Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna hojaAwali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!
Ukizitazama na kuzisikiliza kwa makini utagundua zote kwa pamoja zinafanana kwa maudhui japo zimetolewa na "Wahadhiri" wawili tofauti.
Kwanza, "Wahadhiri" wote wamejinasibu kwa kujitahidi sana kuchagua maneno ili kuonekana wanamheshimu Rais Samia na wanamuunga mkono ama yeye binafsi, Serikali yake ama Serikali ya CCM lakini wote ni WANAFIKI wakubwa sana!
Pili,wote wanataka waonekana wana ajenda ya kutetea masikini kama mtaji aliouacha "MWENDAZAKE"na ambao wanataka kutuonyesha kuwa Rais Samia haujali na ameamua kumsaliti "MWENDAZAKE"!
Tatu,"Wahadhiri" wote wamemshambulia sana Mheshimiwa Amos Gabriel Makala, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kama mtu wa hovyo, mtu ambaye hana maarifa , mtu ambaye alishashindwa maisha na Rais Samia amefanya makosa na kumpa Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!
Kabla sijaenda mbele nizungumzie mambo mawili kwanza ili twende sawa.
Mosi, siungi mkono jinsi wamachinga pale vingunguti walivyofanyiwa baada ya kupewa mwezi mmoja, lakini siungi pia uwepo wa wamachinga kila mahali na kubembelezwa kwao. Wamachinga hawana impact yoyote ya maana katika uchumi wetu zaidi ya kutudidimiza kwa kuuwa uchumi wetu na kuvuruga miji yetu! Ni ujinga kwa mtu kama Mbunge badala ya kuibua mikakati na kuishauri Serikali namna ya kuja na miradi yenye tija kwa Taifa itakayowa-absorb wamachinga na kuwafanya wazalishaji wa kweli kwenye production chain.
Pili, huyu Amosi Gabriel Makala ni nani? Simjui sana ila najua elimu yake ni nzuri tu! Ana Masters( MBA) na pia ana CPA ( Certified Public Accountant), amewahi kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC), Mkuu wa mikoa kadhaa (Kilimanjaro,Mbeya,Katavi) kabla ya kuletwa Dar es Salaam. Amekuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Habari.
Na niseme huyu ndo mtu ambaye kwa sasa naona alikuwa ame- qualify kuwa KATIBU MKUU WA CCM kama profile ingekuwa na maana yoyote ndani ya CCM!
Huyu ndo mtu ambaye Polepole kwa kujificha nyuma ya kichaka cha shule ya uongozi anamfundisha namna ya ku- deal na mamalishe wa masaki!
Musukuma yeye kutokana na uhafifu wa elimu yake (Darasa la Saba) hawezi kujificha kama Polepole ,amefunguka kuwa Mhe.Amosi Makala ana magenge ya Urais 2025!
Humphrey Polepole na Musukuma ni WANAFIKI sana, rejeeni mambo yao huko nyuma!
Polepole aliwahi kukana maelezo yake wakati wa mchakato wa katiba na mstakabali wa CCM katika uchaguzi huru na haki (Clip zipo humu)!
Musukuma wakati wa safari ya matumaini ya Lowasa alienda hadi uwanja wa Sheik Amri Abeid pale Arusha lakini baadaye alimgeuka na ndiye aliyevujisha "Habari" za Lowasa kujinyea Chato!
WANAFIKI sana watu hawa!!
Turudi kwa huyu Humphrey Polepole, najua amehitimu Masters ya DS ( Development Studies) hivi karibuni!
Kwenye clips zake alizotoa huitaji kuwa na elimu ya kutengeneza roketi (rocket science) kujua ana gubu na Rais Samia na Serikali yake baada ya kupigwa chini.
Hiki alichoki- hadhiri leo kwenye "Dependency theory"ni ujinga tu na kupinga safari ya Rais Samia kule Marekani (UNGA)!
Polepole tuambie Magufuli alikuta deni la Taifa ni kiasi gani na aliacha limefika kiasi gani?
Na kama alikopa basi atueleze Magufuli alikopa kwenye taasisi zipi?
Polepole acha gubu kwa Rais Samia na Serikali yake!
Mtajuana wenyewe sisi watanzania maskini hayatuhusu.Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!

Sirro amekubaliana na uhuru huo?Mama kasema kafungulia uhuru wa kuongea, we mbona unataka kuziba watu midomo.
Jenga hoja zako huru bila kushambulia watoa hoja huru wengine.
Polepole ni mmoja wapo waliompotosha sana Mwendazake. Aondolewe CCM haraka sanaAwali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!
Ukizitazama na kuzisikiliza kwa makini utagundua zote kwa pamoja zinafanana kwa maudhui japo zimetolewa na "Wahadhiri" wawili tofauti.
