Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

  1. Kujibizana na Rostam iwe sehemu ndogo isikudistract kwenye kuelimisha Watanzania wasishiriki uchaguzi
Huyo ndo kichwa cha joka lililoingia kwenye nyumba yetu. Ni lazima ahangaike nalo kwanza kabla kuweza kuisha kwa amani.
 
Kumbuka Polepole ni mwana CCM mtiifu, tatizo lake ni wana mtandao tu. Maono na dhamira yake ni CCM iendelee kutawala milele kama ilivyo CCP ya China. Kwa maana hiyo basi hawezi kuongea mambo yatakayo hatarisha utawala wa CCM.
Polepole bado anaamini chama kwanza nchi baadae
Yes, vita yake si ya maslah mapana ya taifa
Naona wengi hamjamuelewa vizuri Pole pole, mengi anayoyaongea ni masuala ya nchi, ila kwasababu ya viapo inabidi ajikite kwenye UCCM.
 
Kwa ulivyomuelewa, ni nini anachokipigania?
Anapigania nini mkuu 😂

Kumuweka pembeni SSH na labda wahuni.

Nothing more, huwezi taka leta maslahi mapana kwa taifa kwanza unataka kuhakikisha ccm inaendelea kushika dola na pia unaishambulia kwa kuvizia, kwamba wakinyoosha mambo anakaa kimya.

uNless uwe mwanaccm ndo polepole anakua wa maana sana. Sisi wengine tusiokua ccm mpaka sasa hatujaona nia yake njema ya kutetea taifa hili.

Hata ile ya nida + ccm + tume. hamna kitu pale
 
Ka
Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi wa Mbogamboga nimeonana nawe sana pale Ofisi Ndogo Lumumba. Ingawa nilikushauri memgi ukanipinga lakini leo umekuja kufanya mengi ya baadhi niliyokushauri

Nashukuru umeweza kuunga mkono kilio na struggle ya Wapambaniaji Demokrasia nchini.

Nina ushauri hapa kwako mdogo wangu ndugu Polepole
  1. Kwenye public address zako, jikite sana kuelezea madhara yatokanayo na chaguzi mbovu. Kwa sehemu elezea matokeo kama vile Mtandao, Mafisadi nk
  2. Hitaji la Katiba mpya na manufaa yake kwa nchi
  3. CCM ilivyojipenyeza kwenye mifumo ya dola. Haitoshi tu kusema wameunga mfumo wa NIDA na NEC kudhibiti kura bali tuelezee namna CCM inavyonufaika na mifumo yetu ya ulinzi na usalama huku Watanzania wakiachwa nje
  4. Tuelezee namna CCM inavyoshirikiana na Dola kuvunja katiba na sheria za nchi.
  5. Watekaji ni kina nani na wanashirikiana watawala kuhujumu maisha ya wananchi
  6. Kujibizana na Rostam iwe sehemu ndogo isikudistract kwenye kuelimisha Watanzania wasishiriki uchaguzi
  7. Mhimili wa Mahakama

Hayo ni baadhi ya mengi wanayohitaji kuelimishwa wananchi kuamsha ari ya kuidai Tanzania yao
kaka nakumbuka walikuaga HGL ONE HAPO 😊 BENJAMIN MKAPA SECONDARY na manara hajii..
 
Kumuweka pembeni SSH na labda wahuni.

Nothing more, huwezi taka leta maslahi mapana kwa taifa kwanza unataka kuhakikisha ccm inaendelea kushika dola na pia unaishambulia kwa kuvizia, kwamba wakinyoosha mambo anakaa kimya.

uNless uwe mwanaccm ndo polepole anakua wa maana sana. Sisi wengine tusiokua ccm mpaka sasa hatujaona nia yake njema ya kutetea taifa hili.

Hata ile ya nida + ccm + tume. hamna kitu pale
Mbona hata magufuli alikuwa CCM?

Binasfi sijawahi kuwa na chama ila wakiwafyeka mtandao, CCM bado ni chama bora.

Chadema walikuwa vizuri ila Mboe alikiharibu sana, ni kama na yeye ni zao la mtamdao. Lissu na yeye kukumbatia sana watu wa EU kunatia mashaka.
 
NAam mkuu, safi hii thinking mimi naiunga mkono , tukiwa na mfumo imara chama chochote kiongoze tu hatutakua na shida.

Magu nayeye mimi naona wale wale wanaweka ccm mbele tu, mfano mkuu 2020. Ule uchaguzi umevurugwa na nani mtandao au magu?

Mimi Lissu naona ndo atatupa break-through. Kukumbatia umoja wa ulaya ni matokeo ya ccm kumezs mifumo ya nchi kiasi kwamba njia rahisi ni kuomba external support ,
 
Hivi mnajua jinsi amerisk maisha yake huyu jamaa kwa kuamua kusaliti kiapo, kuacha mapesa kibao kuamua kuzungumza hayo anayozungumza na bado hamthamini mnamwelekeza eti fanya hivi, sema hivi? Aisee Goodluck Tanzanians in your Dreams to Liberation 😂
 
Kwani mnamsikilizia wapi?

Kwako wewe, kwanini haufanyi hicho unasema anafanya na unampangia.. si usumbufu kwako!!!.. yaseme wewe basi halafu nitagi, uweke na yake maana siyajui.
 
Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi wa Mbogamboga nimeonana nawe sana pale Ofisi Ndogo Lumumba. Ingawa nilikushauri memgi ukanipinga lakini leo umekuja kufanya mengi ya baadhi niliyokushauri

Nashukuru umeweza kuunga mkono kilio na struggle ya Wapambaniaji Demokrasia nchini.

Nina ushauri hapa kwako mdogo wangu ndugu Polepole
  1. Kwenye public address zako, jikite sana kuelezea madhara yatokanayo na chaguzi mbovu. Kwa sehemu elezea matokeo kama vile Mtandao, Mafisadi nk
  2. Hitaji la Katiba mpya na manufaa yake kwa nchi
  3. CCM ilivyojipenyeza kwenye mifumo ya dola. Haitoshi tu kusema wameunga mfumo wa NIDA na NEC kudhibiti kura bali tuelezee namna CCM inavyonufaika na mifumo yetu ya ulinzi na usalama huku Watanzania wakiachwa nje
  4. Tuelezee namna CCM inavyoshirikiana na Dola kuvunja katiba na sheria za nchi.
  5. Watekaji ni kina nani na wanashirikiana watawala kuhujumu maisha ya wananchi
  6. Kujibizana na Rostam iwe sehemu ndogo isikudistract kwenye kuelimisha Watanzania wasishiriki uchaguzi
  7. Mhimili wa Mahakama

Hayo ni baadhi ya mengi wanayohitaji kuelimishwa wananchi kuamsha ari ya kuidai Tanzania yao
Keyboard warrior kwanini wewe usielezee yote unayotaka Polepole aelezee wakati tayari umesema kuwa anachokifanya sasa hivi wewe ndo ulimshauri?
 
Back
Top Bottom