Mchango wako mzuri sana na umesema kweli, ila viwango vya Jamii kubwa kinzani ya Jamhuri ya JF ni uwezo wa akili wa Mbowe tuu au kidogo Lisu. Kuna nini hapo.
Mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa kiutendaji, ama akili kuzidi hao ambao kwao ndio yard stick zao, basi watakuona haufai, ni jamii ya kichekesho.
Wewe sifia jambazi, mwizi, kina-Amsterdam aka makaka poa, mafisadi au watu ambao hauto penda kuwa mifano bora kwa kizazi chako ujue utaungwa mkono saana katika Jamhuri ya JF.
Watu wanajisifia wasomi wakati uongozi wa chama chao ambao ni kioo chao cha chama imejaa mijitu hovyo: Mwenyekiti zero, Katibu Mkuu college drop out, Naibu katibu mkuu ni Form Four failure. Safu ambayo mwenye uwezo mzuri wa akili hawezi kujivunia, kuna chama hapo au kundi la hovyo la Saccos?
As a country we need more people of character like Pole pole.