Kwanza, "Wahadhiri" wote wamejinasibu kwa kujitahidi sana kuchagua maneno ili kuonekana wanamheshimu Rais Samia na wanamuunga mkono ama yeye binafsi, Serikali yake ama Serikali ya CCM lakini wote ni WANAFIKI wakubwa sana!
Pili,wote wanataka waonekana wana ajenda ya kutetea masikini kama mtaji aliouacha "MWENDAZAKE"na ambao wanataka kutuonyesha kuwa Rais Samia haujali na ameamua kumsaliti "MWENDAZAKE"!
Tatu,"Wahadhiri" wote wamemshambulia sana Mheshimiwa Amos Gabriel Makala, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kama mtu wa hovyo, mtu ambaye hana maarifa , mtu ambaye alishashindwa maisha na Rais Samia amefanya makosa na kumpa Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!
Kabla sijaenda mbele nizungumzie mambo mawili kwanza ili twende sawa.
Mosi, siungi mkono jinsi wamachinga pale vingunguti walivyofanyiwa baada ya kupewa mwezi mmoja, lakini siungi pia uwepo wa wamachinga kila mahali na kubembelezwa kwao. Wamachinga hawana impact yoyote ya maana katika uchumi wetu zaidi ya kutudidimiza kwa kuuwa uchumi wetu na kuvuruga miji yetu! Ni ujinga kwa mtu kama Mbunge badala ya kuibua mikakati na kuishauri Serikali namna ya kuja na miradi yenye tija kwa Taifa itakayowa-absorb wamachinga na kuwafanya wazalishaji wa kweli kwenye production chain.
Pili, huyu Amosi Gabriel Makala ni nani? Simjui sana ila najua elimu yake ni nzuri tu! Ana Masters( MBA) na pia ana CPA ( Certified Public Accountant), amewahi kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC), Mkuu wa mikoa kadhaa (Kilimanjaro,Mbeya,Katavi) kabla ya kuletwa Dar es Salaam. Amekuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Habari.
Na niseme huyu ndo mtu ambaye kwa sasa naona alikuwa ame- qualify kuwa KATIBU MKUU WA CCM kama profile ingekuwa na maana yoyote ndani ya CCM!
Huyu ndo mtu ambaye Polepole kwa kujificha nyuma ya kichaka cha shule ya uongozi anamfundisha namna ya ku- deal na mamalishe wa masaki!
Musukuma yeye kutokana na uhafifu wa elimu yake (Darasa la Saba) hawezi kujificha kama Polepole ,amefunguka kuwa Mhe.Amosi Makala ana magenge ya Urais 2025!
Humphrey Polepole na Musukuma ni WANAFIKI sana, rejeeni mambo yao huko nyuma!
Polepole aliwahi kukana maelezo yake wakati wa mchakato wa katiba na mstakabali wa CCM katika uchaguzi huru na haki (Clip zipo humu)!
Musukuma wakati wa safari ya matumaini ya Lowasa alienda hadi uwanja wa Sheik Amri Abeid pale Arusha lakini baadaye alimgeuka na ndiye aliyevujisha "Habari" za Lowasa kujinyea Chato!
WANAFIKI sana watu hawa!!
Turudi kwa huyu Humphrey Polepole, najua amehitimu Masters ya DS ( Development Studies) hivi karibuni!
Kwenye clips zake alizotoa huitaji kuwa na elimu ya kutengeneza roketi (rocket science) kujua ana gubu na Rais Samia na Serikali yake baada ya kupigwa chini.
Hiki alichoki- hadhiri leo kwenye "Dependency theory"ni ujinga tu na kupinga safari ya Rais Samia kule Marekani (UNGA)!
Polepole tuambie Magufuli alikuta deni la Taifa ni kiasi gani na aliacha limefika kiasi gani?
Na kama alikopa basi atueleze Magufuli alikopa kwenye taasisi zipi?
Polepole acha gubu kwa Rais Samia na Serikali yake!
Ungekuwepo wakati wa mkoloni wewe Hadi leo tungekuwa tunatawaliwa na mkoloni.Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!

Watajuana wao wenyewe na CCM yao tumeishaichok CCM tunataka katiba mpyaAwali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!

Nyie ndio wale wahuni mnaomdanganya Chief Hangaya kwamba tunapaswa tuwe mazoba mbele ya wazungu ili tuendelee kupewa misaada na ruzuku.Wewe unaweza kuwakimbia wazungu?!!!
Kiongozi gani afrika anaweza kuthubutu kufanya vita dhidi ya hao watu?!!
Kila zama na kitabu chake!
Hatuogopi mawazo mbadala bali hatupendi hoja zenye misingi ya unafiki!
TrueRais Samia ni dhaifu hawezi kuongoza nchi makini kama Tanzania. She falls below presidential standards.
Anafaa sana kuwa mwenyekiti wa NGO za akina mama au VICOBA/ VIKOBA.
