HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

Kuna mtu alishitakiwa kwa kumkashifu JPM , wakadai huyo aliyekashifiwa ni Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli , lakini Tundu Lissu alipinga na kuuliza Mahakamani kama wanaweza kuthibitisha kwamba JPM ndio Magufuli , Je akiwa Rais Magufuli ?

Mshitakiwa alishinda kesi na kuachiwa
 
Unataka mpaka kuwe na name calling ndio uone kosa?

Hapo ipo wazi alikuwa akimwongelea mh rais Mia!!!

Kuwa mkweli bwana.
Huyo kijana si tu amemkashifu mh raisi, bali pia ametukana na kudhalilisha wanawake wote, alistahili hicho kifungo.
 
Nyie ccm kila siku tunawaambia tuwe na katiba mpya na kutunga sheria zenye kufanya nchi iwe na utawala bora mnaishia kuimba sifa hapa jukwaani.

Sasa sheria za kinyemela na upumbavu wenu unapowarudia mnakuja kuomba wale mliokuwa mnawadharau na kuwaita vibaraka wa mabeberu ndio waje kuwapigania.

Pambaneni na hali zenu shwain nyie mpaka akili za mabadiliko ziwaingie
Hyo katiba mpya ndiyo ya kuruhusu matusi? Mna udumavu wa akili
 
Huyo mama aliyetajwa ni mamako au mamake? Ktk wapumbavu nchi hii we nafikiri unaongoza. Na ma..mbu yako unakuja kuandika huu utopolo. Kama unampenda sana mfuate gerezani. Popoma kweli. Alitakiwa afungwe maisha, unamtukana Rais wa nchi hivyo? We una Mama kweli? Alikuleaje? Na ahasiwe kabisa huyo hatakiwi ht kuwa na uzao atatuzalia vitu vya ajabu km mleta uzi huu
Huyo kijana alikosea sana kutukana kwa kuweka kigezo cha jinsia, angemkshifu raisi kama raisi, yeye kamkashifu kwa sababu ni mwanamke, Ametukana mawazo ya kike na kukashifu kunyonyesha kana kwamba yeye hakunyonyeshwa..

Pumbavu sana, angeongezewa kifungo..
 
Sasa hapa mbona umeweka blah blah tu na mawazo yako akuna hukumu yoyote ulioiweka
 
Ila masikini wanaonewa Sana kwenye nchi hii. Yani SMS Ina mafumbo haipo clear mtu anapigwa faini ya million 15?. Duh aisee sio haki kabisa.
 
Ukiona Karne ya 21 Rais anabishana na wananchi namna ya kuongea kwenye mikutano ujue mumekwisha yaani tupo 1965

Alisema ukimparua na yeye atakuparua na kukuparara haswa. Naona dogo anaparuriwa.
 
Pambaneni apunguziwe adhabu tu ndiyo kuna mwanya, lakini kuwa alikuwa anamtukana Rais Samia na wanawake wote wa Tanzania hakuna ubishi na HAWEZI chomoa.

Sukuma gang wana hasira sana, nadhani huyu alikuwa na nafasi nyeti wakati wa Magufuli
 
Hata kama hukumu ingekuwa haijatoka tupo au mngekuwa huru kuongelea hiyo kesi.
 
Siyaungi mkono maccm, ila uko sahihi. Hiyo hukumu imetolewa kwa mihemko.
 
Huyo kijana alikosea sana kutukana kwa kuweka kigezo cha jinsia, angemkshifu raisi kama raisi, yeye kamkashifu kwa sababu ni mwanamke, Ametukana mawazo ya kike na kukashifu kunyonyesha kana kwamba yeye hakunyonyeshwa..

Pumbavu sana, angeongezewa kifungo..

Hapo alipotumia jinsia ndio anapo ponea kama akikata rufaa....nchi hii ina wanawake wengi viongozi
 
Huyo mama aliyetajwa ni mamako au mamake? Ktk wapumbavu nchi hii we nafikiri unaongoza. Na ma..mbu yako unakuja kuandika huu utopolo. Kama unampenda sana mfuate gerezani. Popoma kweli. Alitakiwa afungwe maisha, unamtukana Rais wa nchi hivyo? We una Mama kweli? Alikuleaje? Na ahasiwe kabisa huyo hatakiwi ht kuwa na uzao atatuzalia vitu vya ajabu km mleta uzi huu
Tatizo hapo ni tusi ama aliyetukanwa. Wewe kusema mwenzako anaongoza kwa upumbavu, kaandika utopolo, popoma kweli, Siyo kutukana? Na wewe ufungwe maisha?

Kwa nini unatamani huyo kijana ahasiwe. Kuhasiwa kunahusiana vipi na yeye kutukana? Kweli tusi ndio mtu afungwe maisha?
 
Amesema taifa limekuwa kama lina wanawake wote, kwa hiyo anamzungumzia kiongozi wa taifa.
Hapo alipotumia jinsia ndio anapo ponea kama akikata rufaa....nchi hii ina wanawake wengi viongozi
 
Back
Top Bottom