Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

Watu humu kinachowasumbua ni kuwa sadists na vihele hele.

Lakini pia ile JF ya masterminds sasa hivi hamna imebaki wapenda matako makubwa na mizaa zaa isio na maaana
3ac48f192aeab47d8fc2cf176dcecc6a.jpg
 
Ni kawaida hiyo ishi vizuri na watu na pia lazma ujue kwamba kwenye wachangiaji Kuna wengine inabidi uwapuuzie

Ila njia nyengine japo sio sahihi inabidi uwe na kitambulisho kingine kama yule doctor wa Anna pale mloganzila😅 kwamba huku unagombana nao ila kule unajenga mahusiano mazuri yakikukuta unaomba msaada
 
Tumia akili vizuri.
MTu anakuafya PM kuomba hela ya kula. Unaona haina shida ila kabla ya kituma unaamua kuperuz kwanza post zake, unakuta full time yupo kwenye nyuzi za mikeka na kubet full kusambaza code za mikeka ya Betway, sasa huyu unafikiri utajisumbua hata kufanya lolote??

Kwakifupi lazima tujue background yako ili tujue tuna deal vipi na wewe. Hata hospital hawawez kukitibu kabla ya kujua historia yako ya kuugua huko nyuma.
 
Kuwa I'd maana yake ni kujivika uhalisia tofauti naweza kuwa muumin wa dini lakini pia nina fantasy za mapenzi hivyo siwezi I'd hiyo hiyo nikahubiri neno na hiyo hiyo nikaelezea style za midinyo sitaeleweka
 
Tumia akili vizuri.
MTu anakuafya PM kuomba hela ya kula. Unaona haina shida ila kabla ya kituma unaamua kuperuz kwanza post zake, unakuta full time yupo kwenye nyuzi za mikeka na kubet full kusambaza code za mikeka ya Betway, sasa huyu unafikiri utajisumbua hata kufanya lolote??

Kwakifupi lazima tujue background yako ili tujue tuna deal vipi na wewe. Hata hospital hawawez kukitibu kabla ya kujua historia yako ya kuugua huko nyuma.
Ukiamua kumsaidia mtu usiangalie background yake mkuu nyakati hazifanani
 
Back
Top Bottom