Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Point ni kwa kufuata maelezo yake, CCM ukiwa kwenye nafasi hizo unatakiwa ionekane una jambo la ziada tofauti na ulipokuwa kwenye nyadhifa hizo mpaka uteuliwe.Ukishasema si rahisi maana yake inawezekana ila si rahisi, so what is his point?
Kwenye Draft inaitwa Forced King🤣🤣But that is a different point, about an individual, not about the offices of the VP, PM, Speaker, etc and their officeholders .
Why is it so hard to see that these are two different points?
Kuchukua fomu unaweza kuchukua maana unalipia na unatunisha mfuko wa chama …..ila kupita sahau huwezi kataaa pesa za bure…..ndo maana akina mwijako kwenye ubunge wamechukua pia hakuna aliekatazwa ni pesa inaingia chamani ila kupata wasahauKuchukua ni jambo lingine na kupita ni jambo lingine? Ni haki yake kuchukua ila kupita kama mgombea ndio ngumu
Sahihi kabisaKuchukua fomu unaweza kuchukua maana unalipia na unatunisha mfuko wa chama …..ila kupita sahau huwezi kataaa pesa za bure…..ndo maana akina mwijako kwenye ubunge wamechukua pia hakuna aliekatazwa ni pesa inaingia ile msiwaze kitu tuu
Kwanza kabisa nchi na chama haviendeshwi kwa tamaduni na desturi, vinaendeshwa kwa katiba.Point ni kwa kufuata maelezo yake, CCM ukiwa kwenye nafasi hizo unatakiwa ionekane una jambo la ziada tofauti na ulipokuwa kwenye nyadhifa hizo mpaka uteuliwe.
Na Kwa tamaduni hizo hizo Kila baada ya miaka 5 ya mwisho wa Rais aliyeko madarakani, CCM huona vyema waliofanya nae kazi watoke Kwa pamoja ili safu ijayo iwe na watu wapya.
Na kasema hayo hufanyika kwenye vikao vya mchujo.
Soma tena ulichoandika kuna sehemu hoja yako inakosa mashikoKwanza kabisa nchi na chama haviendeshwi kwa tamaduni na desturi, vinaendeshwa kwa katiba.
Kama kitu ni muhimu sana, wakiweke katika katiba. Kusiwe na shida ya habari zisizoandikwa kikatiba. Mambo ya utamaduni kila mtu anaweza kusema yake.
Waweke katika katiba kuwa mtu akiwa VP, PM, Spika hatakiwi kuwa rais.
VP ndiye backup ya rais. Rais akifariki, kikatiba, VP automatically anaapishwa kuwa rais. Kimsingi ukimchagua mtu VP umemchagua kuwa rais wakati wowote. Alivyofariki JPM Samia alipata kuwa rais kikatiba bila hata uchaguzi.
Sasa hapo unasemaje VP hatakiwi kugombea urais wakati ukimchagua mtu VP tayari umempitisha kuwa rais wakati wowote?
Hapo umeikosa hoja yake. Kwanza duniani kote hakuna taasisi isiyo na tamaduni nje ya Katiba. Siyo lazima kufuatwa lakini hufuatwa.Sasa hapo unasemaje VP hatakiwi kugombea urais wakati ukimchagua mtu VP tayari umempitisha kuwa rais wakati wowote?
Hoja yako kwamba hoja yangu inakosa mashiko siyo tu inakosa mashiko, bali hata haijajengwa kabisa.Soma tena ulichoandika kuna sehemu hoja yako inakosa mashiko
mwanamke wa kizanzibariPolepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Sio kweli,anapendeks sana,huku mtaani wanampenda sanaSamia anaforce tu kwa sababu ana mamlaka lakini yule mama hapendeki iwe ni ndani ya chama ama nje ya chama
Polepole leo kajivuruga mno kwenye press conference yake. Kaongea kwa hisia sana.... hakuwa sawa.Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
mkuu hii haina mjadala ni watu tu wanajitoa ufahamu bila sababu yeyote ya msingiKwanza kabisa nchi na chama haviendeshwi kwa tamaduni na desturi, vinaendeshwa kwa katiba.
Kama kitu ni muhimu sana, wakiweke katika katiba. Kusiwe na shida ya habari zisizoandikwa kikatiba. Mambo ya utamaduni kila mtu anaweza kusema yake.
Waweke katika katiba kuwa mtu akiwa VP, PM, Spika hatakiwi kuwa rais.
VP ndiye backup ya rais. Rais akifariki, kikatiba, VP automatically anaapishwa kuwa rais. Kimsingi ukimchagua mtu VP umemchagua kuwa rais wakati wowote. Alivyofariki JPM Samia alipata kuwa rais kikatiba bila hata uchaguzi.
Sasa hapo unasemaje VP hatakiwi kugombea urais wakati ukimchagua mtu VP tayari umempitisha kuwa rais wakati wowote?
Habari nzima ya utamaduni ni logical fallacy.Hapo umeikosa hoja yake. Kwanza duniani kote hakuna taasisi isiyo na tamaduni nje ya Katiba. Siyo lazima kufuatwa lakini hufuatwa.
Watu wenye nafasi hizo Kwa mtizamo wa CCM baada ya kukaa madarakani Kwa miaka 10, ili wapitishwe ni lazima waoneshe Wana kitu cha ziada watatoa tofauti na walivyoshika nyadhifa hizo.
Wengi wanapenda.Inaonekana kulikuwa na mpango wa kutompitisha ndiyo maana akawashtukia na propably ni Kikwete alimpa maarifa. Lakini hata akifanikiwa utawala wake utakuwa mgumu sana sana kwa sababu wengi hawampendi.
Mungu pigania watanganyika, tunakuomba kwa Jina la Yesu.Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Kwa hiyo mama hakutakiwa kuchukua form ya Urais?Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Anajitoa ufahamu Polepole
Ndiyo maana mwaka 2021 walitaka asiwe Rais...Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.