Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa

Huyu jamaa yuko smart sana.
Ndo mtu pekee anayejipambanua kwa kukemea na kuwaongelea wananchi! Na kama CHADEMA wataweka pembeni itikadi zao wamkaribishe huyu bwana Polepole agombee Urais! Maana hapo CHADEMA sijaona mtu anayejipambanua kama huyu bwana!
 
Polepole ni MUONGO NA MPOTOSHAJI. Nchi yetu ina zaidi ya Waislamu na Wakristo, nchi yetu ina WAHINDU, WABUDHA, WAPAGANI n.k, nchi yetu HAINA DINI. "Nchi yetu ina wakristo na waislamu, ikitokea mvua imechelewa kiongozi wa serikali huwa anawaomba wakristo kanisani wakaombe na waislamu msikitini wakaombe mvue zinyeshe, lakini huwezi kusikia kiongozi wa serikali akiwaomba washirikina eti wafanye namna mvua inyeshe"

"Kwenye shughuli za serikali ushawahi kuona tunawaita wanaoabudu miti waje kuomba kabla ya shughuli? sasa uchifu wa nini?. Hawa machifu walishafutwa kisheria, tunapowarudisha tunapanda nini?" - Polepole
 
Chawa wa magu ropoka ropoka vya mwisho mwisho safarii yako mwisho 2025
 
Hakuna hata mtu mmoja nchi hii anayemfuatilia chifu au mtemi kudumisha mila na utamaduni wake.
 
Sasa ulivyomjinga unataka nitambue haki ya Polepole kumkosoa Rais halafu iwe dhambi mimi kumkosoa Polepole?

Mimi nakosoa hoja ya Polepole sikosoi uamuzi wa kumkosoa Rais, mimi mwenyewe kapuku namkosoa Rais sometime ndio nishangae Mbunge kumkosoa Rais.
 
A big looser.., hakuwahi kukemea watu kuibiwa fedha zao za kigeni pale kariakoo licha ya document zote halali kuonyeshwa
 
Leo ndiyo anasema huyu fala!
Mwendazake alipokuwa akiteua watu wake wa kanda ya ziwa alikaza ninihii.....!
 
Tatizo lako ni ufinyu wa ufahamu

Yaani unataka kufananisha Population ya Waislam kwa kulinganisha na Wasukuma bila ya kujua kuwa kuna Wasukuma ambao ni Waislam, hoja ni kuwa wakati wa Magufuli Wateule wengi sana walitokea Usukumani na mtazamo wa kikabila ulikiwepo sana

Unapokuja kujificha kwny kichaka cha udini hapo unatakiwa kujua kuwa hadi JPM anafariki kwny Cabinet yake kulikuwa na Waislam watatu i.e Ummy, Majaliwa na Awesu…hapa hatumshutumu kwa Udini ila tunasema hakuzingatia uwiano wa kiimani ila sasa waislam wamefika kama 30% gas na povuzinawachoma kifuan


Hoja ya Polepole ishajibiwa ila una haki ya kutoridhika na majibu ila huna haki ya kusema haijajibiwa…Shughuli za kichifu na Machifu sio tu walikuwepo bali wengine walikuwa hadi wakuu wa Mihimili bila ya kuvua vyeo vyao vya Uchifu mf. Chief Adam Sapi, Chief Fundikira alikuwa Waziri na alishiriki shughuli za kwao Unyamwezini


Unajaribu kuhamisha Magoli eti namkosoa Polepole kwa kuwa ni Mfuasi wa Magufuli bila ya kujua hata Mimi ni mfuasi wa JPM kwa mazuri mengi aliyofanya lakin hicho si kibali cha kutokumkosoa alipoteleza kama binadam

 
Atakaribishwa kugombea urais na ACT
Ndo mtu pekee anayejipambanua kwa kukemea na kuwaongelea wananchi! Na kama CHADEMA wataweka pembeni itikadi zao wamkaribishe huyu bwana Polepole agombee Urais! Maana hapo CHADEMA sijaona mtu anayejipambanua kama huyu bwana!
 
Polepole na washamba wenziwe walikuwa hawaoni madhambi ya Magufuli kwa vile walikuwa wakifaidika sana.
Jamaa aliteua hadi mpwa wake, kuwa katibu mkuu fedha.
Hili kina polepole hawakulion kabisa!
Sasa wamteolewa nje ya system , wanajamba jamba ovyo kulaumu kila kukicha.
Wavumilie tu, kama tulivyovumilia ubaguzi wa kikabila na kisehemu kwa miaka mitano mizima.
 
Ndo mtu pekee anayejipambanua kwa kukemea na kuwaongelea wananchi! Na kama CHADEMA wataweka pembeni itikadi zao wamkaribishe huyu bwana Polepole agombee Urais! Maana hapo CHADEMA sijaona mtu anayejipambanua kama huyu bwana!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndo umeamua uwadharau kiutu uzima hivi?!!
 
Angekuwa smart hata kidogo angefahami Tanzania ina dini zaidi ya hizi mbili za Ukristo na Uislamu, wapo Wahindu, Wabudha n.k pia wapo wasiokuwa na dini kabisa.
Huyu jamaa yuko smart sana.
 
Ongezea Hawa walikuwa pia ni mawaziri wa jiwe
  • Selemani Jafo
  • Hamza Hamis
  • Mwanaidi Ali
  • Kipanga Omary
  • Hussein Bashe
  • Ummy Ndelinangaa
  • Abdallah Ulega
 
Ongezea Hawa walikuwa pia ni mawaziri wa jiwe
  • Selemani Jafo
  • Hamza Hamis
  • Mwanaidi Ali
  • Kipanga Omary
  • Hussein Bashe
  • Ummy Ndelinangaa
  • Abdallah Ulega
Yaani huyo jamaa mpuuzi sana! Makamu muislam, waziri mkuu muislam!
 
Wewe sio Mpuuzi ila hujui ukiacha Jafu niliemsahau ila wengine hao hawakuwa kwny Cabinet ila utabisha kwa kuwa hujui Naibu sio Member wa Cabinet nami niliongelea Cabinet kwa makusudi kwa kuwa nilijua kama Ww mpo wengi mtaokuja na hao Manaibu
Yaani huyo jamaa mpuuzi sana! Makamu muislam, waziri mkuu muislam!
 
Polepole ana hoja nzuri, ila mnakosea mnapomtetea Magufuli, si ndio alikuwa akipiga kampeni kwa kilugha chao? Si ndio alikuwa akifanya ziara na mawaziri akifika jimboni kwa waziri anamuambia aongee kilugha na wananchi?
Si ndio alikuwa akitaja makabila ya wateuliwa Ikulu alipokuwa akiwaapisha?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…