Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Leo ndio tarehe iliyopangwa kusikilizwa kwa kesi ya katibu wa Jumuiya na mihadhara ya kiislam sheikh Issa Ponda baada ya kuhairishwa kwa jaji kutofika mahakamani.
Swali la msingi kama wafuasi wake wamefungwa miaka kadhaa jela je huyu kiongozi atasalimika?
Updates:
Ulinzi imeimalishwa mtaa wote naona askari kanzu ndio wengi na wale wa FFU kama vile wanaenda vitani
kwa hiyo Barubaru unadhani mpaka sasa hata kabla mahakama haijatoa hukumu,je! imefuata sheria au haijafuata? kama haijafuata; ni sheria gani iliyovunjwa? je! hiyo sheria iliyo vunjwa unadhani ni kwa nini imevunjwa? je! wewe unaamini kwamba mahakama ndicho chombo sahihi cha kutoa hukumu? kama huamini; unadhani ni chombo gani ambacho kinaweza kuwa sahihi zaidi katika kutoa hukumu za haki? watu kukwepa kujibu mambo haya ndiko kunakoleta shida za kitafsiri.Je unajuwa kuwa kuna mahakama huko Tanzania zinazoshughulikia masuala ya ardhi? Je mahakama ya kisutu ndio yene dhamana hiyo?
usikurupuke katika hili hebu pitia hati ya mashitaka uone ameshitakiwi kwa lipi?
Pole sana
. Ya Lema ilikuwa ya kizushi. Ponda anatupeleka pabaya akapumzike jela,maana hasikii.Wamfunge miaka mingi ndo huyu bingwa wa kueneza udini
Kwa hiyo ili udai haki lazima uwe na hati?, kwa hiyo mtu asiekuwa na kazi ni haki kumbabikizia kesi ili akose mdhamana...hivi unatumia akili kweli kufikilia!?
mifano yako ni dhaifu sana mkuudhulma ya waziwazi ktk nchi hii ditopile aliua kapewa dhamana msanii lulu aliua kapewa dhamana llwakatale ndio huyo hana muda atatoka chenge alieiba na chenji ya rada imerudi yupo nje ponda kesi ya kiwanja anafungwa tena sio akashitakiwe mahakama ya ardhi laa lema anatishia amani ya nchi yupo nje
Je unajuwa kuwa kuna mahakama huko Tanzania zinazoshughulikia masuala ya ardhi? Je mahakama ya kisutu ndio yene dhamana hiyo?
usikurupuke katika hili hebu pitia hati ya mashitaka uone ameshitakiwi kwa lipi?
Pole sana
Mkuu juzi nilikua kwenye mkutano wa Lema ngarenaro Arusha, Lema aliwaambia watu wa arusha wasije wakaingia kwenye mkumbo wa kushangilia Sheikh Ponda kunyimwa dhamana, Lema alizidi kusema kuwa makosa yanayopaswa kushitakiwa nayo Sheikh Ponda ni bailable offence na he has rights as suspect na sio kama jeshi la polisi linavyom-treat.Lema Kesi ya Uchochezi alipewa dhamana,mbona Ponda hapewi kesi hiyo hiyo?Huu ni uonevu na double standard
Dhulma ya waziwazi ktk nchi hii ditopile aliua kapewa dhamana msanii Lulu aliua kapewa dhamana lLwakatale Ndio Huyo Hana muda atatoka Chenge alieiba na chenji ya rada imerudi yupo nje ponda kesi ya kiwanja anafungwa tena sio akashitakiwe mahakama ya ardhi laa Lema anatishia Amani ya nchi yupo nje
sumu imekuathiri mpaka kwenye ubongo wako! Kwaio tumsamehee?? Alikua wap kuhamia chadema??angetetewa na mawakili nguli kama tundu lissu na mabere malando! Yeye c yuko cuf? Aya mwache anyeshewe mvua za kutosha mahakaman, na aya ndo madhara ya common law wa2 wa nje ya mahakama wanakua na nguvu sana! Kunywa maziwa wewe urudi ktk hali yako!
mahakama za bongo homa za vipindi tu......hazina muendelezo wa kutoamaamuzi mazuri........kwa mfano kwenye ishu ya dhamana nchi za watu hadi watuhumiwa wa mauaji wanaachiwa huru itakuwa kuvamia kiwanja.......kilichopo hapo ni Ponda vs Bakwata + serikali....... sijuikwa hiyo Barubaru unadhani mpaka sasa hata kabla mahakama haijatoa hukumu,je! imefuata sheria au haijafuata? kama haijafuata; ni sheria gani iliyovunjwa? je! hiyo sheria iliyo vunjwa unadhani ni kwa nini imevunjwa? je! wewe unaamini kwamba mahakama ndicho chombo sahihi cha kutoa hukumu? kama huamini; unadhani ni chombo gani ambacho kinaweza kuwa sahihi zaidi katika kutoa hukumu za haki? watu kukwepa kujibu mambo haya ndiko kunakoleta shida za kitafsiri.
Hukumu inaendelea kusomwa hapa Kisutu. Bado 50/50
Huoni kuwa unatujazia server?...Rejea post yangu uisome tena na uielewe...
Kadiri muda unavyokwenda ndiyo ambavyo heshima yako inazidi kupungua Mkirua, Jibu hoja badala ya kusingizia uandishi, matamshi na post zilizopita... Crushwise amekuuliza swali la msingi kuwa kukosa Hati ndo imemsababishia Ponda kufunguliwa kesi ya ugaidi na kukosa dhamana? Mkuu Barubaru anakuuliza toka lini mahakama ya kisutu ikahusika na migogoro ya ardhi?...Sijui Kufikilia ni nini labda kama ulimaanisha kufikiria nikujibu. Pili acha kukurupukia post ambayo huelewi chanzo chake ni nini huyo niliyemjibu anaelewa tulikoanzia...tulia soma toka mwanzo utaelewa mantiki ya hoja yangu.
Nilidhani ni upogo wa dini umekutawala kumbe hata shule nayo inasumbua? can't you read between the lines...majibu gani unataka? kwamba mlinzi wa nondo alikuwa sheikh Ponda? Nani ana uwezo wa kuthibitisha kuwa ni kweli mliweka nondo kwenye kiwanja cha Waislam? wewe unaviwanja vingapi ambavyo havina hati? Ukiambiwa kuwa hiki kiwanja ni cha kanisa the mmiliki anakuwa ni Padri ama waumini wa hilo kanisa?... nijibu kwanza hayo machache kisha tuendelee Mkirua...Aksante kwa kuthibitisha kuwa huna majibu, after all wewe unamchango gani katika hiyo server?