mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Badala uzungumzie chama chao kitawafanyia nini watanzania ili wapate unafuu wa maisha,Hii nafasi imemshinda polepole
Ajabu ni kwamba atakuwa anamjibu LISSU,
CCM kweli mmekosa watu wenye akili ya kuwasemea Hadi mmewaka huyu mwanaharakati wa tumbo lake?