Humphrey Polepole, Musukuma na "Kakikundi" kao tunawatazama kwa makini sana!

Wewe ndiye uwezo wako wa kufikiria na hekima ni ndogo. Na inawezekana umri wako upo kwenye kubarehe. Hivyo hatukulaumu. Pole sana. Ila hoja za Polepole ni nzuri. Ndiyo maana hata Mama kwenye hotuba yake leo kagusia uzalendo. Ila mtu asiyeelewa kama wewe unadhani Mama ni mjinga. Na kwa taarifa yako, Polepole yupo nyuma ya Mama na hizo kazi anatumwa na Mama.
Acha uongo wewe. Polepole atumwe na mama kuropoka huo ujinga anaoropoka? Are you serious? Hakuna kitu kama hicho.

Polepole anaendesha harakati za uasi kwa serikali ya awamu ya sita kuseek attention ya watanzania wasiojitambua na kujaribu kumtisha mama ili akumbukwe..hana lolote la maana.

Hizo sera za kikomunist anaohubiri kwa Dunia ya leo ni kujilisha upepo tu!
 
Elewa Mama anahitaji support kotekote. Nina uhakika anaungwa mkono na Mama Samia. Fuatilia vizuri, Mh. Polepole anaongelea hoja na hamshambulii mtu na Mama ni mzalendo wetu, na Mh Polepole anamsafishia njia.
 
Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!

Ukizitazama na kuzisikiliza kwa makini utagundua zote kwa pamoja zinafanana kwa maudhui japo zimetolewa na "Wahadhiri" wawili tofauti.

Kwanza, "Wahadhiri" wote wamejinasibu kwa kujitahidi sana kuchagua maneno ili kuonekana wanamheshimu Rais Samia na wanamuunga mkono ama yeye binafsi, Serikali yake ama Serikali ya CCM lakini wote ni WANAFIKI wakubwa sana!

Pili,wote wanataka waonekana wana ajenda ya kutetea masikini kama mtaji aliouacha "MWENDAZAKE"na ambao wanataka kutuonyesha kuwa Rais Samia haujali na ameamua kumsaliti "MWENDAZAKE"!

Tatu,"Wahadhiri" wote wamemshambulia sana Mheshimiwa Amos Gabriel Makala, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kama mtu wa hovyo, mtu ambaye hana maarifa , mtu ambaye alishashindwa maisha na Rais Samia amefanya makosa na kumpa Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

Kabla sijaenda mbele nizungumzie mambo mawili kwanza ili twende sawa.

Mosi, siungi mkono jinsi wamachinga pale vingunguti walivyofanyiwa baada ya kupewa mwezi mmoja, lakini siungi pia uwepo wa wamachinga kila mahali na kubembelezwa kwao. Wamachinga hawana impact yoyote ya maana katika uchumi wetu zaidi ya kutudidimiza kwa kuuwa uchumi wetu na kuvuruga miji yetu! Ni ujinga kwa mtu kama Mbunge badala ya kuibua mikakati na kuishauri Serikali namna ya kuja na miradi yenye tija kwa Taifa itakayowa-absorb wamachinga na kuwafanya wazalishaji wa kweli kwenye production chain.

Pili, huyu Amosi Gabriel Makala ni nani? Simjui sana ila najua elimu yake ni nzuri tu! Ana Masters( MBA) na pia ana CPA ( Certified Public Accountant), amewahi kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC), Mkuu wa mikoa kadhaa (Kilimanjaro,Mbeya,Katavi) kabla ya kuletwa Dar es Salaam. Amekuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Habari.

Na niseme huyu ndo mtu ambaye kwa sasa naona alikuwa ame- qualify kuwa KATIBU MKUU WA CCM kama profile ingekuwa na maana yoyote ndani ya CCM!
Huyu ndo mtu ambaye Polepole kwa kujificha nyuma ya kichaka cha shule ya uongozi anamfundisha namna ya ku- deal na mamalishe wa masaki!

Musukuma yeye kutokana na uhafifu wa elimu yake (Darasa la Saba) hawezi kujificha kama Polepole ,amefunguka kuwa Mhe.Amosi Makala ana magenge ya Urais 2025!

