Humphrey Polepole, Musukuma na "Kakikundi" kao tunawatazama kwa makini sana!

You are simply asleep…

Siku uki wake up ndio utamuelewa Polepole…

Tofauti ya sisi na hizo nchi za kimagharibi unazosema ni kwamba mabeberu wanazipenda nchi zao wameziendeleza….wewe nchi yako changa inajikongoja unamtegemea huyo beberu akutoe kwenye umaskini ndio maana unasiasa zisizofungamana na upande wowote, miaka yote ya uhuru na hizo siasa zako zimekufikisha wapi…mnazidi kushabikia watu waliopewa madaraka na kuprove failure kwa miaka yote tuliowaamini…CCM kilianzishwa na watu wazalendo na wenye uchungu na nchi ila it is very unfortunate kimekuwa abused na wachumia tumbo na weak people…We need an evolved human beings kuendesha hicho chama maana naona kinaendeshwa na the same minds zilizotuweka kwenye mess..wao nashauri wangekaa pembeni kabisa…zije akili mpya zinazojiamini…ushauri wao hauhitajiki tena we have the minds of our own…Mungu yupo pamoja nasi always…

Ukimwambia kiongozi abane matumizi gharama ni kubwa..vikao,semina,safari zisizozalazima tunawaumiza wananchi hakuelewi anakuita majina ya ajabu sijui diktekta…sasa wacha tule tozo mpaka akili ziamke..

Na mnukuu Raisi Mwinyi kwenye hotuba yake ya mazishi ya JPM…”kijana amefanya mengi kwa miaka mitatu yaliotushinda sisi miaka 40”….hujiulizi?! JPM sio malaika tofauti yake yeye ali wake up akapindua meza wachache sana walimuelewa ndio maana ikamuwia vigumu sana kuiendesha nchi ikawa km one man show..but he was so powerful alipamba kiume..narudia tena na tena..bado nchi hii ni changa inahitaji dikteta zaidi ya JPM…ili apush akili zilizolala tutoboe

Hizo theory ulizomezeshwa na cyllabus za wakoloni ukapata masters ya political science jitahidi utoke nje ya box uanze ku question mambo.. thank me later
Umeandika ukweli mtupu
 
You are simply asleep…

Siku uki wake up ndio utamuelewa Polepole…

Tofauti ya sisi na hizo nchi za kimagharibi unazosema ni kwamba mabeberu wanazipenda nchi zao wameziendeleza….wewe nchi yako changa inajikongoja unamtegemea huyo beberu akutoe kwenye umaskini ndio maana unasiasa zisizofungamana na upande wowote, miaka yote ya uhuru na hizo siasa zako zimekufikisha wapi…mnazidi kushabikia watu waliopewa madaraka na kuprove failure kwa miaka yote tuliowaamini…CCM kilianzishwa na watu wazalendo na wenye uchungu na nchi ila it is very unfortunate kimekuwa abused na wachumia tumbo na weak people…We need an evolved human beings kuendesha hicho chama maana naona kinaendeshwa na the same minds zilizotuweka kwenye mess..wao nashauri wangekaa pembeni kabisa…zije akili mpya zinazojiamini…ushauri wao hauhitajiki tena we have the minds of our own…Mungu yupo pamoja nasi always…

Ukimwambia kiongozi abane matumizi gharama ni kubwa..vikao,semina,safari zisizozalazima tunawaumiza wananchi hakuelewi anakuita majina ya ajabu sijui diktekta…sasa wacha tule tozo mpaka akili ziamke..

Na mnukuu Raisi Mwinyi kwenye hotuba yake ya mazishi ya JPM…”kijana amefanya mengi kwa miaka mitatu yaliotushinda sisi miaka 40”….hujiulizi?! JPM sio malaika tofauti yake yeye ali wake up akapindua meza wachache sana walimuelewa ndio maana ikamuwia vigumu sana kuiendesha nchi ikawa km one man show..but he was so powerful alipambana kiume..narudia tena na tena..bado nchi hii ni changa inahitaji dikteta zaidi ya JPM…ili apush akili zilizolala tutoboe

Hizo theory ulizomezeshwa na cyllabus za wakoloni ukapata masters ya political science jitahidi utoke nje ya box uanze ku question mambo.. thank me later
🤣🤣Ok mkuu.....

