Humphrey Polepole: Tuwe makini na wahuni, wanaweza kuipiga copy serikali

Humphrey Polepole: Tuwe makini na wahuni, wanaweza kuipiga copy serikali

Nazungumza haya kwasababu tumeyaona Angola na Congo vyama tawala vilikuwa vijaweka mgombea uraisi na kushinda lakini wakati wa kuunda serikali aliyeshinda siye anayeteu watendaji wake Bali anaekekezwa nini afanye na waliomuweka pale mifano mikubwa tumeiona Congo kiliitwa parallel state na Angola kiliitwa futungo.
Kwa hiyo ndugu zangu tuwe makini Sana kwenye swala la political economy hapa nchini
Kuna Kila dalili za kuwepo kwa kundi Hilo AMBALO linaelekea kuwepo kabisa linalotafuna Kodi za wananchi bila huruma na kuelekeza mama afanyeje katika kazi zake ingawa sasa inaonesha na yeye mwenyewe NI mshirika mkuu.

Mambo ambayo hamtayaamini lakini dalili hizo zipo hata wafanyakazi wa chini wanaweza kucheleweshewa mishahara huku wakubwa wao wakipata Kila kitu na huduma za kijamii kuzorota kabisa. Mfano mnaweza ona ccm insongoza nchi kumbe NI kivuli cha ccm nyuma yake kuna ccm asili inapanga Kila kitu nini kifanyike na nini kidifanyike.

Kwa jinsi navyoona mambo yanavyoona naona nchi yetu kuna Kila dalili viongozi wetu wanaonesha kutengeneza utawala wa hivo.
 
Naunga mkono hoja, kwa hali ilivyo sasa

Jiulize,
1,vyombo vya habari kimyaa,hakuna habari za kiuchunguzi
2,wabunge wote wamenywea kabisa
3,ukimya wa wanaharakati,
4,Rais kimyaaa
5,watuhumiwa wa ufisadi hawataki kuwajibika
6,chama cha mapinduzi kimyaa

Nchi ipo chini ya "FUTUNGO"
 
View attachment 3005433
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza watu wote na maelekezo yanatoka kwenye Kikundi.

Kule Angola kikundi hicho kinaitwa FUTUNGO.

Wahuni wa Tanzania wanaweza kupiga Copy serikali yetu yani wao ndio wakawa kila kitu wao ndio wanatoa Maamuzi yote, halafu hii serikali iliyopo Madarakani ikawa ni Mwana Sesere tu yani ikawa haina Lolote.

Wahuni ndio wakawa wanaongoza Nchi Kupitia serikali yao walio itengeneza wenyewe yani Serikali ime pigwa Copy kuna Serikali A na Serikali B ila Serikali B ndio yenye Nguvu kuliko Serikali A.

Tuwe makini na Wahuni" -humphrey polepole
Duuh sikuwa kuliona hili bandiko alichoongea ndio kinachofanyika sasa hivi Kuna kikundi Cha watu wachache wamejiundia serikali Yao tofauti na ya wananchi na wanakula kisawasawa inaonekana hii ni michezo ya CCM sema jamaa aliamua kumwaga mboga baada ya kuondolewa kundini
 
The Futungo was an informal but highly influential political and economic network centered around the family of José Eduardo dos Santos, who served as President of Angola from 1979 to 2017. The group derived its name from the Futungo de Belas presidential palace complex in Luanda, where the Dos Santos family resided.

During the Dos Santos presidency, the Futungo group consolidated immense power and wealth. Its members occupied key positions in government, the ruling MPLA party, the military, and state-owned enterprises. This allowed the Futungo to exert control over Angola's politics, economy, and security apparatus.

The Futungo was widely seen as a shadowy cabal that operated outside of formal government structures. It was accused of corruption, cronyism, and using its influence to enrich itself and marginalize political opponents. The group's dominance was viewed by many as an impediment to democratic reforms and equitable economic development in Angola.

The fall of Dos Santos in 2017, and the subsequent reforms under his successor João Lourenço, were seen as attempts to dismantle the power of the Futungo network. However, the group's deep roots and vast resources meant it continued to wield significant behind-the-scenes influence even after 2017.
 
View attachment 3005433
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza watu wote na maelekezo yanatoka kwenye Kikundi.

Kule Angola kikundi hicho kinaitwa FUTUNGO.

Wahuni wa Tanzania wanaweza kupiga Copy serikali yetu yani wao ndio wakawa kila kitu wao ndio wanatoa Maamuzi yote, halafu hii serikali iliyopo Madarakani ikawa ni Mwana Sesere tu yani ikawa haina Lolote.

Wahuni ndio wakawa wanaongoza Nchi Kupitia serikali yao walio itengeneza wenyewe yani Serikali ime pigwa Copy kuna Serikali A na Serikali B ila Serikali B ndio yenye Nguvu kuliko Serikali A.

Tuwe makini na Wahuni" -humphrey polepole
Alikwishawaona akina Bashe, Mwigulu, Mbarawa, Rostm na Abdul.
 
Back
Top Bottom