Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

Kuwa I'd maana yake ni kujivika uhalisia tofauti naweza kuwa muumin wa dini lakini pia nina fantasy za mapenzi hivyo siwezi I'd hiyo hiyo nikahubiri neno na hiyo hiyo nikaelezea style za midinyo sitaeleweka
Haya ni maamuzi yenu, hakuna aliyewaambia kisa tunatumia fake ID basi mjivike personality tofauti…

It’s a choice, y’all better deal with that.
 
Unaweza ukaishi uhalisia na bado ukalipuliwa vilevile
Kama sijawahi kudanganya hapa kwamba nimeshinda lottery mill 100 au nimepata urithi wangu 50mill nitalipuliwa vipi siku nikilia nina shida ya 200K?

Unakuta mtu mwaka jana dec ali-post amenunua Mazda CX5 leo analalamika hana hela ya kula hata kutwa mara moja sasa huyu kwanini asipopolewe?mimi nasema wapopolewe tu.
 
Ni kawaida hiyo ishi vizuri na watu na pia lazma ujue kwamba kwenye wachangiaji Kuna wengine inabidi uwapuuzie


Ila njia nyengine japo sio sahihi inabidi uwe na kitambulisho kingine kama yule doctor wa Anna pale mloganzila😅 kwamba huku unagombana nao ila kule unajenga mahusiano mazuri yakikukuta unaomba msaada
Hili jambo nilishalitolea ufafanuzi kwenye vyombo vya habari lakini watu hawaelewi.

Ahsante mjomba angu kwa kurudia kuwaelimisha hawa vinyangarika wenye multiple IDs za kutapeli wanyonge.
 
Kama sijawahi kudanganya hapa kwamba nimeshinda lottery mill 100 au nimepata urithi wangu 50mill nitalipuliwa vipi siku nikilia nina shida ya 200K?

Unakuta mtu mwaka jana dec ali-post amenunua Mazda CX5 leo analalamika hana hela ya kula hata kutwa mara moja sasa huyu kwanini asipopolewe?mimi nasema wapopolewe tu.
Sasa mkuu unajuaje kipindi hicho anapost uchumi ulikuwa vizuri kwa upande wake lakini mambo yakaenda tofauti hivyo anahitaji akwamuliwe
 
My I'd my personality

Sasa iweje ufukue yaliyopita
Kuna watu ni wapika chai wazuri humu, wakileta tu uzi watu wanacheka yanaisha, Ushawahi kujiuliza kwanini wanajulikana ni wapishi wa chai na watu hawana habari nao?

Kuna tofauti kati ya kufake character ili kuburudisha watu na kufake character kwa malengo tofauti. (Binafsi sijasema nimalengo mabaya msinishike shati 😅)
 
Back
Top Bottom