Ila.......

Udikteta haujawahi kuwa suluhisho.....gharama kubwa mno huwepo katika kuulinda huko UDIKTETA.....madikteta huumiza "maswahiba zao"....na huumiza zaidi "wasio wao kimtazamo"......

Udikteta huviza fikra.....

Siku njema komredi👍
 
Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!

Ukizitazama na kuzisikiliza kwa makini utagundua zote kwa pamoja zinafanana kwa maudhui japo zimetolewa na "Wahadhiri" wawili tofauti.

Kwanza, "Wahadhiri" wote wamejinasibu kwa kujitahidi sana kuchagua maneno ili kuonekana wanamheshimu Rais Samia na wanamuunga mkono ama yeye binafsi, Serikali yake ama Serikali ya CCM lakini wote ni WANAFIKI wakubwa sana!

Pili,wote wanataka waonekana wana ajenda ya kutetea masikini kama mtaji aliouacha "MWENDAZAKE"na ambao wanataka kutuonyesha kuwa Rais Samia haujali na ameamua kumsaliti "MWENDAZAKE"!

Tatu,"Wahadhiri" wote wamemshambulia sana Mheshimiwa Amos Gabriel Makala, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kama mtu wa hovyo, mtu ambaye hana maarifa , mtu ambaye alishashindwa maisha na Rais Samia amefanya makosa na kumpa Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

Kabla sijaenda mbele nizungumzie mambo mawili kwanza ili twende sawa.

Mosi, siungi mkono jinsi wamachinga pale vingunguti walivyofanyiwa baada ya kupewa mwezi mmoja, lakini siungi pia uwepo wa wamachinga kila mahali na kubembelezwa kwao. Wamachinga hawana impact yoyote ya maana katika uchumi wetu zaidi ya kutudidimiza kwa kuuwa uchumi wetu na kuvuruga miji yetu! Ni ujinga kwa mtu kama Mbunge badala ya kuibua mikakati na kuishauri Serikali namna ya kuja na miradi yenye tija kwa Taifa itakayowa-absorb wamachinga na kuwafanya wazalishaji wa kweli kwenye production chain.

Pili, huyu Amosi Gabriel Makala ni nani? Simjui sana ila najua elimu yake ni nzuri tu! Ana Masters( MBA) na pia ana CPA ( Certified Public Accountant), amewahi kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC), Mkuu wa mikoa kadhaa (Kilimanjaro,Mbeya,Katavi) kabla ya kuletwa Dar es Salaam. Amekuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Habari.

Na niseme huyu ndo mtu ambaye kwa sasa naona alikuwa ame- qualify kuwa KATIBU MKUU WA CCM kama profile ingekuwa na maana yoyote ndani ya CCM!
Huyu ndo mtu ambaye Polepole kwa kujificha nyuma ya kichaka cha shule ya uongozi anamfundisha namna ya ku- deal na mamalishe wa masaki!

Musukuma yeye kutokana na uhafifu wa elimu yake (Darasa la Saba) hawezi kujificha kama Polepole ,amefunguka kuwa Mhe.Amosi Makala ana magenge ya Urais 2025!

Humphrey Polepole na Musukuma ni WANAFIKI sana, rejeeni mambo yao huko nyuma!
Polepole aliwahi kukana maelezo yake wakati wa mchakato wa katiba na mstakabali wa CCM katika uchaguzi huru na haki (Clip zipo humu)!

Musukuma wakati wa safari ya matumaini ya Lowasa alienda hadi uwanja wa Sheik Amri Abeid pale Arusha lakini baadaye alimgeuka na ndiye aliyevujisha "Habari" za Lowasa kujinyea Chato!
WANAFIKI sana watu hawa!!