Humphrey Polepole na Musukuma ni WANAFIKI sana, rejeeni mambo yao huko nyuma!
Polepole aliwahi kukana maelezo yake wakati wa mchakato wa katiba na mstakabali wa CCM katika uchaguzi huru na haki (Clip zipo humu)!

Musukuma wakati wa safari ya matumaini ya Lowasa alienda hadi uwanja wa Sheik Amri Abeid pale Arusha lakini baadaye alimgeuka na ndiye aliyevujisha "Habari" za Lowasa kujinyea Chato!
WANAFIKI sana watu hawa!!

Turudi kwa huyu Humphrey Polepole, najua amehitimu Masters ya DS ( Development Studies) hivi karibuni!
Kwenye clips zake alizotoa huitaji kuwa na elimu ya kutengeneza roketi (rocket science) kujua ana gubu na Rais Samia na Serikali yake baada ya kupigwa chini.
Hiki alichoki- hadhiri leo kwenye "Dependency theory"ni ujinga tu na kupinga safari ya Rais Samia kule Marekani (UNGA)!

Polepole tuambie Magufuli alikuta deni la Taifa ni kiasi gani na aliacha limefika kiasi gani?

Na kama alikopa basi atueleze Magufuli alikopa kwenye taasisi zipi?

Polepole acha gubu kwa Rais Samia na Serikali yake!
Nadhani uliwahi kuiona picha ya Polepole akimchungulia kwa umakini Mama Samia akimpiga jicho kama vile anataka kujipendekeza kwake, siku ile ya uapisho wa kwanza kabisa wa mawaziri.

Mpiga picha aliyelinasa lile tukio atakuwa ni wa kimataifa, kwani aliweza kuunasa unafiki ukisomeka machoni moja kwa moja machoni mwa watu.
 
Yaani huyu mama hotuba hazina ushawishi kabisa kamaanasoma gazeti haijulikani jambo gani katoa maagizo na jambogani kasherehesha
 
Huyo magufuli aliye kuwa anawadanganya mchana halafu usiku anakopa? Hebu jiulize alikuta deni Tsh ngapi na akaliacha Tsh ngapi halafu uje useme hapa alikuwa hakopi au laa! kadanganya sana wajinga yule mzee
Dikteta muuaji lilikopa matilioni ya fedha
 
We mleta mada ndio mnafiki na mzandiki number moja, mama kafungulia nchi mwache pole pole aongee sababu yupo free, alafu kingine tuu nikuambie mtaani polepole tunamuelewa sana huwezi amini.
mna chuki na Samia,na Rais Samia atahakikisha anapiga chini mabaki yote ya wasaliti kwenye serikali yake,nyie viumbe hamna shukrani
 
Rais Samia ni dhaifu hawezi kuongoza nchi makini kama Tanzania. She falls below presidential standards.

Anafaa sana kuwa mwenyekiti wa NGO za akina mama au VICOBA/ VIKOBA.

Hili linchi lenye kila rasilimali halipaswi kuwa omba omba. Gesi, madini maliasili, wanyama, mbuga, makaa ya mawe, ardhi safi na kubwa, nguvu kazi ya kutosha, wasomi mahiri na mengine mengi.

Tanzanite, almasi, dhahabu, migodi mikubwa Africa. Kodi, Tozo sijui nini. Rasilimali kila kona.

Tulikuwa na Rais shupavu anaitwa John Pombe Magufuli alikuwa anatambua kwamba sisi sio watu wa viwango duni vya kujikomba komba kwa mabeberu na matapeli wa Ulaya.

Huyu Chief Hangaya ana miezi mitatu tu kashaanza kujibembeleza na kujibebisha kwa wazungu.

Yaani ni mwendo wa ukike kike tu. Mara mie jinsia yangu ya kike, mara maumbile yangu ya kike sijui yamefanyaje.
Hakuna rais yoyote kutoka ccm atakae weza kubadili maisha ya watanzania
Kwasababu ccm ilisha laaniwa na Muumba wa nchi
Ccm ni chama kilicho oza kinahitajika kuzikwa kabisa Kama tulivyo mzika hy jiwe wenu
 
Rais Samia ni dhaifu hawezi kuongoza nchi makini kama Tanzania. She falls below presidential standards.

Anafaa sana kuwa mwenyekiti wa NGO za akina mama au VICOBA/ VIKOBA.

