Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,215
- 9,719
Hahahah acha tu halafu weupe wazuri haooJamii za watu wafupi kama nyundo😅
Hahahah acha tu halafu weupe wazuri haooJamii za watu wafupi kama nyundo😅
Kumbe weupe ndio wazuri 😅 hili nasikia kwako leo bwashee 😅Hahahah acha tu halafu weupe wazuri haoo
Mpare mfupi halafu mweupe wengi wanakua wazuri kakaKumbe weupe ndio wazuri 😅 hili nasikia kwako leo bwashee 😅
Omba tu,tupo tutakusaidia!Kila mtu ana experience yake ya maisha!Ni kweli kabisa! Kwa tabia hizi za kulipuana na kufukua makaburi itafika kipindi hata kama una shida wahitaji msaada utashindwa kuleta humu jukwaani
Ni hayo tu
Kwa muktadha huo, Kubali matokeoWakati mwingine huwa tunazogoa tu kutoa stress tunakuwa hatudanganyi wala hatuongei ukweli inakuwa ajabu mizaha yetu kuwa fimbo linapokuja jambo la serious
Humu tunachezaga hadi kibaba baba mkuu
Ni kweli kabisa! Kwa tabia hizi za kulipuana na kufukua makaburi itafika kipindi hata kama una shida wahitaji msaada utashindwa kuleta humu jukwaani
Ni hayo tu