Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

Multiple Personalities Disorder/MPD ni ugonjwa unaoathiri mfumo mzima wa ndani wa ufahamu wa Mtu/kiumbe kiasi cha kuleta matokeo Hasi kwenye mfumo wa nje wa utambuzi na mazingira.

Ni mbaya zaidi pale mtu anae display symptoms za MPD nae akaanza kutoa ushauri na nasaha za muhimu kwa wengine either wazima ama kweli nao ni victims wa matatizo ya kisaikolojia.

Mbaya zaidi mtu huyo huyo kutumia uwezo/ugonjwa alionao kucheza na nyakati/taswira/ufahamu/utambuzi wa wengine wasiojua ama wenye matatizo katika mifumo ya kisaikolojia. (Suggestive Tactics Alimentation) ambayo ni hatari.

Mara nyingi inaishia mtu kuwa na Narcissistic traits ambazo is just a nano second closer to Sadism.
Ushauri wako umekaa poa Sana

But nje ya mada huyo hapo kwenye dp ni wewe?
 
Vitu ambavyo ukizingua lazima wakulipue

Kejel na dharau, tofauti na hapo wala hakuna atakae angaika na wewe.
Hizo ni traits za kila binadamu ni vile tu hatujiviki uhalisia tukiwa real ndio maana huku kwenye ufake unaona watu wanavyokuwa wahalisia zaidi maana hawajulikani
 
Tumia akili vizuri.
MTu anakuafya PM kuomba hela ya kula. Unaona haina shida ila kabla ya kituma unaamua kuperuz kwanza post zake, unakuta full time yupo kwenye nyuzi za mikeka na kubet full kusambaza code za mikeka ya Betway, sasa huyu unafikiri utajisumbua hata kufanya lolote??

Kwakifupi lazima tujue background yako ili tujue tuna deal vipi na wewe. Hata hospital hawawez kukitibu kabla ya kujua historia yako ya kuugua huko nyuma.
Kumbe unaweza kumfata mtu pm kuomba hela ya Kula ukapewa?
Ngoja Nije mkuu Leo nimefulia Sana jamani plus ni wkend
 
Back
Top Bottom