Kiiiingggggg kiiiiingggg kiiingggg karibu tena jamvini. Nilikuanzishia hadi uzi Mbona umepotea? Dah Kiiiing. Vipi hupo minjingu nini unachoma mkaa??Huyo Chakubanga mbona anafanya mikutano kila siku? Kwanini asifanye mkutano mmoja tu akatulia? Yeye kila siku ni kuita waandishi wa habari as if waandishi hawana habari nyingine muhimu.
Hiki kijamaa huwa kinatakaga kijibiwe na maalimu seifu lakini mzee Sharif Hamad huwa anahekima sanaaTuna Jambo Letu Kesho Saa 8 Mchana
Uskose wakiweka uongo tunaweka ukweli woteView attachment 1593297
Tatizo hao waandishi wa habari ata hawamuulizi maswali ya maana.Huyo Chakubanga mbona anafanya mikutano kila siku? Kwanini asifanye mkutano mmoja tu akatulia? Yeye kila siku ni kuita waandishi wa habari as if waandishi hawana habari nyingine muhimu.
Hivi kuna mtu huwa anamsikiliza huyu jamaa ?Tuna Jambo Letu Kesho Saa 8 Mchana
Uskose wakiweka uongo tunaweka ukweli woteView attachment 1593297
Hahahaaa King Kong Ilala Ilala La Familia yaani mikono mfululu yani pa papa papaaa wamekaaaaaaaa!! Ebwana nilikuwa sipo hewani kitambo ndio maana sijaiona hiyo thread ,nipo Minjingu Mkuu bado tunachoma Mkaa.Kiiiingggggg kiiiiingggg kiiingggg karibu tena jamvini. Nilikuanzishia hadi uzi Mbona umepotea? Dah Kiiiing. Vipi hupo minjingu nini unachoma mkaa??
Kiiiinggg
Hahaa ni kweli mkuu inatakiwa achapwe maswali KONKI ya kuumiza kichwa!!Tatizo hao waandishi wa habari ata hawamuulizi maswali ya maana.
Ndio maana anapendelea kuita press.
Siku wakimchapa maswali mbona atatupumzisha na press zake.
Yaani Chadema leo ndio mnaanza kujua hili. Kule kwenu kila mtu ni muitisha press conference hua zinaboa sana.Too much press conference mpaka zinaboa
Huyu naye asituchoshe buaanaTuna Jambo Letu Kesho Saa 8 Mchana
Uskose wakiweka uongo tunaweka ukweli woteView attachment 1593297
Punguza porojoYaani Chadema neo ndio mnaanza kujua hili. Kule kwenu kila mtu ni muitisha press conference hua zinaboa sana.
What a wasted manii....!!!Anakuboa kwa sababu huwaanika
Waandishi wanafuata bahadha za kaki..hiki ni kipindi cha mavunoHalafu unakuta anaongea porojo na kupiga tu vijembe kuanzia mwanzo wa huo mkutano mpaka mwisho. Wana moyo hao waandishi watakao kwenda kumsikiliza.
Anaandaa mazingira ya utetezi,juu ya ushauri wake kwa m.kiti.Hii nafasi imemshinda Polepole
Watanzania wote si wapiga dili isipokuwa wewe tu.Wengi humu jf wanaonesha kuumizwa na utawala wa JPM na hi ni kutokana na kuzoea vya bure,hawataki kuamuni kua mambo yamebadirika sasa,izi sio zama za wapiga dili