Wewe mtoa mada ni bure kabisa.
Kwa akili yako unaweza kumlinganisha JPM na huyo mtu wenu.
JPM ni habari nyingine kabisa. Tangu kuumbwa Ulimwengu, Watanzania hatujawahi kununua mbolea sh.90,000/- ,lakini sasa hiyo ndo bei iliyopo sokoni.
Kwa ujumla vitu vinapanda bei kwa zaidi ya 47%.
Ebu tuambie, yule aliyejiunganishia Bomba la Mafuta ya serikali yuko wapi sasa, yale madawa ya kulevya yaliyoshikwa yako wapi na wahusika wako wapi sasa?
Angekuwepo JPM upumbavu kama huo usingetokea kabisa.
Ni aibu kubwa sana. Tanzania ina kila kitu lakini bado tunapenda kuzurura huku na huko kutafuta MABWANA wa kutusaidia.
RIP, JPM BABA YETU.