Humphrey Polepole ni nani?

Huyu jamaa mnamfananisha na nani?! Huyu alidanganya kuwa moja ya sababu zilizomfanya ampinge Lowassa ni kwa sababu Lowassa hakuunga mkono mapendekezo ya katiba ya wananchi! Je magufuli aliyaunga mkono?!
 
Uchaguzi ukiwa huru n.a. haki CCM ijiandae kukabidhi Ikulu. ..mwisho wa nukuu
 
Wacha huo ujinga,huwezi kumlinganisha mchumia tumbo na baba wa taifa
 
Nasikia kapewa akae alipokuwa amekaa Nape
 
Hongera ndugu Polepole.

leo Prof Kabudi yupo Zanzibar na yeye anafafanua rasimu.
Duu,leo hii kapewa Wizara ambayo kimsingi ni mratibu mkuu wa Mchakato ule. Je atautumia utaalam wake kuhakikisha anawishi Cabinet kuanzisha mchakato pale ulipokwama?
 
Reactions: SDG
"Kwakweli CCM kwa msemeo wa wengi yetu inachechemea, yaani kila wanapoteua wasemaji wake ni form six failure! huyu jamaa wa sasa nae ni form 6 failure, mtangulizi wake nae alikua form 6 failure, sasa kusema kua chama chetu kinaendeshwa na intellectuals tunamaanisha nini? Hii hapana kwakweli"
Haya yalikua na maneno ya mwanaccm kindakindaki aliekua akisononeka akionekana mnyonge kabisa aliyeikosa amani ndani ya chama chake.


Ahaah, kumbe tulipokua tunajiuliza huyu alipokua akipondea nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya lakini baada ya kuteuliwa akawa wa kwanza kuripoti kazini. Hivi tunajenga vijana aina ya mwalimu nyerere wansozungumzia misingi ya ujamaa kuwatolea hawa kama mifano kweli?

CCM mna bahati mbaya sana! Utafikiri hakuna intellectuals kwenye chama kubwa kama lenu!
 
Asee vitu vingine sio vya kushadidia kihivyo, kuwa form 6 failure or passed c issue, mtoa mada wazo lako la Leo halina tofaiti na wale wanaokuwa wanashadidia matokeo ya Mbowe. Muhimu kwenye uongoz kunakuwepo na mixed levels za elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…