Humphrey Polepole amepatwa na nini?

Humphrey Polepole amepatwa na nini?

Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.

Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?

Au ni msongo wa mawazo 'depression'?

Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.

Fanya homework yako vizuri. Pole pole anakula maisha swaafi.
 
Hajaanza leo, muone hapa 2yrs ago

Ni furaha yake tuu

mama D nakumbuka wakati watu wanahoji alipo r.i.p jpm mlikuwa mnasema yupo ikulu anachapa kazi kumbe amelazwa hospitali ya mzena. sasa mwangalieni na huyu mnayesema yuko sawa msije mkashangaa siku moja mtakapoambiwa yupo ile hospitali maarufu pale dodoma akipatiwa matibabu
 
Wanafiki mnahangaika nao wa nini huyu alisaliti mawazo ya kimageuzi kupata katiba mpya wakamlipa kwa cheo
 
Hata ungekuwa ww ungechizika tu... Angekuwa Waziri saizi..
 
Mbona namuona yupo sawa,,angekaa kimya mngesema MaTaga wanakomeshwa,,akiongea na kutupia ma-video mnasema ana depression 🤣🤣🤣..sasa afanyaje?
Anawazodoa walipa Tozo wote, ambao manaona ana stress wakati kila mwisho wa mwezi ana kunja 12 millioni bila kodi, 2025 anarudi kwa nguvu zote. Mama anapasua anga, wao ndio wapo mgodini kuzichuma kujiandaa na mtanange wa 2025.
 
Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.

Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?

Au ni msongo wa mawazo 'depression'?

Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.

This is compassion. Responding to a stressfull condition trying to neutralize situations. Usually it is overperformed.

Wameua watu sana. Laama zinawaandama. Hawalali usiku wala mchana. Wanapoona hakuna walichovuna ndipo wanazana kujionesha kwenye jamii kuwa wako sawa.
 
Mleta mada hebu acha kutupotezea muda wetu. Sasa hapo cha ajabu nini? Tunaishi kwenye zama za mitandao na watu kutuma video zao, hasa vijana ni kitu cha kawaida. Polepole bado ni kijana sana mwache afurahie maisha yake.
Na hizo clip za kucheza muziki amekuwa akizituma toka enzi hizo, wasidanganye watu kuwa kaanza kipindi hiki
 
Ni depression.. na maumivu ya moyo
Anafanya hivyo ili watu wamuone yupo okey
Exactly... Kuna siku nimewahi kuwaza hivi angetumbuliwa jumla na akaachwa kitaa si angeweza kudata huyu??
 
Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.

Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?

Au ni msongo wa mawazo 'depression'?

Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.

Jamani mwacheni apumzike,aliongea sana
 
Kifo cha ghafla cha bwana yule kimewaacha waliokuwa wakimuabudu kuwa kama mazezeta hivi bwana Bashiru Ally yuko pande zipi kwa sasa hapa Danganyika
 
Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.

Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?

Au ni msongo wa mawazo 'depression'?

Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.

Huyu siku zote ni mwehu japo alikuwa na madaraka sijui kwanini hawakuliona hili.CCM hoyee ipi wakati ni unafiki mtupu?
 
Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.

Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?

Au ni msongo wa mawazo 'depression'?

Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.

Chakubanga
 
Viatu vyao walivyo viacha hapo CCM miezi michache iliyopita tayari vinawapwaya watu, hali itakuwa vipi tutakapotaja miaka? Hilo hamlioni mmeishia kuwa tukana na kuwa dhalilisha.
 
Back
Top Bottom