Humphrey Polepole, Musukuma na "Kakikundi" kao tunawatazama kwa makini sana!

Nyie ndio wale wahuni mnaomdanganya Chief Hangaya kwamba tunapaswa tuwe mazoba mbele ya wazungu ili tuendelee kupewa misaada na ruzuku.

Hata mabeberu wakitushika makalio poa tu ili mradi tunapata chochote.

Jifunze kujitegemea na kujiamini, wazungu sio baba zako. Kazi yao ni kupora na kunyonya.

Na si ajabu wamekudunga machanjo ya corona wewe. I smell something wrong about you!
Huyo Jumbe Brown kala teuzi hivi karibuni kutoka kwa chief Hangaya, kwa hiyo anavyosifia jua analipa fadhila kwa kulamba teuzi.

Ila moyoni anajua fika kuwa huyo kilema hawezi kuwa sawa na jemedari Hayati John Pombe Magufuli.

Na hivi keshaanza kupumbazwa na kuongezewa miaka 2025 hatoboi.
 
Mbona Msukuma kaongea vyema?, iko wazi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam hayuko sawa kichwani (Refer kwenye maandalizi ya Kumpokea Rais).

Second Mama Samia hana ushawishi kwa wananchi
 
Wakakusanya watu kuja kumpokea mtu aliyeshindwa hata kukutana na top officials wa USA? Hakika kodi za watanzania zinachezewa ipasavyo.
 
Dunia inaenda kasi sana ndo kusema Polepole nae siku hizi analialia mtandaoni... Ikulu anaona kwenye Tv tu
 
Wewe mtoa mada ni bure kabisa.
Kwa akili yako unaweza kumlinganisha JPM na huyo mtu wenu.

JPM ni habari nyingine kabisa. Tangu kuumbwa Ulimwengu, Watanzania hatujawahi kununua mbolea sh.90,000/- ,lakini sasa hiyo ndo bei iliyopo sokoni.

Kwa ujumla vitu vinapanda bei kwa zaidi ya 47%. Ebu tuambie, yule aliyejiunganishia Bomba la Mafuta ya serikali yuko wapi sasa, yale madawa ya kulevya yaliyoshikwa yako wapi na wahusika wako wapi sasa?
Angekuwepo JPM upumbavu kama huo usingetokea kabisa.

Ni aibu kubwa sana. Tanzania ina kila kitu lakini bado tunapenda kuzurura huku na huko kutafuta MABWANA wa kutusaidia.

RIP, JPM BABA YETU.
Jiwe huwezi mlinganisha ba mtu yeyotw ambaye ni titamu, labda kichaa. Sema ingekuwa kipindi cha jiwe taarifa zisingetoka. Mungu fundi sana
 
Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!

Ukizitazama na kuzisikiliza kwa makini utagundua zote kwa pamoja zinafanana kwa maudhui japo zimetolewa na "Wahadhiri" wawili tofauti.

Kwanza, "Wahadhiri" wote wamejinasibu kwa kujitahidi sana kuchagua maneno ili kuonekana wanamheshimu Rais Samia na wanamuunga mkono ama yeye binafsi, Serikali yake ama Serikali ya CCM lakini wote ni WANAFIKI wakubwa sana!

Pili,wote wanataka waonekana wana ajenda ya kutetea masikini kama mtaji aliouacha "MWENDAZAKE"na ambao wanataka kutuonyesha kuwa Rais Samia haujali na ameamua kumsaliti "MWENDAZAKE"!

Tatu,"Wahadhiri" wote wamemshambulia sana Mheshimiwa Amos Gabriel Makala, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kama mtu wa hovyo, mtu ambaye hana maarifa , mtu ambaye alishashindwa maisha na Rais Samia amefanya makosa na kumpa Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

Kabla sijaenda mbele nizungumzie mambo mawili kwanza ili twende sawa.

Mosi, siungi mkono jinsi wamachinga pale vingunguti walivyofanyiwa baada ya kupewa mwezi mmoja, lakini siungi pia uwepo wa wamachinga kila mahali na kubembelezwa kwao. Wamachinga hawana impact yoyote ya maana katika uchumi wetu zaidi ya kutudidimiza kwa kuuwa uchumi wetu na kuvuruga miji yetu! Ni ujinga kwa mtu kama Mbunge badala ya kuibua mikakati na kuishauri Serikali namna ya kuja na miradi yenye tija kwa Taifa itakayowa-absorb wamachinga na kuwafanya wazalishaji wa kweli kwenye production chain.

