britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
HahahaNimejuta kufungua huu uzi usiku huu ngoja ninyamaze mleta mada utanitafutia BAN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaNimejuta kufungua huu uzi usiku huu ngoja ninyamaze mleta mada utanitafutia BAN
Kumpa Yericko hata ujumbe wa Serikali za mitaa itakuwa aibu.
Kwanza kabla ya kumlinganisha MTU na mwalimu Nyerere ujue sifa zake zilikuwa zipi,
1. Kujisimamia
2. Kujenga hoja
3. Kumwambia MTU ukweli bila kujali nguvu yake ya pesa au cheo,
Nayaona hayo katika Humphrey Polepole, yaweza isiwe Leo au kesho ila Polepole ni aina ya watu wanaohitajika kuongoza nchi au kundi lolote la watu,
Tupitie michango yake mbali mbali kupitia video, please angalia videos kwanza ndo upate cha Ku comment
1. ITV
2. Mabadiliko aliyosema mwalimu
3.
4.kabla ya kura za maoni CCM ilikuwa tarehe 5/6/2015 ITV
5. UCHAMBUZI JUU YA LOWASSA
6. Juu ya wagombea au watia nia wote wa CCM 16-4-2015
Nasikia kapewa akae alipokuwa amekaa NapeHumphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.
Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao na anaendelea kukabiliana nao dhidi ya upotoshaji, kwangu mimi Bw Polepole anastahili tunzo ya heshima.
Nawakaribisha wadau kwa maoni.
below 40(35-40years)Za asubuhi wakuu. Nimejaribu kumcheki mheshimiwa nimeshindwa kumuweka kwenye kundi sahihi. Kifupi namkubali sana tu. View attachment 461438
Duu,leo hii kapewa Wizara ambayo kimsingi ni mratibu mkuu wa Mchakato ule. Je atautumia utaalam wake kuhakikisha anawishi Cabinet kuanzisha mchakato pale ulipokwama?Hongera ndugu Polepole.
leo Prof Kabudi yupo Zanzibar na yeye anafafanua rasimu.