Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
😹😹😹😹😹😹😹 tupo offline kwa sanaWazalendo wengine tupo. Sema sio watu wa media sana. Tupo offline ni wengi tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😹😹😹😹😹😹😹 tupo offline kwa sanaWazalendo wengine tupo. Sema sio watu wa media sana. Tupo offline ni wengi tuu.
Msimamo wa machalii wa CCM ni kwamba akiwa kwenye food chain ya CCM anapaki akili yake na kugeuka mpambe wa System ilioko madarakani ila akikatiwa rija la mapene ana revert kwenye utimamu na kuanza kujitia mzalendo! Thus how it works in CCMMheshimiwa Sana,Ni kigeugeu na msaliti, wakati alipokuwa Tume ya Warioba nilimuelewa Sana, lakini alipoteuliwa kwenye system ya awamu ya tano akapiga U-turn,awamu ya sita amepiga around-turn, inabidi ajipambanue msimamo wake na ajitafakari.
Ulimnukuu vibaya.Kamsikilize vizuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule aliyesema Tume ya uchaguzi ikiwa huru fisiemu wajiandae kukabidhi Ikulu au huyu mzee wa V8?
Jamba waziHivi kuna Mtanzania mzalendo kama Humphrey polepole?
Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo
Hawa ni aina ya CCM ya kina Nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini
Kiukweli I declare interest kwamba namkubali Polepole sana
Hii nchi inahitaji kina Polepole kama 50 hivi
huyu alitakiwa awe Waziri kabisa au mshauri wa Rais
Kwa hizi hoja kuna wa kumpinga huyu Jamaa? Anzia dk ya 14 hapo [emoji1313]l's ?[emoji1313][emoji1313]
Hatutaogopa kusalitiwa wala kifo. Tutafanya tunayoweza tukiondoka wataibuka wengine. We trust the process.Kuwa mzalendo Tz ni lazima wenzio watakusaliti, watakuzunguka na mwishowe watakuu ama mapema ama baadae. Wafuatao wanahakisi nachokisema:, Nyerere, Sokoine, Kolimba, Dr. O.A. Juma, Mkapa, A. Chifupa, Filikunjombe, Mtikila, Jpm n.k hawa wote walikuwa na damu za kizalendo na waliuawa kwa dizaini tofauti ama kuanzia ndani ama mipango ikianzia nje. Kama taifa hatuelewi maana ya uzalendo na hatuwahitaji wazalendo
So una maana siyo huyo bali ni huyu mzee wa v8?Ulimnukuu vibaya.Kamsikilize vizuri.
Polepole yupi huyo au huyu huyu wa viete?Hivi kuna Mtanzania mzalendo kama Humphrey polepole?
Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo
Hawa ni aina ya CCM ya kina Nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini
Kiukweli I declare interest kwamba namkubali Polepole sana
Hii nchi inahitaji kina Polepole kama 50 hivi
huyu alitakiwa awe Waziri kabisa au mshauri wa Rais
Kwa hizi hoja kuna wa kumpinga huyu Jamaa? Anzia dk ya 14 hapo [emoji1313]l's ?[emoji1313][emoji1313]
Nenda kamsikilize hiyo clip iko Instagram. Watu wamefanya kuikata.So una maana siyo huyo bali ni huyu mzee wa v8?
Huyo BW na Jpm watoe kweny list.Kuwa mzalendo Tz ni lazima wenzio watakusaliti, watakuzunguka na mwishowe watakuu ama mapema ama baadae. Wafuatao wanahakisi nachokisema:, Nyerere, Sokoine, Kolimba, Dr. O.A. Juma, Mkapa, A. Chifupa, Filikunjombe, Mtikila, Jpm n.k hawa wote walikuwa na damu za kizalendo na waliuawa kwa dizaini tofauti ama kuanzia ndani ama mipango ikianzia nje. Kama taifa hatuelewi maana ya uzalendo na hatuwahitaji wazalendo