Turudi kwa huyu Humphrey Polepole, najua amehitimu Masters ya DS ( Development Studies) hivi karibuni!
Kwenye clips zake alizotoa huitaji kuwa na elimu ya kutengeneza roketi (rocket science) kujua ana gubu na Rais Samia na Serikali yake baada ya kupigwa chini.
Hiki alichoki- hadhiri leo kwenye "Dependency theory"ni ujinga tu na kupinga safari ya Rais Samia kule Marekani (UNGA)!

Polepole tuambie Magufuli alikuta deni la Taifa ni kiasi gani na aliacha limefika kiasi gani?

Na kama alikopa basi atueleze Magufuli alikopa kwenye taasisi zipi?

Polepole acha gubu kwa Rais Samia na Serikali yake!
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Rais Samia ni dhaifu hawezi kuongoza nchi makini kama Tanzania. She falls below presidential standards.

Anafaa sana kuwa mwenyekiti wa NGO za akina mama au VICOBA/ VIKOBA.

Hili linchi lenye kila rasilimali halipaswi kuwa omba omba. Gesi, madini maliasili, wanyama, mbuga, makaa ya mawe, ardhi safi na kubwa, nguvu kazi ya kutosha, wasomi mahiri na mengine mengi.

Tanzanite, almasi, dhahabu, migodi mikubwa Africa. Kodi, Tozo sijui nini. Rasilimali kila kona.

Tulikuwa na Rais shupavu anaitwa John Pombe Magufuli alikuwa anatambua kwamba sisi sio watu wa viwango duni vya kujikomba komba kwa mabeberu na matapeli wa Ulaya.

Huyu Chief Hangaya ana miezi mitatu tu kashaanza kujibembeleza na kujibebisha kwa wazungu.

Yaani ni mwendo wa ukike kike tu. Mara mie jinsia yangu ya kike, mara maumbile yangu ya kike sijui yamefanyaje.
Nonsense!

Sijui ulisomea ujinga. Sisi watanzania tunamuelewa sana mama yetu raisi Samia.

Chuki zako kwa serikali ya awamu ya sita zitakuua. Sisi watanzania wazlendo wa kweli tuko pamoja na mama yetu mpaka mwisho.
 
We mleta mada ndio mnafiki na mzandiki number moja, mama kafungulia nchi mwache pole pole aongee sababu yupo free, alafu kingine tuu nikuambie mtaani polepole tunamuelewa sana huwezi amini.
Ni wajinga na wanafiki kama polepole ndio munaomuelewa.

Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumuelewa huyo mnafiki polepole. Serikali aliyokuwa kiongozi mkubwa ilikuwa haikopi? Ilikuwa inalipa wapi? Hebu jibu hayo maswali kwanza.
 
Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!

Ukizitazama na kuzisikiliza kwa makini utagundua zote kwa pamoja zinafanana kwa maudhui japo zimetolewa na "Wahadhiri" wawili tofauti.

Kwanza, "Wahadhiri" wote wamejinasibu kwa kujitahidi sana kuchagua maneno ili kuonekana wanamheshimu Rais Samia na wanamuunga mkono ama yeye binafsi, Serikali yake ama Serikali ya CCM lakini wote ni WANAFIKI wakubwa sana!

Pili,wote wanataka waonekana wana ajenda ya kutetea masikini kama mtaji aliouacha "MWENDAZAKE"na ambao wanataka kutuonyesha kuwa Rais Samia haujali na ameamua kumsaliti "MWENDAZAKE"!

Tatu,"Wahadhiri" wote wamemshambulia sana Mheshimiwa Amos Gabriel Makala, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kama mtu wa hovyo, mtu ambaye hana maarifa , mtu ambaye alishashindwa maisha na Rais Samia amefanya makosa na kumpa Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

Kabla sijaenda mbele nizungumzie mambo mawili kwanza ili twende sawa.

Mosi, siungi mkono jinsi wamachinga pale vingunguti walivyofanyiwa baada ya kupewa mwezi mmoja, lakini siungi pia uwepo wa wamachinga kila mahali na kubembelezwa kwao. Wamachinga hawana impact yoyote ya maana katika uchumi wetu zaidi ya kutudidimiza kwa kuuwa uchumi wetu na kuvuruga miji yetu! Ni ujinga kwa mtu kama Mbunge badala ya kuibua mikakati na kuishauri Serikali namna ya kuja na miradi yenye tija kwa Taifa itakayowa-absorb wamachinga na kuwafanya wazalishaji wa kweli kwenye production chain.