Hili linchi lenye kila rasilimali halipaswi kuwa omba omba. Gesi, madini maliasili, wanyama, mbuga, makaa ya mawe, ardhi safi na kubwa, nguvu kazi ya kutosha, wasomi mahiri na mengine mengi.
Tanzanite, almasi, dhahabu, migodi mikubwa Africa. Kodi, Tozo sijui nini. Rasilimali kila kona.
Tulikuwa na Rais shupavu anaitwa John Pombe Magufuli alikuwa anatambua kwamba sisi sio watu wa viwango duni vya kujikomba komba kwa mabeberu na matapeli wa Ulaya.
Huyu Chief Hangaya ana miezi mitatu tu kashaanza kujibembeleza na kujibebisha kwa wazungu.
Yaani ni mwendo wa ukike kike tu. Mara mie jinsia yangu ya kike, mara maumbile yangu ya kike sijui yamefanyaje.
Mazoea hujenga tabiaSidhani kuwa ni dhambi watu kuwa tofauti na rais
Serikali ya CCM watawezaje kuzitumia rasilimali tulizonazo Kwa manufaa mapana ya Taifa letu wakati nguvu kubwa wanazilelekeza kwa wale wote wanaowaona ni wakosoaji wao??Rais Samia ni dhaifu hawezi kuongoza nchi makini kama Tanzania. She falls below presidential standards.
Anafaa sana kuwa mwenyekiti wa NGO za akina mama au VICOBA/ VIKOBA.
Hili linchi lenye kila rasilimali halipaswi kuwa omba omba. Gesi, madini maliasili, wanyama, mbuga, makaa ya mawe, ardhi safi na kubwa, nguvu kazi ya kutosha, wasomi mahiri na mengine mengi.
Tanzanite, almasi, dhahabu, migodi mikubwa Africa. Kodi, Tozo sijui nini. Rasilimali kila kona.
Tulikuwa na Rais shupavu anaitwa John Pombe Magufuli alikuwa anatambua kwamba sisi sio watu wa viwango duni vya kujikomba komba kwa mabeberu na matapeli wa Ulaya.
Huyu Chief Hangaya ana miezi mitatu tu kashaanza kujibembeleza na kujibebisha kwa wazungu.
Yaani ni mwendo wa ukike kike tu. Mara mie jinsia yangu ya kike, mara maumbile yangu ya kike sijui yamefanyaje.
Wewe ni mmoja wa vil.aza waliojaza Nchi hii! Jielimisheni acheni kukariri madesa! Wealth creation haijalishi rasilimali ulizonazo! Wealth creation unahitaji zaidi brain, kitu ambacho tunakikosa humu Nchini kuanzia kwa Wananchi hadi Viongozi!Wewe mtoa mada ni bure kabisa.
Kwa akili yako unaweza kumlinganisha JPM na huyo mtu wenu.
JPM ni habari nyingine kabisa. Tangu kuumbwa Ulimwengu, Watanzania hatujawahi kununua mbolea sh.90,000/- ,lakini sasa hiyo ndo bei iliyopo sokoni.
Kwa ujumla vitu vinapanda bei kwa zaidi ya 47%. Ebu tuambie, yule aliyejiunganishia Bomba la Mafuta ya serikali yuko wapi sasa, yale madawa ya kulevya yaliyoshikwa yako wapi na wahusika wako wapi sasa?
Angekuwepo JPM upumbavu kama huo usingetokea kabisa.
Ni aibu kubwa sana. Tanzania ina kila kitu lakini bado tunapenda kuzurura huku na huko kutafuta MABWANA wa kutusaidia.
RIP, JPM BABA YETU.
Ndio maana we unaongea humuSirro amekubaliana na uhuru huo?
Samia ana standards za juu kabisa katika kutuvusha kutoka uchumi ulioharibiwa na HAYAWANI wa Chato kwa miaka 5.Rais Samia ni dhaifu hawezi kuongoza nchi makini kama Tanzania. She falls below presidential standards.
Anafaa sana kuwa mwenyekiti wa NGO za akina mama au VICOBA/ VIKOBA.
Hili linchi lenye kila rasilimali halipaswi kuwa omba omba. Gesi, madini maliasili, wanyama, mbuga, makaa ya mawe, ardhi safi na kubwa, nguvu kazi ya kutosha, wasomi mahiri na mengine mengi.
Tanzanite, almasi, dhahabu, migodi mikubwa Africa. Kodi, Tozo sijui nini. Rasilimali kila kona.
Tulikuwa na Rais shupavu anaitwa John Pombe Magufuli alikuwa anatambua kwamba sisi sio watu wa viwango duni vya kujikomba komba kwa mabeberu na matapeli wa Ulaya.
Huyu Chief Hangaya ana miezi mitatu tu kashaanza kujibembeleza na kujibebisha kwa wazungu.
Yaani ni mwendo wa ukike kike tu. Mara mie jinsia yangu ya kike, mara maumbile yangu ya kike sijui yamefanyaje.
Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!