Huyo ndo kichwa cha joka lililoingia kwenye nyumba yetu. Ni lazima ahangaike nalo kwanza kabla kuweza kuisha kwa amani.
- Kujibizana na Rostam iwe sehemu ndogo isikudistract kwenye kuelimisha Watanzania wasishiriki uchaguzi
Kumbuka Polepole ni mwana CCM mtiifu, tatizo lake ni wana mtandao tu. Maono na dhamira yake ni CCM iendelee kutawala milele kama ilivyo CCP ya China. Kwa maana hiyo basi hawezi kuongea mambo yatakayo hatarisha utawala wa CCM.
Polepole bado anaamini chama kwanza nchi baadae
Naona wengi hamjamuelewa vizuri Pole pole, mengi anayoyaongea ni masuala ya nchi, ila kwasababu ya viapo inabidi ajikite kwenye UCCM.Yes, vita yake si ya maslah mapana ya taifa
Wewe msikilize polepole vizuri utaona anachokipigani hasa ni nini🤣🤣🤣Naona wengi hamjamuelewa Pole pole, mengi anayoyaongea ni masuala ya nchi, ila kwasababu ya viapo inabidi ajikite kwenye UCCM.
Kwa ulivyomuelewa, ni nini anachokipigania?Wewe msikilize polepole vizuri utaona anachokipigani hasa ni nini🤣🤣🤣
😂😂😂Anajizabatau eti?Mengine atakuwa anajizabatua makofi mwenyewe, labda aombe radhi kwanza kwa ushiriki wake kwa namna moja au nyingine ndio apasue mbarika
Anapigania nini mkuu 😂Wewe msikilize polepole vizuri utaona anachokipigani hasa ni nini🤣🤣🤣
Kwa ulivyomuelewa, ni nini anachokipigania?
Anapigania nini mkuu 😂
kaka nakumbuka walikuaga HGL ONE HAPO 😊 BENJAMIN MKAPA SECONDARY na manara hajii..Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi wa Mbogamboga nimeonana nawe sana pale Ofisi Ndogo Lumumba. Ingawa nilikushauri memgi ukanipinga lakini leo umekuja kufanya mengi ya baadhi niliyokushauri
Nashukuru umeweza kuunga mkono kilio na struggle ya Wapambaniaji Demokrasia nchini.
Nina ushauri hapa kwako mdogo wangu ndugu Polepole
- Kwenye public address zako, jikite sana kuelezea madhara yatokanayo na chaguzi mbovu. Kwa sehemu elezea matokeo kama vile Mtandao, Mafisadi nk
- Hitaji la Katiba mpya na manufaa yake kwa nchi
- CCM ilivyojipenyeza kwenye mifumo ya dola. Haitoshi tu kusema wameunga mfumo wa NIDA na NEC kudhibiti kura bali tuelezee namna CCM inavyonufaika na mifumo yetu ya ulinzi na usalama huku Watanzania wakiachwa nje
- Tuelezee namna CCM inavyoshirikiana na Dola kuvunja katiba na sheria za nchi.
- Watekaji ni kina nani na wanashirikiana watawala kuhujumu maisha ya wananchi
- Kujibizana na Rostam iwe sehemu ndogo isikudistract kwenye kuelimisha Watanzania wasishiriki uchaguzi
- Mhimili wa Mahakama
Hayo ni baadhi ya mengi wanayohitaji kuelimishwa wananchi kuamsha ari ya kuidai Tanzania yao
Alisema tubomoe kisha tujenge upya...! Unamuelewaje?....tusiokua....
Ambayo ameshawaambia mmechukua hatua gani?Tuelezee namna CCM inavyoshirikiana na Dola kuvunja katiba na sheria za nchi.
Mbona hata magufuli alikuwa CCM?Kumuweka pembeni SSH na labda wahuni.
Nothing more, huwezi taka leta maslahi mapana kwa taifa kwanza unataka kuhakikisha ccm inaendelea kushika dola na pia unaishambulia kwa kuvizia, kwamba wakinyoosha mambo anakaa kimya.
uNless uwe mwanaccm ndo polepole anakua wa maana sana. Sisi wengine tusiokua ccm mpaka sasa hatujaona nia yake njema ya kutetea taifa hili.
Hata ile ya nida + ccm + tume. hamna kitu pale
hicho ni kichaka tu hata yeye anajua haiwezekaniAlisema tubomoe kisha tujenge upya...! Unamuelewaje?
Watanzania ni professional kwenye ku judge watu tu hata kufatilia vitu kwa makini kwao sio concern kabisa 🤣🤣Ameshaomba radhi na amesema baadhi ya mambo alishiriki
NAam mkuu, safi hii thinking mimi naiunga mkono , tukiwa na mfumo imara chama chochote kiongoze tu hatutakua na shida.Mbona hata magufuli alikuwa CCM?
Binasfi sijawahi kuwa na chama ila wakiwafyeka mtandao, CCM bado ni chama bora.
Chadema walikuwa vizuri ila Mboe alikiharibu sana, ni kama na yeye ni zao la mtamdao. Lissu na yeye kukumbatia sana watu wa EU kunatia mashaka.
Keyboard warrior kwanini wewe usielezee yote unayotaka Polepole aelezee wakati tayari umesema kuwa anachokifanya sasa hivi wewe ndo ulimshauri?Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi wa Mbogamboga nimeonana nawe sana pale Ofisi Ndogo Lumumba. Ingawa nilikushauri memgi ukanipinga lakini leo umekuja kufanya mengi ya baadhi niliyokushauri