Humphrey Polepole: Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu

Kumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video
Maneno yanaumba!
Ila hapa Polepole ataulizwa alkula maharagwe ya wapi!
 
Ogopa Mungu na Technology leo akiona hizi clip anatamani zifutwe .
 
Hii kabla hajaanza kutumia tumbo kufikiria. Sasa hivi anaendeshwa kwenye VX hata akiambiwa amkane mama yake mzazi anamkana.
 
Kumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video

Ni Mnafiki huyo, Mbona hakuthubutu kusema hayoj wakati alipokuwa katibu mwenezi wa CCM??!!---- yupo nje ya Chama (nje ya ulaji) ndio akili yake imetengemaa.🤣🤣
 
Back
Top Bottom