Humphrey Polepole: Shule ya Uongozi

Mheshimiwa Sana,Ni kigeugeu na msaliti, wakati alipokuwa Tume ya Warioba nilimuelewa Sana, lakini alipoteuliwa kwenye system ya awamu ya tano akapiga U-turn,awamu ya sita amepiga around-turn, inabidi ajipambanue msimamo wake na ajitafakari.
Msimamo wa machalii wa CCM ni kwamba akiwa kwenye food chain ya CCM anapaki akili yake na kugeuka mpambe wa System ilioko madarakani ila akikatiwa rija la mapene ana revert kwenye utimamu na kuanza kujitia mzalendo! Thus how it works in CCM
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule aliyesema Tume ya uchaguzi ikiwa huru fisiemu wajiandae kukabidhi Ikulu au huyu mzee wa V8?
Ulimnukuu vibaya.Kamsikilize vizuri.
 
Kuwa mzalendo Tz ni lazima wenzio watakusaliti, watakuzunguka na mwishowe watakuu ama mapema ama baadae. Wafuatao wanahakisi nachokisema:, Nyerere, Sokoine, Kolimba, Dr. O.A. Juma, Mkapa, A. Chifupa, Filikunjombe, Mtikila, Jpm n.k hawa wote walikuwa na damu za kizalendo na waliuawa kwa dizaini tofauti ama kuanzia ndani ama mipango ikianzia nje. Kama taifa hatuelewi maana ya uzalendo na hatuwahitaji wazalendo
 
Jamba wazi
 
Hatutaogopa kusalitiwa wala kifo. Tutafanya tunayoweza tukiondoka wataibuka wengine. We trust the process.
 
Polepole yupi huyo au huyu huyu wa viete?
 
Huyo BW na Jpm watoe kweny list.
 
Hii Shule ya uongozi inageuka kuwa shule ya uhaini, aendelee tu๐Ÿ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