Awesome 👌Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi wa Mbogamboga nimeonana nawe sana pale Ofisi Ndogo Lumumba. Ingawa nilikushauri memgi ukanipinga lakini leo umekuja kufanya mengi ya baadhi niliyokushauri
Nashukuru umeweza kuunga mkono kilio na struggle ya Wapambaniaji Demokrasia nchini.
Nina ushauri hapa kwako mdogo wangu ndugu Polepole
- Kwenye public address zako, jikite sana kuelezea madhara yatokanayo na chaguzi mbovu. Kwa sehemu elezea matokeo kama vile Mtandao, Mafisadi nk
- Hitaji la Katiba mpya na manufaa yake kwa nchi
- CCM ilivyojipenyeza kwenye mifumo ya dola. Haitoshi tu kusema wameunga mfumo wa NIDA na NEC kudhibiti kura bali tuelezee namna CCM inavyonufaika na mifumo yetu ya ulinzi na usalama huku Watanzania wakiachwa nje
- Tuelezee namna CCM inavyoshirikiana na Dola kuvunja katiba na sheria za nchi.
- Watekaji ni kina nani na wanashirikiana watawala kuhujumu maisha ya wananchi
- Kujibizana na Rostam iwe sehemu ndogo isikudistract kwenye kuelimisha Watanzania wasishiriki uchaguzi
- Mhimili wa Mahakama
Hayo ni baadhi ya mengi wanayohitaji kuelimishwa wananchi kuamsha ari ya kuidai Tanzania yao
Kumbe usipoleta post za dini unakuwa na hoja nzuri tu...✍️Mbona anaelezea hayo na zaidi, tatizo watanzania MNAPENDA sana umbea ,kujitoa kupigania nchi hamtaki
Bado wanaojitolea kuwasemea mnawapangia chakuongea
Je hili linaweza kuwa sababu ya view nyingi anazo pata?Mbona anaelezea hayo na zaidi, tatizo watanzania MNAPENDA sana umbea ,kujitoa kupigania nchi hamtaki
Bado wanaojitolea kuwasemea mnawapangia chakuongea
Yes, vita yake si ya maslah mapana ya taifaPolepole bado anaamini chama kwanza nchi baadae
Hizo tuhuma zote au masuala unayomshauri ayafanyie kazi kama yana ukweli basi yeye alikuwemo na aliyashupalia aliokua kwenye serikali.Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi wa Mbogamboga nimeonana nawe sana pale Ofisi Ndogo Lumumba. Ingawa nilikushauri memgi ukanipinga lakini leo umekuja kufanya mengi ya baadhi niliyokushauri
Nashukuru umeweza kuunga mkono kilio na struggle ya Wapambaniaji Demokrasia nchini.
Nina ushauri hapa kwako mdogo wangu ndugu Polepole
- Kwenye public address zako, jikite sana kuelezea madhara yatokanayo na chaguzi mbovu. Kwa sehemu elezea matokeo kama vile Mtandao, Mafisadi nk
- Hitaji la Katiba mpya na manufaa yake kwa nchi
- CCM ilivyojipenyeza kwenye mifumo ya dola. Haitoshi tu kusema wameunga mfumo wa NIDA na NEC kudhibiti kura bali tuelezee namna CCM inavyonufaika na mifumo yetu ya ulinzi na usalama huku Watanzania wakiachwa nje
- Tuelezee namna CCM inavyoshirikiana na Dola kuvunja katiba na sheria za nchi.
- Watekaji ni kina nani na wanashirikiana watawala kuhujumu maisha ya wananchi
- Kujibizana na Rostam iwe sehemu ndogo isikudistract kwenye kuelimisha Watanzania wasishiriki uchaguzi
- Mhimili wa Mahakama
Hayo ni baadhi ya mengi wanayohitaji kuelimishwa wananchi kuamsha ari ya kuidai Tanzania yao
tatizo watanzania MNAPENDA sana umbea ,kujitoa kupigania nchi hamtakiMbona anaelezea hayo na zaidi, tatizo watanzania MNAPENDA sana umbea ,kujitoa kupigania nchi hamtaki
Bado wanaojitolea kuwasemea mnawapangia chakuongea
Mtanzania ndio mtu pekee ambaye anakusubiria ufanye jambo kisha mwishoni anajitokeza kuwa mshauri wako na kukufundisha jinsi ya kufanya hali ya kuwa yeye kashindwa hata kuanza tu hilo jambo.Mbona anaelezea hayo na zaidi, tatizo watanzania MNAPENDA sana umbea ,kujitoa kupigania nchi hamtaki
Bado wanaojitolea kuwasemea mnawapangia chakuongea
Yaani hapa ndipo Polepole anaponichoshaKumbuka Polepole ni mwana CCM mtiifu, tatizo lake ni wana mtandao tu. Maono na dhamira yake ni CCM iendelee kutawala milele kama ilivyo CCP ya China. Kwa maana hiyo basi hawezi kuongea mambo yatakayo hatarisha utawala wa CCM.
Ameshaomba radhi na amesema baadhi ya mambo alishirikiMengine atakuwa anajizabatua makofi mwenyewe, labda aombe radhi kwanza kwa ushiriki wake kwa namna moja au nyingine ndio apasue mbarika