Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

Kuna mapito tofauti hata kama utumie I'd moja bado huwezi kuwa yule yule kila siku
Multiple Personalities Disorder/MPD ni ugonjwa unaoathiri mfumo mzima wa ndani wa ufahamu wa Mtu/kiumbe kiasi cha kuleta matokeo Hasi kwenye mfumo wa nje wa utambuzi na mazingira.

Ni mbaya zaidi pale mtu anae display symptoms za MPD nae akaanza kutoa ushauri na nasaha za muhimu kwa wengine either wazima ama kweli nao ni victims wa matatizo ya kisaikolojia.

Mbaya zaidi mtu huyo huyo kutumia uwezo/ugonjwa alionao kucheza na nyakati/taswira/ufahamu/utambuzi wa wengine wasiojua ama wenye matatizo katika mifumo ya kisaikolojia. (Suggestive Tactics Alimentation) ambayo ni hatari.

Mara nyingi inaishia mtu kuwa na Narcissistic traits ambazo is just a nano second closer to Sadism.
 
Back
Top Bottom