Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Mnaweza kufuatilia moja kwa moja kupitia hapa:
 
Huyu Kijana ningemuona ningempa Busara ya Wahenga....

Simba mwenda Pole ndio mla Nyama.....; Debe tupu haliachi Kutika...., na Maneno Matupu hayavunji Mfupa...

Kwahio wanaotenda WANATENDA na sio Kutishia kwamba WATATENDA..., kufanya hivyo ni kuwatayarisha WATENDEWA...
 

Amerudisha lile V 8 alilopewa?
 
We sema tu,mbunge kazi yako Ni kuibua na kukumbusha,sasa kama upinzani umebinywa na akumbushe nani kama si sisi kwa sisi? we kumbusha tu, wa kupayuka toka nae na uruke nae
 
Nani wanaomfunga mdomo ? Si awataje kwa Majina..., vinginevyo ni Uzushi..., Binafsi sikatai mtu kuongea.., tatizo ni kulazimisha watu wakubaliane na kila unachokiongea
 
Anaanzisha ugomvi kwenye nyumba ya vioo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…