂Bila kusahau kilima nyege
Hakuna tea hapo!.....hii chai hii😂😂
..Eeh geti wanaita Jitobo
Take it easy, this is JFMkuu tatizo lipo maana mtoa mada ameandika baadhi ya vitu ambavyo si vya kwel,
Na wachangiaji wengine wamekuja kuendeleeza uwongo,
Kwa maana hiyo munawadanganya watu
Rula inaitwa mstari, Daftari linaitwa buku, Sokoni ni Markit!
Mgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!
Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!
Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)
Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!
Huku Zanzibari;
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu, nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
- Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
- Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
- Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
- Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
- Pombe wanaita- moja moto moja baridi
- Ukitafuta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafuta HAFU
- Shule huku zinaitwa skuli
- Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
Itakua maskani yako ni Kwahaji tumbo wewe au mfereji wa Wima kwabizeredi, ndio kuna wajuvi wa lugha huko!!
Mgeni akifika Zanzibar, watu wa huku ukiwatizama wanazuga kama hawana tyme nae!
Lakini lazima huwa wanamfuatilia nyuma nyuma kuona anaelekea wapi na ni mgeni wa nani!
Wakishajiridhisha mahala ulipofikia wakikuona tena!!
Utawasikia " Huyu si aishi pale kwa Ariiiiii!!" (Yaani mgeni wa Ally)
Wanawake huku Zanzibar waoga sana kusemeshwa njiani na mtu wa bara, yaani hata ukimsalimia anaitikia kwa sauti ya chini wala hasimami!
Huku Zanzibari;
Hakika huku Zanzibar ni tabu tupu, nasubiri tarehe 30 nirudi zangu bara!
- Round about inaitwa (ikipinda) au (mviringo), kwenye daladala utasikia Shusha hapo ikipindaaah! Maana yake shusha round about
- Huku Zanzibar sufuria linaitwa dishi,
- Kisima cha maji kinaitwa kisima cha kuvuta
- Huku hakuna fundi bomba Bali kuna fundi mfereji, ukitaka maji ya bomba inabidi useme unaomba maji ya mferejini
- Pombe wanaita- moja moto moja baridi
- Ukitafuta chupi utazunguka sana hupati hadi useme unatafuta HAFU
- Shule huku zinaitwa skuli
- Ukitaka kununua chepe/koleo huku hawalijui hadi useme unataka Li-PAULO
Hafu ya mama Janet imefanana na ya JescaHa ha haaa eti chupi inaitwa Hafu. Hatari sana
Inategemea na aina ya mbavu zake, kwani wote tumechekeshwa na ya Zenji?Pia hakipo, maana hata Mzanzibar akienda Simanjiro, Arusha au Manyara akikutana na Wasandawe wanavyoongea, je kuna cha kuchekesha kwake!?
Sio Tanga ndio ilifaa kuwa sehemu ya mkoa wa Zanzibar?Huko kulitakiwa kuwa sehemu ya mkoa wa Tanga