Humphrey Polepole Kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho Oktoba 8, saa 8 Mchana

Haiba Imepotea Sasa Hivi!๐Ÿ˜ถ๐Ÿคจ๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Sasa si walimfungia au mtu akienda kufanya manunuzi kariakoo lazima polepole ajibu?
Kuna watu huji nasibu ni PHD holder lakini nafikiri wali piga kiboot. Maana hawa fikirii impact za maamuzi yao. Sasa CHADEMA ina watesa kuliko wange muacha Lissu aendelee na kampeni zake mwenyewe.
Sasa tume, polisi, CCM yenyewe wana mpigia Lissu kampeni bila kujijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