Humphrey Polepole Kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho Oktoba 8, saa 8 Mchana

Humphrey Polepole Kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho Oktoba 8, saa 8 Mchana

Wengi humu jf wanaonesha kuumizwa na utawala wa JPM na hi ni kutokana na kuzoea vya bure,hawataki kuamuni kua mambo yamebadirika sasa,izi sio zama za wapiga dili
Sio kwl unataka kusema "serikali ya CCM kuweka makato ya 15%Kweny mshahara wa mtanzania wa 380000.ambae ni kijana mtoto wa maskini aliemalza chuo ni Sahihi? Huyu mtoto ataishije?
Je nae ni mpiga dili?

Unadhani mfumo wa ambush kwa watu walioikosoa mamlaka kwa nia njema ya kujenga nchi walikua wapga dili?
Je mfumo wa kua na Sera zilizoteketeza private sekta . mtu akalisemea hili. Je atakua mpiga dili?nk nk.
Watu mnaofaidika na mfumo huu mumekua na Roho mbaya hata hamuoni watoto wa maskini wanavyotaabika!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Halafu unakuta anaongea porojo na kupiga tu vijembe kuanzia mwanzo wa huo mkutano mpaka mwisho. Wana moyo hao waandishi watakao kwenda kumsikiliza.

nafasi yake inamruhusu,kuna mtu anaropoka yeye kama hana maemaji kwenye chama.
 
Hahaha Magufuli ataongea lini na waandishi wa Habari?!

Mgombea hana press tangu mwanzo hadi mwisho wa kampeni?!
 
Sio kwl unataka kusema "serikali ya CCM kuweka makato ya 15%Kweny mshahara wa mtanzania wa 380000.ambae ni kijana mtoto wa maskini aliemalza chuo ni Sahihi? Huyu mtoto ataishije?
Je nae ni mpiga dili?

Unadhani mfumo wa ambush kwa watu walioikosoa mamlaka kwa nia njema ya kujenga nchi walikua wapga dili?
Je mfumo wa kua na Sera zilizoteketeza private sekta . mtu akalisemea hili. Je atakua mpiga dili?nk nk.
Watu mnaofaidika na mfumo huu mumekua na Roho mbaya hata hamuoni watoto wa maskini wanavyotaabika!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Wana roho mbaya kama wachawi,kuua kwao sio tatizo kama maslahi yao binafsi yanatishiwa!
 
Nape, Kinana, Mang'ula, Makamba, Mwigulu, jamani mumfunde huyu jamaa, press hizo atampa promo TL, kiukweli wakae vikao vya ndani, waweke LAST MINUTE strategy za ushindi.

Siyo kuropoka ropoka. Waje na swagga za maana ka maisha bora kwa mtanzania, katiba mpya, siyo kuita press kulalamikia NEC, upuuzi mtupu. Watu miaka mi5, wamechoka kusikia reli, stigla, mindege, na Chattle everything, airport, referral hospital, coming soon, Chattle Mkoa.

Chakubanga anaharibu. Amuache mgombea wake, aseme jukwaani huko kwenye kampeni. Siyo aje amsemee!

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Lissu anawaogopa Polepole na Katambi kama ebola!
 
Back
Top Bottom