Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

DVD?
 
Wakili wa utetezi anasema.DVD iliyochezwa mahakamani haitoneshi sura za akina nyundo wala kitendo walichofanya.
Swali watu wamemjuaje kuwa yule ni nyundo?
Sawa sio wao kwanini akamatwe nyundo na wenzie?wakati hawakufanya chochote?
 
Sure? Kama ni kweli haki imetendeka na imeonekana kutendeka.

Swali: Tutakuwa na uhakika gani kwamba wameenda Ngome aka Lupango?

Afande ameepuka vipi Kikombe?
Wao walikataa kuwa hawajatumwa na afande .utawasaidia vipi?wameamua kufa kijerumani.bora wangekubali wametumwa mahakama ingeweza kuwasaidia.lakini sasa wanekataa inaonekana wamebaka kwa mapenzi yao.sio kutumwa
 
Hili tumemaliza salama
 
Attachments

  • Screenshot_20240930_173747_Instagram.jpg
    407.1 KB · Views: 2
Wao walikataa kuwa hawajatumwa na afande .utawasaidia vipi?wameamua kufa kijerumani.bora wangekubali wametumwa mahakama ingeweza kuwasaidia.lakini sasa wanekataa inaonekana wamebaka kwa mapenzi yao.sio kutumwa
Safi wamepewa haki yao ya kikatiba kwa kumlinda Afande.
 
Wakirudi mtaani tutakata dude zao!
Wewe wasema, lakini uelewe kuwa
binadamu hatulingani akili, kuna wanawake wengine wanapenda wanaume wababe na wachafu wa tabia.

Wakitoka hapo wachumba nje nje, mi nakwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…