Humphrey Polepole: Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu

Humphrey Polepole: Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu

Kumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video
Naona umetegesha virus mzee.. Mbona haonekani huyo Harakaharaka.
 
Kwani kuna kitu umesikia kwenye hiyo video... Au ndo bedela inafuata upepo.
Naona umetegesha virus mzee.. Mbona haonekani huyo Harakaharaka.
Device yako ikiwa na Problem ya kutofungua hii video basi usi-generalize kua tatizo la kila mtu,
Inawezekana format iliyoko hii video wewe device yako hai-support,
Ingekua kweli nimeweka attachment ambayo haifunguki basi Mods wasingeuacha huu uzi hewani mpaka sasa.
 
CHADEMA Kwenye social media wameshinda mapema kabisa asubuhi na mapema lakini kwenye Sanduku la kura CCM bado wataendelea kushinda tuu.
 
Kwani kuna kitu umesikia kwenye hiyo video... Au ndo bedela inafuata upepo.
Nimeifungua na nimesikia. Labda hicho kimeo chako ndio hakina uwezo wa kuvungua hiyo video. Inaonekana either hakisapoti hiyo format au ni shida tu ya kimeo unachomiliki.
 
Haaahaaaaa dah maCcm bhana ila leo hii ukimuuliza polepole atasema wananchi hawahitaji uchaguzi huru na haki sababu vipaumbele vyao ni maji barabara n.k hahhaaahaaaaa
 
Hawa jamaa sidhani kama ni wazima. Hivi unawezaje kuongea kitu kama hicho hali ukijua kabisa kuwa unarekodiw!
nafikiri kipindi hicho huyu jamaa alikuwa ukawa kabla ya kuhamia ccm
 
Back
Top Bottom