Pili, huyu Amosi Gabriel Makala ni nani? Simjui sana ila najua elimu yake ni nzuri tu! Ana Masters( MBA) na pia ana CPA ( Certified Public Accountant), amewahi kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC), Mkuu wa mikoa kadhaa (Kilimanjaro,Mbeya,Katavi) kabla ya kuletwa Dar es Salaam. Amekuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Habari.

Na niseme huyu ndo mtu ambaye kwa sasa naona alikuwa ame- qualify kuwa KATIBU MKUU WA CCM kama profile ingekuwa na maana yoyote ndani ya CCM!
Huyu ndo mtu ambaye Polepole kwa kujificha nyuma ya kichaka cha shule ya uongozi anamfundisha namna ya ku- deal na mamalishe wa masaki!

Musukuma yeye kutokana na uhafifu wa elimu yake (Darasa la Saba) hawezi kujificha kama Polepole ,amefunguka kuwa Mhe.Amosi Makala ana magenge ya Urais 2025!

Humphrey Polepole na Musukuma ni WANAFIKI sana, rejeeni mambo yao huko nyuma!
Polepole aliwahi kukana maelezo yake wakati wa mchakato wa katiba na mstakabali wa CCM katika uchaguzi huru na haki (Clip zipo humu)!

Musukuma wakati wa safari ya matumaini ya Lowasa alienda hadi uwanja wa Sheik Amri Abeid pale Arusha lakini baadaye alimgeuka na ndiye aliyevujisha "Habari" za Lowasa kujinyea Chato!
WANAFIKI sana watu hawa!!

Turudi kwa huyu Humphrey Polepole, najua amehitimu Masters ya DS ( Development Studies) hivi karibuni!
Kwenye clips zake alizotoa huitaji kuwa na elimu ya kutengeneza roketi (rocket science) kujua ana gubu na Rais Samia na Serikali yake baada ya kupigwa chini.
Hiki alichoki- hadhiri leo kwenye "Dependency theory"ni ujinga tu na kupinga safari ya Rais Samia kule Marekani (UNGA)!

Polepole tuambie Magufuli alikuta deni la Taifa ni kiasi gani na aliacha limefika kiasi gani?

Na kama alikopa basi atueleze Magufuli alikopa kwenye taasisi zipi?

Polepole acha gubu kwa Rais Samia na Serikali yake!

Huo ni mtazamo wao and they’re entitled to it. Tengeneza wewe clips zenye praise songs.

Achana na MBA, CPA. They all can be useless paper qualifications. Even fools with PhDs aren’t in short supply in this country!
 
Wewe mtoa mada ni bure kabisa.
Kwa akili yako unaweza kumlinganisha JPM na huyo mtu wenu.

JPM ni habari nyingine kabisa. Tangu kuumbwa Ulimwengu, Watanzania hatujawahi kununua mbolea sh.90,000/- ,lakini sasa hiyo ndo bei iliyopo sokoni.

Kwa ujumla vitu vinapanda bei kwa zaidi ya 47%. Ebu tuambie, yule aliyejiunganishia Bomba la Mafuta ya serikali yuko wapi sasa, yale madawa ya kulevya yaliyoshikwa yako wapi na wahusika wako wapi sasa?
Angekuwepo JPM upumbavu kama huo usingetokea kabisa.

Ni aibu kubwa sana. Tanzania ina kila kitu lakini bado tunapenda kuzurura huku na huko kutafuta MABWANA wa kutusaidia.

RIP, JPM BABA YETU.
Niseme tu kila uongozi kuna kundi Fulani linaguswa kwa uzuri na lingne ndo hivyo tena, kwa Mimi mkulima wa mbaazi,mahindi na choroko na sasa nasubiri korosho naweza sema hakuna kiongozi kama Samia kwa maana amefanya tuuze mazao yetu kwa bei juu haijawahi tokea tangu tupate Uhuru
 
Rais Samia ni dhaifu hawezi kuongoza nchi makini kama Tanzania. She falls below presidential standards.

Anafaa sana kuwa mwenyekiti wa NGO za akina mama au VICOBA/ VIKOBA.