Hili linchi lenye kila rasilimali halipaswi kuwa omba omba. Gesi, madini maliasili, wanyama, mbuga, makaa ya mawe, ardhi safi na kubwa, nguvu kazi ya kutosha, wasomi mahiri na mengine mengi.

Tanzanite, almasi, dhahabu, migodi mikubwa Africa. Kodi, Tozo sijui nini. Rasilimali kila kona.

Tulikuwa na Rais shupavu anaitwa John Pombe Magufuli alikuwa anatambua kwamba sisi sio watu wa viwango duni vya kujikomba komba kwa mabeberu na matapeli wa Ulaya.

Huyu Chief Hangaya ana miezi mitatu tu kashaanza kujibembeleza na kujibebisha kwa wazungu.

Yaani ni mwendo wa ukike kike tu. Mara mie jinsia yangu ya kike, mara maumbile yangu ya kike sijui yamefanyaje.
Hivi deni la Taifa la nje liliongezeka wakati wa JPM baada ya kuanza kulipa au kukopa pesa za mabeberu?
 
Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma!

Ukizitazama na kuzisikiliza kwa makini utagundua zote kwa pamoja zinafanana kwa maudhui japo zimetolewa na "Wahadhiri" wawili tofauti.

Kwanza, "Wahadhiri" wote wamejinasibu kwa kujitahidi sana kuchagua maneno ili kuonekana wanamheshimu Rais Samia na wanamuunga mkono ama yeye binafsi, Serikali yake ama Serikali ya CCM lakini wote ni WANAFIKI wakubwa sana!

Pili,wote wanataka waonekana wana ajenda ya kutetea masikini kama mtaji aliouacha "MWENDAZAKE"na ambao wanataka kutuonyesha kuwa Rais Samia haujali na ameamua kumsaliti "MWENDAZAKE"!

Tatu,"Wahadhiri" wote wamemshambulia sana Mheshimiwa Amos Gabriel Makala, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kama mtu wa hovyo, mtu ambaye hana maarifa , mtu ambaye alishashindwa maisha na Rais Samia amefanya makosa na kumpa Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

Kabla sijaenda mbele nizungumzie mambo mawili kwanza ili twende sawa.

Mosi, siungi mkono jinsi wamachinga pale vingunguti walivyofanyiwa baada ya kupewa mwezi mmoja, lakini siungi pia uwepo wa wamachinga kila mahali na kubembelezwa kwao. Wamachinga hawana impact yoyote ya maana katika uchumi wetu zaidi ya kutudidimiza kwa kuuwa uchumi wetu na kuvuruga miji yetu! Ni ujinga kwa mtu kama Mbunge badala ya kuibua mikakati na kuishauri Serikali namna ya kuja na miradi yenye tija kwa Taifa itakayowa-absorb wamachinga na kuwafanya wazalishaji wa kweli kwenye production chain.

Pili, huyu Amosi Gabriel Makala ni nani? Simjui sana ila najua elimu yake ni nzuri tu! Ana Masters( MBA) na pia ana CPA ( Certified Public Accountant), amewahi kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC), Mkuu wa mikoa kadhaa (Kilimanjaro,Mbeya,Katavi) kabla ya kuletwa Dar es Salaam. Amekuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Habari.

Na niseme huyu ndo mtu ambaye kwa sasa naona alikuwa ame- qualify kuwa KATIBU MKUU WA CCM kama profile ingekuwa na maana yoyote ndani ya CCM!
Huyu ndo mtu ambaye Polepole kwa kujificha nyuma ya kichaka cha shule ya uongozi anamfundisha namna ya ku- deal na mamalishe wa masaki!

Musukuma yeye kutokana na uhafifu wa elimu yake (Darasa la Saba) hawezi kujificha kama Polepole ,amefunguka kuwa Mhe.Amosi Makala ana magenge ya Urais 2025!

Humphrey Polepole na Musukuma ni WANAFIKI sana, rejeeni mambo yao huko nyuma!
Polepole aliwahi kukana maelezo yake wakati wa mchakato wa katiba na mstakabali wa CCM katika uchaguzi huru na haki (Clip zipo humu)!

Musukuma wakati wa safari ya matumaini ya Lowasa alienda hadi uwanja wa Sheik Amri Abeid pale Arusha lakini baadaye alimgeuka na ndiye aliyevujisha "Habari" za Lowasa kujinyea Chato!
WANAFIKI sana watu hawa!!

