Humble African vs The bold

As humble as your ID.

Mimi ni msomaji sana wa story, especially first hand stories achana na copy paste.

Wewe na The Bold kila mmoja ana jinsi yake ya uandishi ambayo huikuti kwa mwenzake.

Andishi lako la Uchumi wa Japan liliniambia kwamba wewe si mwandishi tu bali ni Best Brain kwenye kuoanisha matukio kutengeneza relevance kwenye mazingira husika.

Stay Humble and Hungry.
 
sijausoma huo naomba unitag Don
 
Mimi napenda kumsoma Humble African yuko genuine mno akiandika Bold anajua ila anacopy mno kazi zake kutoka sehemu. Hiyo ndo tofauti yao.
Ni kweli ila, copy na wewe kwanza tuone.watu wengine muna wivu wakike!mwenye haki yake mpe acha maneno mengi,ila samahani mkuu.huwezi kuwa mwandishi nzuri bila kukopi ktk maandiko mengine.labda kama unaandika riwaya
 
Golden comment hii... Najilazimisha kutafuta maandishi sahihi na mazuri ya kureply hii comment yako mkuu nayakosa...! Angle uliyotumia kuangalia lane yangu na mkubwa bold kiuhandishi inathibitisha ukomavu wa kiakili ulionao.

Simply perfect analysis.[emoji108]
 
waandishi wote hawa ni wazuri maana wanatupatia chakula ya ubongo kikamilifu , tuwape hongera , tusiwakatishe tamaa ili waimarike kupita walivyo sasa na zaidi tusiwajengee makundi.
 
nitag uzi wa Japan nikausome mda huu
Ajabu ule Uzi niliuandika nikiwa pub naangalia mpira, I was bored!... Its amazing Don anasema aliufurahia na kujifunza kitu muhimu ilhali Mimi niliuona kama bado mediocre na haukidhi viwango kukaa jukwaa la siasa regarding kule Kuna watu manguli kama Pascal mayalla e.t.c nilifurahi maana ndio Uzi wangu wa kwanza kupatiwa "likes" na brother Max Mello though. Lovely!

Huu hapa Karibu Japan economic miracle: Funzo kwa Rais Magufuli juu ya hatma ya Tanzania

Enjoy!
 
Hua anacopy wapi mkuu?
Unajua Wabongo tuko so selfish kiasi MTU anaweza kumzibia mwenzake hata kama uwepo wa huyu hauathiri wa mwingine, kuna kukatishana tamaa ili ionekane wewe si kitu isipokuwa fulani.

Kitu hiyo siyo sahihi, ukirudi nyuma kwetu hapa utakutana na Joram Kiango, Elvis Musiba (sins uhakika spelling either Msiba), na wengine wengi, kila mmoja alikuwa ana fan base (+soko) lake na walikuwa best sellers.

Hapo hatujaenda kwa kina J. H. Chase, Robert Ludlum, Ian Fleming, Mario Puzo, Sidney Sheldon, et al. Kila mmoja alikuwa/ana kitu chake kinachompa edge kwa hadhira yake.

So, stay put man.
 
Ahsante humble naelekea huko unaona uzuri wa kusoma HKL yaani uko bored unashuka nondo tena Bar,amini Don yuko vizuri sana kichwani mpaka amekuja kuappreciate hapa na mkubwa Mx kalike wewe ni balaa.
 
Ahsante humble naelekea huko unaona uzuri wa kusoma HKL yaani uko bored unashuka nondo tena Bar,amini Don yuko vizuri sana kichwani mpaka amekuja kuappreciate hapa na mkubwa Mx kalike wewe ni balaa.
Halafu wewe!

Siyo vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…