Pili, huyu Amosi Gabriel Makala ni nani? Simjui sana ila najua elimu yake ni nzuri tu! Ana Masters( MBA) na pia ana CPA ( Certified Public Accountant), amewahi kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC), Mkuu wa mikoa kadhaa (Kilimanjaro,Mbeya,Katavi) kabla ya kuletwa Dar es Salaam. Amekuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Habari.

Na niseme huyu ndo mtu ambaye kwa sasa naona alikuwa ame- qualify kuwa KATIBU MKUU WA CCM kama profile ingekuwa na maana yoyote ndani ya CCM!
Huyu ndo mtu ambaye Polepole kwa kujificha nyuma ya kichaka cha shule ya uongozi anamfundisha namna ya ku- deal na mamalishe wa masaki!

Musukuma yeye kutokana na uhafifu wa elimu yake (Darasa la Saba) hawezi kujificha kama Polepole ,amefunguka kuwa Mhe.Amosi Makala ana magenge ya Urais 2025!

Humphrey Polepole na Musukuma ni WANAFIKI sana, rejeeni mambo yao huko nyuma!
Polepole aliwahi kukana maelezo yake wakati wa mchakato wa katiba na mstakabali wa CCM katika uchaguzi huru na haki (Clip zipo humu)!

Musukuma wakati wa safari ya matumaini ya Lowasa alienda hadi uwanja wa Sheik Amri Abeid pale Arusha lakini baadaye alimgeuka na ndiye aliyevujisha "Habari" za Lowasa kujinyea Chato!
WANAFIKI sana watu hawa!!

Turudi kwa huyu Humphrey Polepole, najua amehitimu Masters ya DS ( Development Studies) hivi karibuni!
Kwenye clips zake alizotoa huitaji kuwa na elimu ya kutengeneza roketi (rocket science) kujua ana gubu na Rais Samia na Serikali yake baada ya kupigwa chini.
Hiki alichoki- hadhiri leo kwenye "Dependency theory"ni ujinga tu na kupinga safari ya Rais Samia kule Marekani (UNGA)!

Polepole tuambie Magufuli alikuta deni la Taifa ni kiasi gani na aliacha limefika kiasi gani?

Na kama alikopa basi atueleze Magufuli alikopa kwenye taasisi zipi?

Polepole acha gubu kwa Rais Samia na Serikali yake!
Mnakosea sana kushutumu watu wenye mlengo wa uzalendo. Na nina kuhakikishia iwapo mtaendelea hivi, Mama hatoshinda 2025. Yale maneno ya CCM itamfia mikononi mwake (JK) yatatimia. Nyie badala ya kujikita namna mnavyotaka inchi iendelee kila kukicha ni kumdhihaki Dkt Magufuli. Nyie kila siku ni kutukana wafuasi wa mzalendo Dkt Magufuli (ambao basically ndiyo kundi kubwa lilichoshwa na dhuluma na vitendo vya rushwa ndani ya CCM). Sasa jiulize unadhani ni sababu gani mpaka leo Mama anadharaulika kwenye social media??? Ukiangalia tunaomtetea Mama tumebaki wachache, na tena mtaani ndiyo hawataki hata kumsikia. Kama nyie ni wajanja rudini mjipange na hizo propaganda zenu. Ahmed Salim iliwezekana kwa sababu social media hazikuwepo. Ila this time nakuhakikishia nchi haiwezi kuliwa na mchwa!
 
Wewe ndiye uwezo wako wa kufikiria na hekima ni ndogo. Na inawezekana umri wako upo kwenye kubarehe. Hivyo hatukulaumu. Pole sana. Ila hoja za Polepole ni nzuri. Ndiyo maana hata Mama kwenye hotuba yake leo kagusia uzalendo. Ila mtu asiyeelewa kama wewe unadhani Mama ni mjinga. Na kwa taarifa yako, Polepole yupo nyuma ya Mama na hizo kazi anatumwa na Mama.
 
