Humphrey Polepole: Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu

Humphrey Polepole: Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu

Huo ndio ukweli mchungu. Japo yapo mengi mazuri yamesimamiwa na ccm, ni hulika ya binadamu kutaka kujaribu akitaraji kupata bora zaidi.
Cc Bashru, Kitila, Mgwira, katambi, kafulila, ...
 
Kweli Ngozi Nyeusi inalaana na Imelaanika haswa! Hata aibu hawana kweli?
 
Hayo ni maneno yaliyotamkwa na Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole, kwenye mdahalo kuhusiana na Katiba mpya ya nchi iliyokuwa ikiitwa Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba.

Hapo ilikuwa ni "flashback" Desemba ya mwaka 2017.

Polepole wa Leo siyo tena yule wa mwaka 2017 na hata ukimwambia kuwa ni wewe ulitamka maneno hayo, ataruka maili 1000, kukanusha maneno hayo, kuwa hayajatoka kinywani mwake!

Huo ni mkweli mchungu, ambao Humphrey Polepole aliamua kuusema, wakati huo bado hajavalishwa, hizo sare za kijani, za ukatibbu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa.
 
Majukwaani wamepigwa wamepoteana vibaya tegemeo lao ni wakurugenzi, wananchi eneo husika inatakiwa wawafundishe kazi wakurugenzi wahuni ambao ni chanzo cha kuleta maafa nchini yule wa kinondoni ana hatia ya damu ya akwilini inaishi moyoni mwake ni lzm ailipie.

Hawa wahuni wote wakileta uhuni ni kuwazingira nyumba zao kwa wingi usiku na mchana hakuna kutoka zaidi ya kuwalazimisha waende ofisini wakatende haki, tukiwaachia wafanye uhuni huu wa kuwanyima haki wananchi italeta uvunjifu wa amani. Tusikubali wahuni wachache watuharibie amani yetu.
 
Vile CCM inalazimisha kuitawala Tanzania
45432109.jpg
 
Akirudi ana uchungu Sana wa visasi check alivyokauka kwa visasi vinavyowasubiria kulipizwa
 
Back
Top Bottom