JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Fanya homework yako vizuri. Pole pole anakula maisha swaafi.Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.
Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?
Au ni msongo wa mawazo 'depression'?
Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.