Mtoa hoja umenifurahisha ulivyotumia neno "Kakikundi"
 
Wewe

Wewe ni kila.za, una macho lakini pia huoni! Mama Samia akifika 2025 hakuna wa kumshinda! Kwanza ndiye atanyea mgombea pekee wa CCM! Upinzani kuna nani wa kushindana naye?!
 
Wewe kila.za hujui chochote, kojoa ukalale!
Wewe ndiye uwezo wako wa kufikiria na hekima ni ndogo. Na inawezekana umri wako upo kwenye kubarehe. Hivyo hatukulaumu. Pole sana. Ila hoja za Polepole ni nzuri. Ndiyo maana hata Mama kwenye hotuba yake leo kagusia uzalendo. Ila mtu asiyeelewa kama wewe unadhani Mama ni mjinga. Na kwa taarifa yako, Polepole yupo nyuma ya Mama na hizo kazi anatumwa na Mama.
 
Dhaifu huyo, hata yeye mwenyewe anajijua ndio maana kila mara anajificha kwenye jinsia yake.

Urais wa nchi unahitaji heavyweight brains sio umama umama na kujidekeza na kujisingizia ukike kike kila muda.

She is too weak to hold that office. I only see a very fat woman every time i look at her.

Hana ladha kabisa. Hajiwezi.
Nonsense!

Huna hoja yoyote..unaongozwa na hisia za chuki na mfumo dume.

Kwa performance ambayo raisi samia ameonyesha katika uongozi wake wa nusu mwaka..ameprove kuwa miongoni mwa viongozi bora kutokea katika nchi hii.
 
Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!

Ukizitazama na kuzisikiliza kwa makini utagundua zote kwa pamoja zinafanana kwa maudhui japo zimetolewa na "Wahadhiri" wawili tofauti.

Kwanza, "Wahadhiri" wote wamejinasibu kwa kujitahidi sana kuchagua maneno ili kuonekana wanamheshimu Rais Samia na wanamuunga mkono ama yeye binafsi, Serikali yake ama Serikali ya CCM lakini wote ni WANAFIKI wakubwa sana!

Pili,wote wanataka waonekana wana ajenda ya kutetea masikini kama mtaji aliouacha "MWENDAZAKE"na ambao wanataka kutuonyesha kuwa Rais Samia haujali na ameamua kumsaliti "MWENDAZAKE"!

Tatu,"Wahadhiri" wote wamemshambulia sana Mheshimiwa Amos Gabriel Makala, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kama mtu wa hovyo, mtu ambaye hana maarifa , mtu ambaye alishashindwa maisha na Rais Samia amefanya makosa na kumpa Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

Kabla sijaenda mbele nizungumzie mambo mawili kwanza ili twende sawa.

Mosi, siungi mkono jinsi wamachinga pale vingunguti walivyofanyiwa baada ya kupewa mwezi mmoja, lakini siungi pia uwepo wa wamachinga kila mahali na kubembelezwa kwao. Wamachinga hawana impact yoyote ya maana katika uchumi wetu zaidi ya kutudidimiza kwa kuuwa uchumi wetu na kuvuruga miji yetu! Ni ujinga kwa mtu kama Mbunge badala ya kuibua mikakati na kuishauri Serikali namna ya kuja na miradi yenye tija kwa Taifa itakayowa-absorb wamachinga na kuwafanya wazalishaji wa kweli kwenye production chain.

Pili, huyu Amosi Gabriel Makala ni nani? Simjui sana ila najua elimu yake ni nzuri tu! Ana Masters( MBA) na pia ana CPA ( Certified Public Accountant), amewahi kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC), Mkuu wa mikoa kadhaa (Kilimanjaro,Mbeya,Katavi) kabla ya kuletwa Dar es Salaam. Amekuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Habari.

Na niseme huyu ndo mtu ambaye kwa sasa naona alikuwa ame- qualify kuwa KATIBU MKUU WA CCM kama profile ingekuwa na maana yoyote ndani ya CCM!
Huyu ndo mtu ambaye Polepole kwa kujificha nyuma ya kichaka cha shule ya uongozi anamfundisha namna ya ku- deal na mamalishe wa masaki!

