Humphrey Polepole: Tafakari, tumeuzwa, tumepigwa bei. Rostam Aziz amepewa migodi kwa bei ya kulangua!

Si huyu Rostam alikuwa rafiki wa Magufuli akamkaribisha hadi Ikulu na kumuachia huru kaka yake kwenye kashfa ya ufisadi.

Halafu Leo Hoi polepole kageuka kuwa shujaa.
 
Sisi hatuhitaji description ya Polepole. Tunataka majibu ya hoja zilizotolewa!
 
Ndi maana wanaua watu hawataki mchezo. Mtu ni Rais with lots of salary and benefits but still anapiga dili na kuiba dah …. Ila Ngozi nyeusi mmh

Halaf mama anaita wenzie waroho wa madaraka

Huyu mama ASHTAKIWE for sure kwa kufisadi country resources
 
Poapoa tumekusikia. Haya turudi kwenye mada husika.
 
Si huyu Rostam alikuwa rafiki wa Magufuli akamkaribisha hadi Ikulu na kumuachia huru kaka yake kwenye kashfa ya ufisadi.

Halafu Leo Hoi polepole kageuka kuwa shujaa.

Bull shit
Umesoma Mgodi umeuzwq lini

Ni rostam ndio aliomba kwenda Ikulu …..

Ishu ni hakumuweka karibu kwenye utawqla wake na wizi wqke ukakoma

Aliishi maisha ya kawaida . Mama ameelemewq and she has lost total control
I wonder alikuaje Rais wa nhi huyu mama

We are lost and fucqed so much just ndani ya 4 years tumerudi nyuma 10 yrs back
 
R.I.P ndugai ulijaribu kutusanua kwamba kuna siku hii nchi itapigwa mnada wahuni wakakuona umetibua wakakulisha sumu masikini ndugai
Mkuu hivi si ni huyo Ndungai alisema Jiwe atake asitake lazima aongezewe miaka ya kitawala. Au nimepoteza kumbukumbu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…