Hukumu ya kifo Kwa vijana wa Kuluna Gang DRC iwe fundisho Kwa panya road

Wewe ulijulishwa kuwa imetekelezwa kama nani? Ahahahahaha!!!
We nisikilize Mimi
Hao vijana habari Yao imeishia pale
Ukibisha subiri kama utawaona tena
Huko Kinshasa ni shangwe tu watu wanasherekea
 
Tanzania hapa Kuna Marais eti wanaogopa Kusini sheria hiyo matokeo yake wanazidi kulea uovu.
Viongozi wa nchi hii masnitch sana. Hadharani wanavunga watakatifu hawataki damu mikononi mwao hata mtu awe kastahili vipi kisheria.

Ila behind the scenes sasa, mtu mwema akikosoa uovu wao tu wanachokifanya hadi shetani anabaki mdomo wazi.
 
Kuluna DRC ni matokeo ya kufeli kwa mamlaka.
Hili ni tatizo kwa Africa yote, tunapenda Sana kudeal na tatizo na sio mzizi wa tatizo lenyewe.

Mbona hatusikii UAE, Kuwait, Qatar, UK, Uswisi, Germany, France, USA, Finland, Denmark, Norway nk vijana wakifanya haya matendo?
Kweli DRC imefeli na imefelishwa
Lakini sio sababu ya uharifu
Uharifu uko nchi zote
Nigeria, Colombia, USA, South Africa, Italy n. K
 
Tanzania hapa Kuna Marais eti wanaogopa Kusini sheria hiyo matokeo yake wanazidi kulea uovu.
Hii adhabu ya kifo hapa kwetu inatekelezwa vizuri tu
Kuna askari wameajiriwa Kwa hiyo kazi na Huwa wanaitenda
Sio kila kitu utaambiwa wazi
Kikubwa jiepushe na uharifu wa kukutana na adhabu ya kifo maana itatekelezwa vizuri tu
 
Kweli DRC imefeli na imefelishwa
Lakini sio sababu ya uharifu
Uharifu uko nchi zote
Nigeria, Colombia, USA, South Africa, Italy n. K

Ni kweli uhalifu uko kila mahala, kwenye mfano wako ondoa nchi za kiAfrica ambako kuna tatizo lilelile la mamlaka kufeli na Taifa kiujumla kushindwa kutengeneza future na mazingira mazuri kwa watu wake kuishi.

Sijawahi kusikia USA vijana/vibaka mitaani wanaua na kukata kata watu mapanga hovyo hovyo au vibaka kuvamia watu majumbani hovyohovyo.
Uhalifu Italy upo lakini unaongelea mafia gang wanaofanya biashara za madawa,casinos, madanguro nk na wako sticky kwenye biashara zao.
 
Sasa wewe hoja yako Nini?
USA huo uharifu upo
Tena Bora hata Congo
Hujasikia wahuni wanabaka, wanamimina risasi shuleni, super market n.k
Waulize waliofika USA wakusimulie
 
Hao walitakiwa kufungwa maisha gerezani,na wakiwa huko ndipo wangeuliwa kwa siri,sio huu unyama wa kutangaza hadharani kuwa tumeua ni makosa makubwa. Binadamu hata atende kosa gani hata aue lakini bado yeye ana haki ya kuishi. Hawa walitakiwa wahukumiwe jera maisha,kisha huko gerezani wawaue.
 
Siku akibakwa Binti yako, mamako, mkeo na wahuni zaidi ya 30 utakuja hapa uwahumie
Hao sio watu
 
Sasa wewe hoja yako Nini?
USA huo uharifu upo
Tena Bora hata Congo
Hujasikia wahuni wanabaka, wanamimina risasi shuleni, super market n.k
Waulize waliofika USA wakusimulie

Hao vijana wa DRC ndio sehemu ya maisha yao na wengi ni maisha mabovu na kukosa uelekeo wa maisha ndio kunawapelekea kukosa option nakuwa vibaka wa hovyohovyo mitaani.

Hao wanaomiminia watu risasi USA ni mtu mmoja mmoja kwa sababu maalumu nk, na wengi sio suala la maisha na kukosa uelekeo wa maisha bali issue binafsi ambazo lawama lazima uzirudishe kwa mhusika na ujinga wake.
Hawa wa USA sio vibaka au watu waliokosa uelekeo wa maisha.

Huku Africa hawa vijana unakuta hata Kesho yao hawaijui, hawana makazi, umasikini uliotukuka nk. Matokeo wanajikuta hawana option wala matumaini yeyote.
 
Hukumu ya kifo imekaa kikatili sana,
Nikiona video namna walivyokuwa wanalia Kwa lililopo mbele yao ni huruma ni kweli ni vibaka lakini ni afadhali wangefungwa maisha
Hivi mtu anakuja kwenye familia yako. Wewe baba haupo upo kwenye mishe, unarudi home unakuta wanao na mkeo wamebakwa kisha kukatwa katwa mapanga.

Je huyu muuaji unampa hukumu gani?
 
Siku akibakwa Binti yako, mamako, mkeo na wahuni zaidi ya 30 utakuja hapa uwahumie
Hao sio watu
sitetei uharifu na uhuni wa hawa vijana huko DRC LAKINI adhabu ya kifo ishafutwa na badala yake kifungo maisha ni adhabu stahiki. Nchi itaona namna gani itawafanya hawa watu, ikiwa ni pamoja na kuwaua kwa siri.
 
Hao vijana wa DRC ndio sehemu ya maisha yao na wengi ni maisha mabovu na kukosa uelekeo wa maisha ndio kunawapelekea kukosa option nakuwa vibaka wa hovyohovyo mitaani.

Hao wanaomiminia watu risasi USA ni mtu mmoja mmoja kwa sababu maalumu nk, na wengi sio suala la maisha na kukosa uelekeo wa maisha bali issue binafsi ambazo lawama lazima uzirudishe kwa mhusika na ujinga wake.
Hawa wa USA sio vibaka au watu waliokosa uelekeo wa maisha.

Huku Africa hawa vijana unakuta hata Kesho yao hawaijui, hawana makazi, umasikini uliotukuka nk. Matokeo wanajikuta hawana option wala matumaini yeyote.
Hakuna sababu ya msingi ya mtu kufanya uharifu
Kwaiyo ukiwa na maisha magumu ndo ubake, uuwe watoto, wanawake na wazee

Unasema USA ni mtu ana maisha mazuri ila anakuwa mharifu

Kwani huko DRC hakuna watu wenye maadili mashehe, wachungaji na watu wema
Kwanini tutafute sababu ya kuona uharifu ni sawa
 
sitetei uharifu na uhuni wa hawa vijana huko DRC LAKINI adhabu ya kifo ishafutwa na badala yake kifungo maisha ni adhabu stahiki. Nchi itaona namna gani itawafanya hawa watu, ikiwa ni pamoja na kuwaua kwa siri.
Wahuni 200 hawawezi kuachwa watese mamilion ya watu
laZima waondolewe
 
Back
Top Bottom