Musukuma yeye kutokana na uhafifu wa elimu yake (Darasa la Saba) hawezi kujificha kama Polepole ,amefunguka kuwa Mhe.Amosi Makala ana magenge ya Urais 2025!

Humphrey Polepole na Musukuma ni WANAFIKI sana, rejeeni mambo yao huko nyuma!
Polepole aliwahi kukana maelezo yake wakati wa mchakato wa katiba na mstakabali wa CCM katika uchaguzi huru na haki (Clip zipo humu)!

Musukuma wakati wa safari ya matumaini ya Lowasa alienda hadi uwanja wa Sheik Amri Abeid pale Arusha lakini baadaye alimgeuka na ndiye aliyevujisha "Habari" za Lowasa kujinyea Chato!
WANAFIKI sana watu hawa!!

Turudi kwa huyu Humphrey Polepole, najua amehitimu Masters ya DS ( Development Studies) hivi karibuni!
Kwenye clips zake alizotoa huitaji kuwa na elimu ya kutengeneza roketi (rocket science) kujua ana gubu na Rais Samia na Serikali yake baada ya kupigwa chini.
Hiki alichoki- hadhiri leo kwenye "Dependency theory"ni ujinga tu na kupinga safari ya Rais Samia kule Marekani (UNGA)!

Polepole tuambie Magufuli alikuta deni la Taifa ni kiasi gani na aliacha limefika kiasi gani?

Na kama alikopa basi atueleze Magufuli alikopa kwenye taasisi zipi?

Polepole acha gubu kwa Rais Samia na Serikali yake!
NDUGU YANGU UMETIRIRIKA VIZURI HATA MOYO WANGU UKAFURAHI SANA. GOD BLESS YOU. UKWELI NI MPUMBAVU KUPINDUKIA ASIYEFAHAMU MADHARA YA MACHINGA. UKIACHA HILO LA KUATHIRI KODI ZA SERIKALI NA KUCHAFUA MIJI, KUNA HILI LA VIJANA KUTIRIRIKA KUTOKA VIJIJINI KWENDA MIJINI WAKIAMINI KUWA HUKO NDIKO KWENYE MAISHA. HILI JAMBO NI LA HATARI KUPINDUKIA NA LISIPOTHIBITIWA SASA HAKUTAKUA NA MJI WOWOTE WENYE HADHI TANZANIA HII MAANA SERIKALI HAIJAJIPANGA KUHUDUMIA MLINDUKANO HUO HUKO MIJINI.
 
Wewe

Wewe ni kila.za, una macho lakini pia huoni! Mama Samia akifika 2025 hakuna wa kumshinda! Kwanza ndiye atanyea mgombea pekee wa CCM! Upinzani kuna nani wa kushindana naye?!
Nadhani uelewa wako una tatizo. Mama kusimama kuwa mgombea wa CCM hilo halina tatizo kabisa na ni LAZIMA awe yeye! Mnachoshangaza wewe na wenzako wenye chuki na Hayati Dkt Magufuli ni kuendelea kumbeza Dkt Magufuli mkidhani mnaongeza kura za Mama Samia. Kumbuka kupigia kura na NEC ya chama chetu CCM ni tofauti na kura za NEC. Nyie kosa lenu kubwa ni kubeza kundi kubwa ambalo bado linaomboleza kifo cha Dkt Magufuli. Na mjue TISS na vyombo vya ulinzi na usalama vilifanya kazi kubwa sana chini ya Dkt Magufuli na Dkt Magufuli aliwapa kipaumbele sana ktk kuthibiti rushwa. Sasa ninyi mnapomdhihaki si tu vyombo vya ulinzi na usalama vinawaondolea mamlaka ya kutawala bali mnaviumiza kiroho kwa sababu wao ndiyo taasisi ya urais na siyo mtu. Akili zitawarejea 2025 mkiendelea na hizi propaganda zenu chafu.
 
Back
Top Bottom