Hili linchi lenye kila rasilimali halipaswi kuwa omba omba. Gesi, madini maliasili, wanyama, mbuga, makaa ya mawe, ardhi safi na kubwa, nguvu kazi ya kutosha, wasomi mahiri na mengine mengi.

Tanzanite, almasi, dhahabu, migodi mikubwa Africa. Kodi, Tozo sijui nini. Rasilimali kila kona.

Tulikuwa na Rais shupavu anaitwa John Pombe Magufuli alikuwa anatambua kwamba sisi sio watu wa viwango duni vya kujikomba komba kwa mabeberu na matapeli wa Ulaya.

Huyu Chief Hangaya ana miezi mitatu tu kashaanza kujibembeleza na kujibebisha kwa wazungu.

Yaani ni mwendo wa ukike kike tu. Mara mie jinsia yangu ya kike, mara maumbile yangu ya kike sijui yamefanyaje.
Knowledge brings wisdom! Ungekuwa na knowledge usingeandika ulichoandika hapa.
 
Huyo Sizonje wenu dikteta uchwara yule aliyeruhusu machinga waweke vibanda mjini, ndiye mnamsifu na kumtukuza mtesaji yule mbaguzi wa hali ya juu?

Rais Samia anatufaa
 
Ninashangaa kuna watu wanamsifu dhalimu wa mazao ya wakulima aliyejificha kwenye kichaka cha mikwara na makelele. Mungu asante!
Niseme tu kila uongozi kuna kundi Fulani linaguswa kwa uzuri na lingne ndo hivyo tena, kwa Mimi mkulima wa mbaazi,mahindi na choroko na sasa nasubiri korosho naweza sema hakuna kiongozi kama Samia kwa maana amefanya tuuze mazao yetu kwa bei juu haijawahi tokea tangu tupate Uhuru
 
Nyie ndio wale wahuni mnaomdanganya Chief Hangaya kwamba tunapaswa tuwe mazoba mbele ya wazungu ili tuendelee kupewa misaada na ruzuku.

Hata mabeberu wakitushika makalio poa tu ili mradi tunapata chochote.

Jifunze kujitegemea na kujiamini, wazungu sio baba zako. Kazi yao ni kupora na kunyonya.

Na si ajabu wamekudunga machanjo ya corona wewe. I smell something wrong about you!
Mbona una mawazo ya kijima kiasi hiki mkuu! Una umri gani na wakaa mkoa gani Tanzanian?
 
Rais Samia ni dhaifu hawezi kuongoza nchi makini kama Tanzania. She falls below presidential standards.

Anafaa sana kuwa mwenyekiti wa NGO za akina mama au VICOBA/ VIKOBA.

Hili linchi lenye kila rasilimali halipaswi kuwa omba omba. Gesi, madini maliasili, wanyama, mbuga, makaa ya mawe, ardhi safi na kubwa, nguvu kazi ya kutosha, wasomi mahiri na mengine mengi.

Tanzanite, almasi, dhahabu, migodi mikubwa Africa. Kodi, Tozo sijui nini. Rasilimali kila kona.

Tulikuwa na Rais shupavu anaitwa John Pombe Magufuli alikuwa anatambua kwamba sisi sio watu wa viwango duni vya kujikomba komba kwa mabeberu na matapeli wa Ulaya.

Huyu Chief Hangaya ana miezi mitatu tu kashaanza kujibembeleza na kujibebisha kwa wazungu.

Yaani ni mwendo wa ukike kike tu. Mara mie jinsia yangu ya kike, mara maumbile yangu ya kike sijui yamefanyaje.
Chuki binafsi kwa wanawake!!!
Pole yako
 
Bosi...unaposema linchi halifai kuwa ombaomba na kumuita mama dhaifu kwenye angle hiyo....JE RAIS GANI AMBAYE HAJAWAHI KUOMBAOMBA TOKA UHURU?
 
Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!

Ukizitazama na kuzisikiliza kwa makini utagundua zote kwa pamoja zinafanana kwa maudhui japo zimetolewa na "Wahadhiri" wawili tofauti.

Kwanza, "Wahadhiri" wote wamejinasibu kwa kujitahidi sana kuchagua maneno ili kuonekana wanamheshimu Rais Samia na wanamuunga mkono ama yeye binafsi, Serikali yake ama Serikali ya CCM lakini wote ni WANAFIKI wakubwa sana!