Turudi kwa huyu Humphrey Polepole, najua amehitimu Masters ya DS ( Development Studies) hivi karibuni!
Kwenye clips zake alizotoa huitaji kuwa na elimu ya kutengeneza roketi (rocket science) kujua ana gubu na Rais Samia na Serikali yake baada ya kupigwa chini.
Hiki alichoki- hadhiri leo kwenye "Dependency theory"ni ujinga tu na kupinga safari ya Rais Samia kule Marekani (UNGA)!

Polepole tuambie Magufuli alikuta deni la Taifa ni kiasi gani na aliacha limefika kiasi gani?

Na kama alikopa basi atueleze Magufuli alikopa kwenye taasisi zipi?

Polepole acha gubu kwa Rais Samia na Serikali yake!
Huna hoja yoyote wewe pimbi,mmebaki kujipendekeza tu kwa hiyo bibi yenu ambaye kapoteza mvuto
 
Habari za mikopo si utueleze wewe pimbi,unakuja kumuuliza polepole habari za madeni ya Magufuli badala wewe ndo useme ile sisi tukupinge kwa data,pumbavu sana
 
Huyo magufuli aliye kuwa anawadanganya mchana halafu usiku anakopa? Hebu jiulize alikuta deni Tsh ngapi na akaliacha Tsh ngapi halafu uje useme hapa alikuwa hakopi au laa! kadanganya sana wajinga yule mzee
we kilaza kweli,hakulipa madeni yaliyokopwa na wenzie,kiufupi hakuwahi kupeleka malejesho ya mikopo waliyokopa wenzie,kwa kawaida muulize mkeo kwenye vikoba ni mzoefu,nn hutokea usipopeleka lejesho la mkopo kwa wakati,Kuna faini plus riba ,lazma figure za Deni ziongezeke!!
 
We mleta mada ndio mnafiki na mzandiki number moja, mama kafungulia nchi mwache pole pole aongee sababu yupo free, alafu kingine tuu nikuambie mtaani polepole tunamuelewa sana huwezi amini.
Mtaani Polepole watu wanamuelewa na hiki ndo kinachowaudhi
 
Rais Samia ni dhaifu hawezi kuongoza nchi makini kama Tanzania. She falls below presidential standards.

Anafaa sana kuwa mwenyekiti wa NGO za akina mama au VICOBA/ VIKOBA.

Hili linchi lenye kila rasilimali halipaswi kuwa omba omba. Gesi, madini maliasili, wanyama, mbuga, makaa ya mawe, ardhi safi na kubwa, nguvu kazi ya kutosha, wasomi mahiri na mengine mengi.

Tanzanite, almasi, dhahabu, migodi mikubwa Africa. Kodi, Tozo sijui nini. Rasilimali kila kona.

Tulikuwa na Rais shupavu anaitwa John Pombe Magufuli alikuwa anatambua kwamba sisi sio watu wa viwango duni vya kujikomba komba kwa mabeberu na matapeli wa Ulaya.

Huyu Chief Hangaya ana miezi mitatu tu kashaanza kujibembelezaZ na kujibebisha kwa wazungu.

Yaani ni mwendo wa ukike kike tu. Mara mie jinsia yangu ya kike, mara maumbile yangu ya kike sijui yamefanyaje.
Kweli kabisa! Huwezi kuwa MTU wa kulialia halafu utegemee mafanikio!
 
JPM(RiP) alikuwa ni rais wetu na aliyafanya mazuri aliyoyafanya.....

Naye mh.SSH ni rais wetu anaendelea kutuhudumia watanzania.....

Kwanini ifikie mahali tuwapambanishe Marais WETU wawili ambao ADA NA KAWAIDA YETU NI KUACHIANA VIJITI VYA UONGOZI KWA HESHIMA NA TAADHIMA?!!!

#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaChochote
Nyie wafuasi wa Samia ndo mnataka kushindanisha Magufuli na Samia,bila kujua mnampoteza huyo bibi yenu,mpaka watu wanaanza kupata imani ya mambo yanayongelewa mtaani kwamba Samia alifanikisha kifo cha Magufuli,mwambieni Makamba na Team yake waache ujinga
 
Back
Top Bottom