Pili,wote wanataka waonekana wana ajenda ya kutetea masikini kama mtaji aliouacha "MWENDAZAKE"na ambao wanataka kutuonyesha kuwa Rais Samia haujali na ameamua kumsaliti "MWENDAZAKE"!

Tatu,"Wahadhiri" wote wamemshambulia sana Mheshimiwa Amos Gabriel Makala, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kama mtu wa hovyo, mtu ambaye hana maarifa , mtu ambaye alishashindwa maisha na Rais Samia amefanya makosa na kumpa Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

Kabla sijaenda mbele nizungumzie mambo mawili kwanza ili twende sawa.

Mosi, siungi mkono jinsi wamachinga pale vingunguti walivyofanyiwa baada ya kupewa mwezi mmoja, lakini siungi pia uwepo wa wamachinga kila mahali na kubembelezwa kwao. Wamachinga hawana impact yoyote ya maana katika uchumi wetu zaidi ya kutudidimiza kwa kuuwa uchumi wetu na kuvuruga miji yetu! Ni ujinga kwa mtu kama Mbunge badala ya kuibua mikakati na kuishauri Serikali namna ya kuja na miradi yenye tija kwa Taifa itakayowa-absorb wamachinga na kuwafanya wazalishaji wa kweli kwenye production chain.

Pili, huyu Amosi Gabriel Makala ni nani? Simjui sana ila najua elimu yake ni nzuri tu! Ana Masters( MBA) na pia ana CPA ( Certified Public Accountant), amewahi kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC), Mkuu wa mikoa kadhaa (Kilimanjaro,Mbeya,Katavi) kabla ya kuletwa Dar es Salaam. Amekuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Habari.

Na niseme huyu ndo mtu ambaye kwa sasa naona alikuwa ame- qualify kuwa KATIBU MKUU WA CCM kama profile ingekuwa na maana yoyote ndani ya CCM!
Huyu ndo mtu ambaye Polepole kwa kujificha nyuma ya kichaka cha shule ya uongozi anamfundisha namna ya ku- deal na mamalishe wa masaki!

Musukuma yeye kutokana na uhafifu wa elimu yake (Darasa la Saba) hawezi kujificha kama Polepole ,amefunguka kuwa Mhe.Amosi Makala ana magenge ya Urais 2025!

Humphrey Polepole na Musukuma ni WANAFIKI sana, rejeeni mambo yao huko nyuma!
Polepole aliwahi kukana maelezo yake wakati wa mchakato wa katiba na mstakabali wa CCM katika uchaguzi huru na haki (Clip zipo humu)!

Musukuma wakati wa safari ya matumaini ya Lowasa alienda hadi uwanja wa Sheik Amri Abeid pale Arusha lakini baadaye alimgeuka na ndiye aliyevujisha "Habari" za Lowasa kujinyea Chato!
WANAFIKI sana watu hawa!!

Turudi kwa huyu Humphrey Polepole, najua amehitimu Masters ya DS ( Development Studies) hivi karibuni!
Kwenye clips zake alizotoa huitaji kuwa na elimu ya kutengeneza roketi (rocket science) kujua ana gubu na Rais Samia na Serikali yake baada ya kupigwa chini.
Hiki alichoki- hadhiri leo kwenye "Dependency theory"ni ujinga tu na kupinga safari ya Rais Samia kule Marekani (UNGA)!

Polepole tuambie Magufuli alikuta deni la Taifa ni kiasi gani na aliacha limefika kiasi gani?

Na kama alikopa basi atueleze Magufuli alikopa kwenye taasisi zipi?

Polepole acha gubu kwa Rais Samia na Serikali yake!
Kuna Mwingine Alishiriki Bunge la KATIBA akala na POSHO za Wananchi leo Anasema Eti Wananchi Wamemwambia hawataki KATIBA je yeye Kwenye Bunge la Katiba Alikwenda kufanya nini kama mwalilishi wa Wananchi? Viongozi TUACHE Unafiki
 
Sasa kinakuuma nini? Kwa kua wana maoni tofauti? Nyie endeleeni kubutua sera na itikadi ya ccm. Mnapanic kwa kua mumepata uteuzi wa mama? Ukweli mama is not a visionary leader na atatuvusha hadi 2025 ili tupate magufuli mpya. Ona chini yake mijizi mipigaji inarudi kurudia kurasa za midowans iptl epa mirichmond etc. Sasa wanataka kuuza tanesco wauziane hisa kwa bei bure baada ya uwekezaji mkubwa wa serikali. Wanavunaga mali za umma bila kuwekeza kitu.
 
Piga kazi Rais SSH, wewe ni Rais bora kabisa katika nyanja za demokrasia, utawala bora, uchumi na haki za binadamu.

Dhaifu huyo, hata yeye mwenyewe anajijua ndio maana kila mara anajificha kwenye jinsia yake.

Urais wa nchi unahitaji heavyweight brains sio umama umama na kujidekeza na kujisingizia ukike kike kila muda.

She is too weak to hold that office. I only see a very fat woman every time i look at her.

Hana ladha kabisa. Hajiwezi.
 
Polepole anataka kutuaminisha kuwa Tanzania ni nchi ya KIKOMUNISTI ambayo inatakiwa iwe kinyume na nchi za MAGHARIBI....maneno yake ni makali sana kutolewa na mtu aliyepata kuwa katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM.....

Polepole anatetea siasa hasimu dhidi ya marafiki zetu wa nchi za MAGHARIBI.....

Sitaki kuamini kuwa kwa nafasi aliyopata kuwa nayo ndani ya chama hajui DIPLOMASIA NA SERA YETU YA MAMBO YA NJE kuwa TANZANIA NI NCHI ISIYOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE.........

Maneno anayoendelea kuyatoa kipindi hiki ambacho mh.Rais SSH alikuwa nje umoja wa mataifa "yanatuchorea" mistari kuwa huyo ndugu wala hana AJENDA ZA KIZALENDO bali uhasimu wake tu wa "kitoto" na "chuki iliyomjaa".....

Polepole aache unafiki....kama anataka siasa na mwenendo wa KIKOMUNISTI kama wale EFF ya akina Tate Julius Malema basi ni muda mwafaka AANZISHE CHAMA CHAKE kwani CCM si chama cha KIKOMUNISTI na kamwe hakitokuwa hivyo.......

#SiempreJMT
#NchiKwanza
You are simply asleep…

Siku uki wake up ndio utamuelewa Polepole…

Tofauti ya sisi na hizo nchi za kimagharibi unazosema ni kwamba mabeberu wanazipenda nchi zao wameziendeleza….wewe nchi yako changa inajikongoja unamtegemea huyo beberu akutoe kwenye umaskini ndio maana unasiasa zisizofungamana na upande wowote, miaka yote ya uhuru na hizo siasa zako zimekufikisha wapi…mnazidi kushabikia watu waliopewa madaraka na kuprove failure kwa miaka yote tuliowaamini…CCM kilianzishwa na watu wazalendo na wenye uchungu na nchi ila it is very unfortunate kimekuwa abused na wachumia tumbo na weak people…We need an evolved human beings kuendesha hicho chama maana naona kinaendeshwa na the same minds zilizotuweka kwenye mess..wao nashauri wangekaa pembeni kabisa…zije akili mpya zinazojiamini…ushauri wao hauhitajiki tena we have the minds of our own…Mungu yupo pamoja nasi always…

Ukimwambia kiongozi abane matumizi gharama ni kubwa..vikao,semina,safari zisizozalazima tunawaumiza wananchi hakuelewi anakuita majina ya ajabu sijui diktekta…sasa wacha tule tozo mpaka akili ziamke..

Na mnukuu Raisi Mwinyi kwenye hotuba yake ya mazishi ya JPM…”kijana amefanya mengi kwa miaka mitatu yaliotushinda sisi miaka 40”….hujiulizi?! JPM sio malaika tofauti yake yeye ali wake up akapindua meza wachache sana walimuelewa ndio maana ikamuwia vigumu sana kuiendesha nchi ikawa km one man show..but he was so powerful alipambana kiume..narudia tena na tena..bado nchi hii ni changa inahitaji dikteta zaidi ya JPM…ili apush akili zilizolala tutoboe

Hizo theory ulizomezeshwa na cyllabus za wakoloni ukapata masters ya political science jitahidi utoke nje ya box uanze ku question mambo.. thank me later
 
Back
Top Bottom